AZAM FC WATUA BUKOBA, TAYARI KWA MCHEZO WAO NA KAGERA SUGAR KESHO JUMATATU

Na Faustine Ruta, BukobaKLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetua Mjini Bukoba asubuhi hii ikitokea Jijini Dar es salaam. Tayari kwa mchezo wao na Wenyeji wao Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba kesho jumatatu. Azam FC katika mchezo uliopita ilifungwa na Simba bao 1-0. Msimu uliopita Kagera Sugar ilifungwa na Azam Fc bao 3-2 kwenye Uwanja wa Kaitaba na msimu huo huo Kagera Sugar waliwafunga bao 1-0 Azam Fc na kuumaliza msimu huo wakiwa nafasi ya tatu. 
Mabingwa hao wa Ligi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

STAND UNITED WATUA BUKOBA! WAFANYA MAZOEZI KAITABA TAYARI KWA KUUMANA NA KAGERA SUGAR KESHO JUMAMOSI

Wachezaji wa Stand United wakifanya mazoezi yao ya Mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini tayari kwa kuumana na Wenyeji wao Kagera Sugar kesho Jumamosi tarehe 18, 2014
Na Faustine Ruta, BukobaJumla ya wachezaji 26 wa Timu ya Stand United ya Shinyanga wametua mjini Bukoba leo  kwa ajili ya kipute cha Ligi kuu ya  Vodacom msimu wa 2014-15 na  wenyeji wao Kagera Sugar wamefanya mazoezi yao kwa mara ya kwanza Kagera kwenye Uwanja wa Kaitaba.Wachezaji hao, wakiongozwa na Kocha Mkuu Emmanuel...

 

5 years ago

Michuzi

RHINO RANGERS WATUA SALAMA BUKOBA, KESHO JUMAMOSI UWANJANI KAITABA KUWAKABILI KAGERA SUGAR

Na Faustine Ruta, Bukoba Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya 19 kesho (Februari 22 mwaka huu) kwa mechi tano zitakazochezwa katika miji ya Dar es Salaam, Bukoba, Morogoro, Tanga na Arusha. Kocha wa Rhino Rangers Wachezaji wa Timu ya Rhino Rangers kutoka Tabora wakifanya mazoezi yao ya mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba jioni hii, Kesho Kuwakabili Wenyeji Kagera Sugar. Rhino Rangers ambao wanashika nafasi ya mkiani mwa ligi hiyo pendwa ya Vodacom...

 

3 years ago

Channelten

#VIDEO Kocha wa Azam FC kazungumzia Mchezo wao wa Marudiano Kesho Tunisia

Kikosi cha Azam FC kinajiandaa na mchezo wa marudiano wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Esperance utakaofanyika kesho Jumanne Aprili 19 Mjini Tunisia.

Tazama Video hapa Chini Kocha wa Azam Fc kauongelea Mchezo…

 

5 years ago

Michuzi

WASANII WATUA BUKOBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA FIESTA 2014 LEO UWANJA WA KAITABA

Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.comWasanii wakishuka kwenye Ndege tayari kwa Fiesta kesho Ijumaa.

 

3 years ago

Michuzi

NAVY KENZO WATUA BUKOBA TAYARI KWA SHOW YAO USIKU HUU LINA'S NIGHT CLUB

Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika leo wametua Bukoba ikiwa ni mwendelezo wao wa "Kamatia Chini lights up Tour" ambapo usiku huu watashusha show yao ya Nguvu kwenye Ukumbi wa Burudani wa Lina's Night uliopo Bukoba Mjini. Wasanii hao wanaletwa hapa Mjini Bukoba kupitia kampuni ya Sleek Events ya Jijini Mwanza.Msanii Aika akishuka kwenye ndege leo hii kwenye Uwanja wa Ndege Mjini BukobaWadau wakipata picha ya pamoja na wasanii wa Kundi la Navy Kenzo
Kushoto ni Mr. Tega...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ligi Kuu ya VPL kuendelea tena leo, Simba dhidi ya Kagera Sugar, kesho Yanga dhidi ya Azam FC

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inatarajiwa kuendelea tena Jumamosi ya leo Oktoba 15, 2016 kwa michezo mitatu ambako Simba inayoongoza katika msimamo wa kuwania taji hilo katika timu 16 itaikaribisha Kagera Sugar ya Kagera kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Na.73, mwamuzi atakuwa Hussein Athuman kutoka mkoani Katavi ambako pembeni atasaidiwa na Joseph Bulali wa Tanga na Silvester Mwanga wa mkoani Kilimanjaro wakati Soud Lila wa Dar es Salaam atakuwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAPINZANI WA AZAM FC WATUA DAR KAMILI JIONI HII TAYARI KWA MECHI JUMAPILI

Na Bin Zubeiry Ferroviario wakiwa mbele ya basi la Azam FC liliwapokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Azam inacheza kwa mara ya pili mwaka huu michuano hiyo ya Shirikisho, baada ya mwaka jana kutolewa hatua ya 16 Bora na AS FAR Rabat ya Morocco, ikiwa chini ya kocha Muingereza, Stewart John Hall, aliyejiuzulu Novemba mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Mcameroon, Joseph Marius Omog.   Azam imekuwa kambini katika hosteli zake za kisasa zilizopo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Bocco aibebea Azam Kaitaba: Ubaoni Azam 3-2 Kagera Sugar

BAO lililofungwa na nahodha John Bocco ‘Adebayor’ dakika ya 86, limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kuibuka na pointi zote tatu baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba. Bukoba, mkoani Kagera jioni ya Jana.

Bao hilo linamfanya Bocco kufikisha mabao matano kwenye msimu huu wa ligi akizidiwa mabao mawili na Shiza Kichuya wa Simba, anayeongoza kileleni kwa mabao saba.

Mabao mengine ya Azam yalifungwa na Mudathir Yahya na...

 

5 years ago

Michuzi

kagera sugar yaichapa Tanzania prisons 2-1 leo bukoba

Kikosi cha Kagera Sugar
Na Faustine Ruta,  Bukoba Ligi Kuu Vodacom imeendelea leo na hapa Mjini Bukoba tukishuhudia Timu ya Maafande kutoka Jijini Mbeya ikinyukwa bao 2-1 na  wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba.  Kipindi cha kwanza Tanzania Prisons ndio walipata bao kupitia kwa mchezaji wao Peter Michael katika dakika ya 37 baada ya kuwachambua kama karanga mabeki wa Kagera Sugar na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Kagera Sugar.  Mpaka dakika za mapumziko Tanzania Prisons...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani