Awadh Juma: Sijui hatima yangu Simba

MCHEZAJI wa Simba, Awadh Juma amekiri kutofahamu hatima yake ndani ya klabu ya Simba kutokana na uvumi kuwa uongozi wake unataka kumpeleka kwa mkopo kwa timu ya Stand United ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

3 years ago

MillardAyo

Awadh Juma kaipatia Simba point tatu dakika ya 88 (+Pichaz)

DSCF3073

Wakati watani zao wa jadi Yanga wamemaliza kucheza mchezo wao wa kwanza wa raundi ya pili katika michuano ya klabu bingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda kwa ushindi wa goli 2-1 March 12, Simba wao wameshuka dimbani March 13 kuendeleza harakati zao za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara. Simba wameshuka dimbani kucheza […]

The post Awadh Juma kaipatia Simba point tatu dakika ya 88 (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

4 years ago

Mwananchi

Awadh afuta mikosi Simba

Simba imevunja mwiko wa kutopata ushindi katika siku yao maalumu, ‘Simba Day’ tangu mwaka 2009 baada ya jana kuichapa SC Villa ya Uganda bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

4 years ago

Mwananchi

Ndumbaro: Hatima yangu mkutano mkuu wa TFF mwakani

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba na mjumbe wa Bodi ya Ligi, Damas Ndumbaro amesema hatima ya adhabu tata aliyopewa ya kufungiwa miaka saba, itajulikana kwenye mkutano mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

3 years ago

Bongo5

Wenger: Mjadala kunihusu hatima yangu katika klabu “Umeanza kuwa Upuuzi”

3227FEBB00000578-0-image-a-2_1457908423810

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema mjadala unaotokea kila mara kuhusu hatima yake katika klabu hiyo “umeanza kuwa upuuzi”.

3227FEBB00000578-0-image-a-2_1457908423810

Wenger alikuwa akizungumza baada ya Gunners kutolewa katika michuano ya Kombe la FA kwa kufungwa 2-1 na Watford katika mchezo wa robofainali.

Arsenal wameshinda mechi moja pekee kati ya saba walizocheza hivi karibuni.

“Mechi inayofuata huwa mtihani tayari na kila mara unageuzwa kuwa mada ya mjadala. Umeanza kuwa upuuzi,” alisema Wenger.

Arsenal watakutana na...

 

3 years ago

Global Publishers

Ostaz Juma: Najivunia Miaka 10 Ya Ndoa Yangu!

OSTAZ JUMA (1)Mdau wa muziki nchini, Ostaz Juma Namusoma (kulia) akipozi na mkewe Mariam David  na mtoto wao Hayyan Juma ‘Boy’.OSTAZ JUMA (2)…Akiwa na familia yake.OSTAZ JUMA (3)…Akiwa na mkewe.OSTAZ JUMA (4) …Wakipata chakula.OSTAZ JUMA (5)…Wakiwa kwenye mtoko.

Na Abby Cool

MDAU wa muziki nchini, Ostaz Juma Namusoma, ameibuka na kufunguka ya moyoni kuhusu maisha yake ya ndoa, wakati akiingia mwaka mpya 2016.

Ostaz, ambaye ni baba wa mtoto mmoja wa kiume, Hayyan Juma ‘Boy’ aliyezaa na mkewe Mariam David ‘ a.k.a Mama Boy, amesema kuwa wakati akisherehekea...

 

4 years ago

Mwananchi

Juma Rashid: Sitasahau nilivyohujumiwa elimu yangu

Kila siku asubuhi mapema, hufika kijiweni kwake eneo la Tabata Relini, Dar es Salaam. Akifika anasubiri mteja anayekodi usafiri wake wa guta kwa ajili ya kubeba mizigo. Ni Juma Rashid kijana mwenye historia inayosikitisha.

 

3 years ago

Bongo5

Linex: Yaliyotokea kati yangu na Adam Juma yalishapita

Muimbaji wa Moyo wa Subira, Linex amesema tofauti zilizojitokeza kati yake na Adam Juma ni mambo yaliyopita tayari.

13551655_507191039485683_1985723756_n

Linex alimtupia lawama AJ kuwa alilipua video ya wimbo wake ‘Mama Salima’ aliomshirikisha Diamond licha ya kumlipa bajeti ya kutosha.

“Binadamu hatuishi kwa mambo yaliyopita, tunaishi kwa wakati ambao upo na unaokuja,” Linex alikiambia kipindi cha Super Mega cha Kings FM kinachoendeshwa na Divine Kweka.

“Wakati uliopita huwa ni kumbukumbu na history kwahiyo hatutakiwi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani