AZAM TV: YANGA 4-0 NJOMBE MJI (MAGOLI YOTE, CHIRWA AKIPIGA HAT-TRICK) - VPL 06/02/2018

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kama uliyakosa magoli ya Arsenal vs West Ham, Sanchez akipiga hat-trick

screen-shot-2016-12-04-at-12-41-14-am

Moja kati ya mechi za Ligi Kuu England zilizochezwa usiku wa December 3 2016 ni mchezo kati ya Arsenal dhidi ya West Ham United, huu ni mchezo ambao ulikuwa unazikutanisha timu za jiji moja. Mchezo umepigwa katika uwanja wa nyumbani wa West Ham United unaojulikana kama London Olympic, West Ham wakiwa nyumbani wamejikuta wakikubali kufungwa […]

The post VIDEO: Kama uliyakosa magoli ya Arsenal vs West Ham, Sanchez akipiga hat-trick appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Lyon yaiduwaza Simba, Yanga yapeta Mbeya, Azam bado sana… Matokeo yote ya VPL haya hapa

Kikosi cha Simba kimepoteza kwa mara ya kwanza mchezo wake wa Ligi ya Vodacom Tanzania baada ya kufungwa na African Lyon bao 1-0 mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Kipigo hicho kimepoteza rekodi nzuri ya Simba ya kucheza mechi sita bila kufungwa.

Kufungwa kwa leo kunaifanya Simba kumuongiza gepu la pointi kutoka nane hadi kufikia tano dhidi ya bingwa mtetezi Yanga anayeshika nafasi ya pili akiwa na pointi 30.

Matokeo ya mechi zote za leo haya hapa chini

 

matokeo-vpl

msimamo-wa-vpl

The post Lyon...

 

4 years ago

Vijimambo

MSUVA APIGA HAT TRICK YANGA IKIIADHIBU TAIFA 4-0 KOMBE LA MAPINDUZI

Simon Msuva amefunga mabao matatu na kupika moja, Yanga SC ikiifumua mabao 4-0 Taifa ya Jang’ombe katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi, uliofanyika Uwanja wa Amaan usiku huu. Kazi nzuri iliyofanywa na Winga machachari wa Yanga Simon Msuva, imeiwezesha timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya timu ya Taifa Jang'ombe katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Aman Mjini Zanzibar. Mabao matatu kati ya manne yalifungwa na Simon Msuva katika...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Historia Leo: Kibaden na rekodi ya hat trick katika dabi ya Simba na Yanga.

Nikukumbushe historia za soka,

Leo Julai 19, 2017 ni miaka 40 ya moja katika rekodi ya ufungaji mabao ya mechi za watani wa jadi kwa lugha ya kileo dabi ya Simba na Yanga.

Jioni ya siku ile Julai 19, 1977, Simba iliifunga Yanga mabao sita kwa bila (6-0) huku Abdallah ‘king’ Kibaden akifunga hattrick (mabao matatu).

Siku hiyo, Kibadeni alitikisa nyavu za Yanga katika dakika za 10, 42 na 89, wakati mabao mengine ya Wekundu wa Msimbazi, yalitiwa kimiani na Jumanne Hassan ‘Masimenti’ dakika ya...

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 4: Yanga wameiondoa Simba kileleni kwa magoli ya Obrey Chirwa

Baada ya wekundu wa Msimbazi Simba kushindwa kupata ushindi dhidi ya Azam FC January 28 2017 katika uwanja wa Taifa, leo ilikuwa ni zamu ya watani zao wa jadi Yanga kukabiliana na Mwadui FC katika uwanja wa Taifa. Mchezo wa Yanga na Mwadui FC ulikuwa ni mgumu kwa timu zote mbili kupata matokeo, kwani Yanga […]

The post PICHA 4: Yanga wameiondoa Simba kileleni kwa magoli ya Obrey Chirwa appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Obrey Chirwa yaliyoipandisha Yanga kileleni Jan 29 2017

January 29 Yanga walicheza vs Mwadui FC katika mchezo ambao walihitaji point tatu ili waweze kuwapita wapinzani wao Simba ambao walikuwa wanaongoza Ligi, Yanga walikutana na wakati mgumu dhidi ya Mwadui FC lakini mzambia Obrey Chirwa alifanikiwa kuifungia Yanga magoli 2-0 akitokea benchi kipindi cha pili. VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

The post VIDEO: Magoli ya Obrey Chirwa yaliyoipandisha Yanga kileleni Jan 29 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Idadi ya magoli yaliyoipa Yanga Ubingwa wa 27 wa VPL leo

May 20 2017 Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 ulimalizika rasmi kwa michezo nane kuchezwa kwa mara moja ili kuepusha kupangwa kwa matokeo ya mechi hizo, Yanga ambao walikuwa wanatetea Ubingwa wao walikuwa jiji Mwanza kucheza dhidi ya Mbao FC. Mchezo wa Yanga dhidi ya Mbao FC licha ya kuwa Yanga alikuwa tayari […]

The post Idadi ya magoli yaliyoipa Yanga Ubingwa wa 27 wa VPL leo appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Ndanda, Mbao, Singida, Njombe Mji zavuna Azam

 Wachezaji sita wa Azam wametolewa kwa mkopo kwenda klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Bara ili kupata nafasi ya  kucheza katika vikosi vya kwanza.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani