Azam FC yaichapa Bidvest Wits 4-3, yasonga mbele

azam fc
TIMU ya Azam FC leo imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa mabao 4-3 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar.

Mabao ya Azam FC yamepachikwa kimiani na Kipre Tchetche aliyefunga mabao matatu ‘hat trick’ na moja likapachiwa na nahodha wa timu hiyo, John Bocco.

Katika mechi ya kwanza, Bidvest ilipoteza kwa mabao 3-0 ikiwa nyumbani Johannesburg. Safari hii imepata mabao matatu lakini ikashindiliwa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

AZAM YASONGA MBELE AFRIKA Yaiondoa Bidvest, Sasa kukutana na Esperance ya Tunisia

 

AZAM FC_0

Azam fc ya Dar es Salaam imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya awali ya kombe la shirikisho kwa vilabu barani Afrika baada ya hii leo kuifunga Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa magoli 4 – 3 kwenye mechi ya marudio iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Magoli ya ushindi ya Azam Fc yalifungwa na John Boko katika dakika ya 42 ya kipindi cha kwanza, huku magoli mengine matatu yakifungwa na Kipre cheche katika dakika za 27, 54 na 87 na kuifanya timu hiyo kuondoka na ushindi wa jumla wa...

 

3 years ago

Mtanzania

Azam yaiwinda Bidvest Wits

KITAMBI-1NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

TIMU ya soka ya Azam imeanza kujiwinda kuelekea kwenye michuano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho kwa kuanza kuwasoma wapinzani wao wanaotarajia kukutana nao katika raundi ya kwanza ya michuano hiyo.

Azam waliopita moja kwa moja katika raundi hiyo bila kucheza hatua ya awali, Jumamosi iliyopita ilituma makocha wao wasaidizi Mario Marinica na Dennis Kitambi, kwenda nchini Shelisheli kushuhudia mchezo wa raundi ya awali ya michuano hiyo uliowakutanisha wenyeji...

 

3 years ago

Mwananchi

Kocha Bidvest Wits aichambua Azam FC

Kocha wa Bidvest Wits, Gavin Hunt amesema mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika hayakuwa kipaumbel e kwake.

 

3 years ago

MillardAyo

Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti

IMG-20160309-WA0026

Klabu ya Azam FC asubuhi ya leo March 9 imesafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, utakaochezwa weekend hii na wiki mbili baadae kurudiana uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari […]

The post Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

BBC

Bidvest Wits eye Champions League glory

African champions Sundowns relinquish their South African title to Bidvest Wits after a dramatic penultimate round of the season.

 

4 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE KWA USHINDI MWEMBAMBA SASA KUKUTANA NA AZAM JUMATATO PATACHIMBIKAJE


Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe (katikati) akishangilia goli lake kwa kuwapungia mkono mashabiki
Mabingwa wa Tanzania bara Young Africans ‘Yanga’, leo wameibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 mbele ya Khartoum Nalitonal Club katika mwendelezo wa michuano ya Kagame Cup mechi iliyopigwa leo jioni kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo ulianza kwa kasi lakini Khartoum walionekana kuwamudu vyema Yanga dakika za mwanzoni na walifanikiwa kutengeneza nafasi kadhaa lakini hawakuweza...

 

3 years ago

Michuzi

PANONE FC YASONGA MBELE LIGI YA SHIRIKISHO YA AZAM,YAIFUNGA POLISI DAR ES SALAAM BAO 2 KWA 1

Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone fc.Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo.Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone fc vikiwa tayari kuingia uwanjani.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

3 years ago

BBCSwahili

TP Mazembe yasonga mbele

TP Mazembe wamesonga mbele katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kupata goli la ugenini.

 

4 years ago

Habarileo

Magharibi yasonga mbele Zanzibar

TIMU ya soka ya Wilaya ya Magharibi imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Zanzibar CUP baada ya kuifunga Wilaya ya Kaskazini B mabao 3-2.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani