Ayo TV MAGAZETI: Fedha za rambirambi kujenga Hospitali, Diallo aahidiwa Ukatibu Mkuu CCM

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 22, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 21, 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Fedha za rambirambi kujenga Hospitali, Diallo aahidiwa Ukatibu Mkuu CCM appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Ukweli kuhusiana na Kinana kujiuzulu Ukatibu Mkuu CCM

Takribani siku mbili sasa kumekua na taarifa zisizo rasmi ndani ya mitandao ya kijamii kuhusiana na kile kilichodaiwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Comrade Abdulrahman Kinana kujiuzulu wadhifa huo ndani ya chama.

Aidha taarifa hizo zilikwenda mbali zaidi na kudai kuwa Chama cha Mapinduzi kipo katika wakati mgumu kuweka wazi kuhusiana na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu huyo.

Habari za uhakika zilizotolewa na Katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho Nd. Humphrey Polepole ni kuwa Kinana...

 

12 months ago

Malunde

KINANA ANG'ATUKA NAFASI YA UKATIBU MKUU CCM

Katibu mkuu Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameng'atuka nafasi yake aliyokuwa akiishika ndani ya chama hicho na CCM wameridhia ombi hilo rasmi.
Hayo yamewekwa wazi na taarifa zilizotolewa na Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole leo Mei 29, 2018 na kusema kwa pamoja wamemtakia mafanikio mema katika shughuli zake.
"Napenda kumshukuru ndugu Kinana kwa utumishi wake katika Chama cha Mapinduzi (CCM) na CCM itaendelea kutumia uzoefu wake katika majukumu...

 

12 months ago

Malunde

KAULI YA POLEPOLE TAARIFA ZA KINANA KUJIUZULU UKATIBU MKUU CCM

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey PolePole amefunguka na kudai hajapokea taarifa zozote za kujiuzulu Katibu mkuu Taifa wa chama hicho, Abdulrahman Kinana kama zinavyoenezwa katika mitandao ya kijamii.

Polepole amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza na eatv.tv alasiri ya leo Mei 27, 2018 baada ya kuenea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa ndg. Abdulrahman Kinana ameandika barua rasmi ya kujiuzuli nyadhfa zake anazozishikilia ndani ya...

 

2 years ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Mapya ya ajali ya wanafunzi 33, CCM yakataa kongamano la CHADEMA

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 13, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 12 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Mapya ya ajali ya wanafunzi 33, CCM yakataa kongamano la CHADEMA appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 14, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 13 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni appeared first on millardayo.com.

 

12 months ago

Malunde

DK. BASHIRU NDIYO MRITHI WA KINANA KITI CHA UKATIBU MKUU CCM..APITISHWA KWA KISHINDO

Katibu Mkuu mpya wa CCM Dk. Bashiru Ali akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamedi baada ya jina lake kupendekezwa na kisha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM kulipitisha kwa kauli moja, katika kikao cha NEC kwenye ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam, leo Jumanne Mei 29,2018. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli
Dk. Bashiru akiwa amekiti meza kuu baada ya uteuzi.Dk. Bashiru akizungumza baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM...

 

2 years ago

Channelten

Utata wa ufujaji rambirambi Lucky Vicent, Mkuu wa mkoa wa Arusha akabidhi fedha kwa wazazi

yuu

Hatimaye utata ulioenea kuhusu ufujaji na matumizi mabaya ya fedha kiasi cha milioni 285.49 zilizokuwa zimechangwa na wadau pamoja na serikali kwa ajili ya rambi rambi ya vifo vya ajali ya basi la wanafunzi wa shule ya luck Vicent umekwisha baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kukabidhi kiasi cha sh. milioni 23.27 kwa wazazi wa watoto walionusurika katika ajali hiyo.

Akikabidhi fedha hizo mbele ya waandishi wa habari ambapo kila mzazi amepata milion 7.75 Gambo amesema fedhaa hizo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani