Awadh Juma kaipatia Simba point tatu dakika ya 88 (+Pichaz)

DSCF3073

Wakati watani zao wa jadi Yanga wamemaliza kucheza mchezo wao wa kwanza wa raundi ya pili katika michuano ya klabu bingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda kwa ushindi wa goli 2-1 March 12, Simba wao wameshuka dimbani March 13 kuendeleza harakati zao za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara. Simba wameshuka dimbani kucheza […]

The post Awadh Juma kaipatia Simba point tatu dakika ya 88 (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Mbwana Samatta kaipatia point tatu KRC Genk kwa kuifungia goli pekee

Mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, usiku wa January 21 2017 alirudi tena kwenye headlines baada ya kuisaidia timu yake ya KRC Genk, kutoka na point tatu ugenini katika uwanja wa Stadion am Kehrweg dhidi ya wenyeji wao AS Eupen. Mbwana Samatta ambaye alipata nafasi ya kucheza kwa dakika zote 90, […]

The post Mbwana Samatta kaipatia point tatu KRC Genk kwa kuifungia goli pekee appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Juma Luzio na Mzamiru wameipatia Simba point tatu dhidi ya Taifa Jang’ombe

img-20170101-wa0088

Baada ya kuchezwa mchezo wa pili wa Kundi wa Kombe la Mapinduzi 2017 leo January 1, usiku wa January 1 ilikuwa ni zamu ya wekundu wa Msimbazi Simba kucheza mchezo wao wa kwanza wa Kundi A dhidi ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa Amaan Zanzibar. Huu ulikuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba lakini ulikuwa ni […]

The post Juma Luzio na Mzamiru wameipatia Simba point tatu dhidi ya Taifa Jang’ombe appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

5 years ago

Tanzania Daima

Awadh Juma: Sijui hatima yangu Simba

MCHEZAJI wa Simba, Awadh Juma amekiri kutofahamu hatima yake ndani ya klabu ya Simba kutokana na uvumi kuwa uongozi wake unataka kumpeleka kwa mkopo kwa timu ya Stand United ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Man United yapokonywa point mbili dakika 90 ya mchezo, cheki pichaz na video …

Mechi za Ligi Kuu Uingereza zimeendelea usiku wa January 12, kwa klabu vya Machester United kuwa mgeni wa Newcastle United katika dimba la St James’ Park, wakati Bournemouth walikuwa wenyeji wa West Ham United na Aston Villa wenyeji wa Crystal Palace. Mchezo wa Man United ndio mchezo ambao ulikuwa unapewa nafasi kubwa ya kutazamwa na watu […]

The post Man United yapokonywa point mbili dakika 90 ya mchezo, cheki pichaz na video … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Joe Allen amefanya Arsenal washindwe kuondoka na point tatu Anfield, cheki ilivyokuwa (+Pichaz&Video)

Mechi za Ligi Kuu Uingereza zimeendelea kama kawaida kwa kupigwa michezo saba usiku wa January 13, miongoni mwa michezo iliyochezwa usiku wa January 13 ni mchezo kati ya Liverpool ambao waliwakaribisha Arsenal katika dimba la Anfield. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Anfield lenye mashabiki ambao wagumu kukata tamaa ya kuacha kushangilia hata kama timu […]

The post Joe Allen amefanya Arsenal washindwe kuondoka na point tatu Anfield, cheki ilivyokuwa (+Pichaz&Video) appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Kichuya ameipatia point tatu Simba dhidi ya Azam FC

img_0072

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena Jumamosi ya Septemba 17 2016 kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja sita tofauti, moja kati ya mchezo uliochezwa ni Azam FC waliwakaribisha Simba katika dimba Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo ambao kila mmoja alikuwa anawania kupata ushindi ili apate nafasi ya kuongoza. Huu ulikuwa ni mchezo unazikutanisha […]

The post Kichuya ameipatia point tatu Simba dhidi ya Azam FC appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Kichuya na Mnyate wameiongoza Simba kuchukua point tatu dhidi ya Majimaji FC

screen-shot-2016-09-24-at-8-28-52-am

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena Jumamosi ya Septemba 24 2016 kwa michezo  mitano  kuchezwa katika viwanja vitano tofauti, moja kati ya mchezo uliochezwa ni Simba waliwakaribisha Majimaji FC katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam, katika mchezo ambao kila mmoja alikuwa anawania kupata ushindi na kuondoka na point tatu. Simba imefanikiwa kuondoka na point tatu ambapo wameifunga Majimaji FC […]

The post Kichuya na Mnyate wameiongoza Simba kuchukua point tatu dhidi ya Majimaji...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani