AZAM FC YAILAMBA KAGERA SUGAR 2-0

 Shaban Ibrahim akimshika bukta Didier Kavumbagu. Uniwezi..... Kavumbagu akimtoka Shaban Ibrahim. Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (kulia) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.Golikipa wa Kagera Sugar, Agathony Anthony akiokoa moja ya hatari langoni mwake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Bocco aibebea Azam Kaitaba: Ubaoni Azam 3-2 Kagera Sugar

BAO lililofungwa na nahodha John Bocco ‘Adebayor’ dakika ya 86, limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kuibuka na pointi zote tatu baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba. Bukoba, mkoani Kagera jioni ya Jana.

Bao hilo linamfanya Bocco kufikisha mabao matano kwenye msimu huu wa ligi akizidiwa mabao mawili na Shiza Kichuya wa Simba, anayeongoza kileleni kwa mabao saba.

Mabao mengine ya Azam yalifungwa na Mudathir Yahya na...

 

2 years ago

Michuzi

FULL TIME VPL: KAGERA SUGAR 2 v 3 AZAM FC, NAHODHA JOHN BOCCO AIPAUSHINDI AZAM FC NA KUPANDA JUU NAFASI YA NNE!

Wachezaji wa Azam Fc wakimpongeza Nahodha wao John Bocco dakika ya 86 baada ya kuwapachikia bao la ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Vodacom VPL leo kwenye Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Mjini. Bao hilo limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam kuibuka na pointi  tatu muhimu  baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo ulifanyika leo Mkoani Kagera.Kikosi cha Azam Fc kilichoanza dhidi ya Kagera Sugar leo kwenye Uwanja wa Kaitaba
Timu zilivyokuwa zinaingia...

 

2 years ago

Habarileo

Azam, Kagera Sugar hapatoshi

KIKOSI cha timu ya Azam FC leo kitashuka Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kucheza na wenyeji wao Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara.

 

2 years ago

Mwananchi

Mshambuliaji mpya wa Azam, Mbaraka agoma kuzungumzia mkataba wa Kagera Sugar

Mshambuliaji mpya wa Azam, Mbaraka Yusuph amesema hawezi kuzungumzia taarifa zinazoenea kuwa bado ana mkataba mpya na Kagera Sugar.

 

1 year ago

Michuzi

VPL: KAGERA SUGAR YATOSHANA NGUVU NA AZAM FC KWENYE UWANJA WA KAIATABA LEO


Na Faustine Ruta, BukobaTIMU ya Kagera Sugar imelazimishwa sare ya 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.Matokeo hayo yanaiongezea pointi moja Azam FC na kufikisha 34 sawa na mabingwa watetezi, Yanga SC ambao hata hivyo wana mchezo mmoja mkononi.Kagera Sugar yenyewe inafikisha pointi 14 baada ya kucheza mechi 18 na sasa inajinasua mkiani ikirudi nafasi ya 15 kwa wastani wa mabao tu baada ya kulingana kwa pointi na...

 

1 year ago

Michuzi

AZAM FC WATUA BUKOBA, TAYARI KWA MCHEZO WAO NA KAGERA SUGAR KESHO JUMATATU

Na Faustine Ruta, BukobaKLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetua Mjini Bukoba asubuhi hii ikitokea Jijini Dar es salaam. Tayari kwa mchezo wao na Wenyeji wao Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba kesho jumatatu. Azam FC katika mchezo uliopita ilifungwa na Simba bao 1-0. Msimu uliopita Kagera Sugar ilifungwa na Azam Fc bao 3-2 kwenye Uwanja wa Kaitaba na msimu huo huo Kagera Sugar waliwafunga bao 1-0 Azam Fc na kuumaliza msimu huo wakiwa nafasi ya tatu. 
Mabingwa hao wa Ligi...

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Ufafanuzi wa CEO wa Azam FC kuhusu Ame Ally kuondoka Simba na kujiunga na Kagera Sugar

dscf4969

Leo December 16 2016 CEO wa Azam FC Saad Kawemba ameamua kuweka wazi masuala kadhaa kuhusiana na usajili, ufafanuzi wa Saad umekuja ikiwa ni siku moja imepita toka dirisha dogo la usajili kufungwa jana December 15. Saad ameweka wazi masuala kadhaa ila ameweka wazi lile suala la mshambuliaji wao Ame Ally aliyekuwa kwa mkopo Simba […]

The post AUDIO: Ufafanuzi wa CEO wa Azam FC kuhusu Ame Ally kuondoka Simba na kujiunga na Kagera Sugar appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ligi Kuu ya VPL kuendelea tena leo, Simba dhidi ya Kagera Sugar, kesho Yanga dhidi ya Azam FC

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inatarajiwa kuendelea tena Jumamosi ya leo Oktoba 15, 2016 kwa michezo mitatu ambako Simba inayoongoza katika msimamo wa kuwania taji hilo katika timu 16 itaikaribisha Kagera Sugar ya Kagera kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Na.73, mwamuzi atakuwa Hussein Athuman kutoka mkoani Katavi ambako pembeni atasaidiwa na Joseph Bulali wa Tanga na Silvester Mwanga wa mkoani Kilimanjaro wakati Soud Lila wa Dar es Salaam atakuwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani