Ayo TV MAGAZETI: Aliyemponza Trafiki kufukuzwa asakwa, Mambo 7 yaliyomng’oa Zari kwa Diamond

Karibu Ayo TV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya ni kubonyeza ‘SUBSCRIBE‘ ili uwe unapata notification kila habari mpya inapowekwa. Bonyeza hapa chini kusomewa magazeti ya leo February 12, 2018 na Janeth Mesomapya  MAGAZETI: CHADEMA yazuia bao la mkono, Fuvu la miaka 100 lakutwa Ofisi za Mawakili

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

KEKI YA JOKATE KWA MILLARD AYO YAIBUA MAMBO!

‘Mtu wa Nguvu’ Millard Ayo na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ wakifurahia jambo kwenye ‘bethidei’ yake.  Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja/Ijumaa
Keki iliyoandaliwa na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ‘bethidei’ ya Millard Ayo ‘Mtu wa Nguvu’ imeibua mambo kwa mashabiki wao. TUJIUNGE NYUMBANI KWA MILLARD
Ishu hiyo ilijiri Januari 26, mwaka huu ambapo Jokate alidaiwa...

 

3 years ago

Bongo5

Zari na Diamond watuma ujumbe kuwa mambo ni shwari licha ya kuwepo tetesi za mgogoro wa familia

Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii wiki hii kuhusiana na Diamond na Zari. Miongoni mwa tetesi hizo ni pamoja na kuwa Zari haelewani kabisa na ndugu zake Diamond akiwemo mama mkwe wake na wifi yake, Esma.

13671776_891481664330652_1595155428_n

Hilo Zari alilielezea kwa mafumbo kwenye Snaochat na kudai kuwa hajali kama nchini au ukoo usipomkubali, ilimradi tu wanapendana na mpenzi wake.

Tetesi nyingine ni kuwa staa huyo wa ‘Utanipenda’ si mwaminifu kwenye uhusiano wao na kwamba huenda akawa na ukaribu...

 

2 years ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 14, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 13 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Music: AT – Ayo kwa Ayo

AT

Msanii AT King wa Mziki wa Mduara kutoka Zanzabar ameachia wimbo mpya unaitwa “Ayo kwa Ayo” Producer Fraga

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

2 years ago

MillardAyo

HD VIDEO: Zari na Diamond walivyotunzwa 40 ya Nillan na Zari alivyocheza vigoma

February 11 2017 ilikua 40 ya Nillan ambaye ni mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari ambapo 40 yake imefanyika nyumbani kwao Madale Dar es salaam na AyoTV na millardayo.com zimekukusanyia kila kitu kwenye hizi video hapa chini VIDEO: Zari akicheza vigoma kwenye 40 ya Nillan (+18) tazama hapa chini BREAKING NEWS zote na stori […]

The post HD VIDEO: Zari na Diamond walivyotunzwa 40 ya Nillan na Zari alivyocheza vigoma appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

4 years ago

Vijimambo

DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!

Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo. Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha...

 

2 years ago

Malunde

MUME WA ZARI DIAMOND PLATNUMZ ATOA NENO KIFO CHA MZAZI MWENZA NA ZARI IVAN

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.
Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu‘

 

4 years ago

GPL

MISS TZ AMCHOKONOA ZARI KWA DIAMOND!

Musa mateja Madai mazito! Mshiriki wa Kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2011/12 ambaye alianza harakati za kunyakua taji hilo akitokea Mkoa wa Shinyanga na baadaye kutwaa Taji la Miss Kanda ya Ziwa, Glory Samwel anadaiwa kumchokonoa Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa kile kinachodaiwa kuwa ana ukaribu wa ‘kimalovee’ na mpenzi wa Zari, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani