Azam FC wachukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Simba fainali

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa usiku wa Ijumaa hii huko visiwani Zanzibar.

Bao la ushindi la Azam lilifungwa na Himidi Mao katika dakika ya 12 ya mchezo kwa kupiga shuti kali. Ushindi huo wa Azam umeifanya kuweka rekodi mpya katika mashindano hayo kwa kucheza mechi zote bila ya kufungwa bao hata moja.

Tazama picha za Azam wakishangilia ushindi huo.

Picha katika akaunti ya...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SIMBA YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI KWA KUIFUNGA YANGA 4-2 KWA MATUTA

Na Bin ZubeirySIMBA SC imefanikiwa kwenda fainali ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kuwatoa watani wa jadi, Yanga kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.  Penalti za Simba zilifungwa na Nahodha Jonas Mkude, kipa Daniel Agyei, Muzamil Yassin na beki Mkongo Janvier Besala Bokungu, wakati kipa wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’ aliokoa mkwaju wa beki Mzimbabwe Method Mwanjali. Waliofunga penalti za Yanga ni Simon Msuva na kiungo Mzimbabwe, Thabani...

 

2 years ago

Mtanzania

KIMBEMBE FAINALI SIMBA, AZAM KOMBE LA MAPINDUZI LEO

*Yanga yawashtua watani wao Simba

 

simba-vs-azamNA SAADA SALIM, UNGUJA

FAINALI ya Kombe la Mapinduzi inayozikutanisha timu za Simba na Azam, inatarajia kufanyika leo katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Hii ni mara ya pili kwa timu hizo kucheza fainali ambapo mwaka 2012 tarehe kama ya hii, zilikutana katika uwanja huo na Azam kuibuka mabingwa kwa mara ya kwanza katika michuano hiyo baada ya kuifunga Simba 2-1.

Simba imetinga fainali baada ya kuwasukuma nje ya michuano mahasimu wao Yanga, kwa mikwaju ya...

 

2 years ago

Mwananchi

Azam yajipanga kuchukua ubingwa Kombe la Mapinduzi

Dar es Salaam.  Timu ya Azam imejipanga kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi ili liwape faraja na kurejesha morali ambayo imeonekana kushuka kikosini.

 

2 years ago

Mwananchi

Azam yatangulia fainali Kombe la Mapinduzi

Azam FC imetinga kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Taifa Jang’ombe bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya kwanza uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Simba yatangulia nusu fainali kombe la mapinduzi

Simba SC imekwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KVZ usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Ushindi huo uliotokana na bao pekee la kiungo Muzamiru Yassin dakika ya 43, unaifanya Simba SC ifikishe pointi sita baada ya kucheza mechi mbili.

Sifa zaidi zimuendee beki Abdi Hassan Banda aliyeyafanikiwa kuvunja mtego wa kuotea wa KVZ na kumpa pasi nzuri Muzamiru aliyekwenda kufunga.

Huu unakuwa ushindi wa pili mfululizo kwa Simba katika michuano...

 

2 years ago

Bongo5

Simba SC kucheza fainali ya kombe la Mapinduzi na Azama Fc

Klabu ya Simba SC imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kuwatoa watani wao wa jadi, Yanga kwa mikwaju ya penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Golikipa wa Simba Daniel Agyei ndio alikuwa shujaa kwa upande wa Simba hususan katika changamoto ya mikwaju ya penati. Agyei ameokoa penati mbili za Deogratius Munishi na Mwinyi Haji huku yeye akifunga penati yake baada ya Mkude kufunga ya kwanza.

Simba sasa itakutana na Azam FC Ijumaa...

 

4 years ago

Vijimambo

SIMBA, MTIBWA SUGAR ZAKUTANA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

Wachezaji wa Simba wakishangilia baoWEKUNDU wa Msimbazi Simba wametinga fainali ya kombe la Mapinduzi kufuatia kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Polisi katika mechi wa nusu fainali ya kombe hilo iliyomalizika usiku huu uwanja wa Amaan Zanzibar.MABINGWA wa zamani wa Tanzania mara mbili mfululizo, 1999 na 2000, Mtibwa Sugar ya Morogoro wametinga fainali ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2015 kufuatia kuitandika JKU ya Zanzibar penalti 4-3. Credit:ShaffihDauda

 

5 years ago

GPL

HALF TIME FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: SIMBA 0, KCC 1

Timu za Simba na KCC zikisubiri kukaguliwa kabla ya mtanange kuanza kwenye Uwanja wa Amaan mjini Unguja. KWA sasa ni mapumziko katika mechi ya fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kati ya Simba SC na KCC ya Uganda ndani ya Uwanja wa Amaan mjini Unguja. KCC wako mbele kwa bao…

 

2 years ago

Bongo5

Muzamiri wa Simba aipeleka nusu fainali kombe la Mapinduzi

klabu ya Simba Sc imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuifunga klabu ya KVZ kutoka Zanzibar usiku wa kuamkia leo.

Ushindi huo uliotokana na bao pekee la kiungo Muzamiru Yassin dakika ya 43, unaifanya Simba SC ifikishe pointi sita baada ya kucheza mechi mbili.

Michuano hiyo itaendelea leo kwa mechi za Kundi B, kati ya Zimamoto na Yanga kuanzia Saa 10:00 jioni na Jamhuri dhidi ya Azam kuanzia Saa 2:30 usiku.

Jiunge na Bongo5.com...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani