AZAM WAIOMBA TFF WASOGEZA MBELE MECHI YAO DHIDI YA NJOMBE MJI

Na Agness Fracis,Blogu ya Jamii

UONGOZI wa Azam FC umeomba mchezo wao dhidi ya Njombe Mji usogezwa mbele kutokana na muda mchache waliopumzika baada ya kumalizana na Ruvu Shoting ya Mlandizi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Ofisa Habari wa Azam Jaffary Maganga amesema wameomba mchezo kusogezwa mbele ili kupata nafasi ya kujiandaa ikiwa ni jana wametoka ugenini kucheza na timu ya Ruvu shooting.

"Tumeandika barua Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania( TFF) kuomba mchezo dhidi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

AZAM WAWATUPIA LAWAMA WAAMUZI WA MECHI YAO DHIDI YA MBEYA CITY


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Baada ya kulazimishwa sare na Mbeya City katika mchezo wa jana uliopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi, benchi la ufundi la Azam limelalamikia maamuzi mabovu ya waamuzi waliochezesha mechi hiyo.


Wakitoa malalamiko hayo kupitia mtandao wao, wamelalamikia maamuzi yaliyokuwa yakifanywa na waamuzi hao katika dakika 45 za kipindi cha pili na kushangaza watu wengi hadi wachezaji uwanjani na kusema kuwa wanaamini kuwa hayo yalikuwa  yakifanywa na waamuzi kana kwamba...

 

1 year ago

Michuzi

WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA UJENZI SHIRIKI WA MPANGO MJI.

 Na David John

BAADHI ya wananchi wa Kigamboni Gezaulole Kata ya Somangila mtaa wa Mwela jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kulipa fidia kwa wananchi hao ambao walitakiwa kupisha ujenzi shiriki wa mpango Mji.

Wamesema kuwa ni muda mrefu sasa umepita hawajuwi mstakabali wa fidia hiyo nakudai ni vema serikali ikafanya haraka kuwafidia ili waondokane na hali ngumu wanazokutana nazo.

Akizungumza kwaniaba ya wezake mmoja wa waathirika na mchakato huo Marando Nyanda alisema...

 

1 year ago

Mwanaspoti

Ndanda, Mbao, Singida, Njombe Mji zavuna Azam

 Wachezaji sita wa Azam wametolewa kwa mkopo kwenda klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Bara ili kupata nafasi ya  kucheza katika vikosi vya kwanza.

 

9 months ago

Michuzi

TFF YASOGEZA MBELE MECHI YA SIMBA, LIPULI

Na Agness Francis,Blogu ya Jamii
MECHI ya wana Paluhengo Lipuli na vinara wa Ligi Simba uliotarajiwa kuchezwa  Ijumaa Aprili  20 mwaka huu katika Uwanja wa Samora Mjini Iringa imesogezwa mbele.
Mchezo huo wenye namba 202 wa Ligi Kuu ya Vodacom Lipuli dhidi ya  Simba SC  sasa hautachezwa kama tarehe ya mwanzo iliyopangwa na  (TFF).Umesogezwa  mbele kwa siku moja.
Bodi ya Ligi ya Mpira wa miguu Tanzania (TFF) wameamua Mechi hiyo ichezwe Aprili 21,mwaka huu kwenye uwanja huo huo wa Kumbukumbu ya...

 

3 years ago

Habarileo

Mechi ya Azam, Mwadui yasogezwa mbele

MCHEZO wa raundi ya 17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Azam FC dhidi ya Mwadui umesogezwa mbele siku moja na sasa utachezwa Jumatatu Februari 8, mwaka huu badala ya Jumapili.

 

4 years ago

Tanzania Daima

KGA wasogeza mbele mgomo wao

MGOMO ulioitishwa na chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimajaro (KGA) wa kutaka kusitisha shughuli za kuhudumia watalii katika mlima huo umesogezwa mbele baada ya Serikali kupitia Hifadhi ya Taifa...

 

3 years ago

Mwananchi

Simba yaiomba ZFA isogeze mbele mechi dhidi ya Jamhuri

Siku moja baada ya ratiba ya Kombe la Mapinduzi kutoka, uongozi wa Simba umewataka waandaaji wa mashindano hayo, Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kusogeza mbele mchezo wao dhidi ya Jamhuri ya Pemba kutokana na kukabiliwa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ndanda ya Mtwara.

 

4 years ago

Michuzi

Vodacom wasogeza huduma kwa wakazi wa mji wa kihistoria wa Bagamoyo

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi wa kwanza kulia akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki.Wengine katika picha katikati ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi wa pili toka kushoto akifungua mvinyo(shampeni) kuashiria uzinduzi wa duka...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani