Azam yaajiri kocha Mromania

KLABU ya soka ya Azam imemtangaza Mromania Aristica Cioaba (45) kuwa kocha mkuu akichukua nafasi ya Mhispania Zeben Hernandez ambaye mkataba wake ulisitishwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwanaspoti

Mromania Azam kimeeleweka

KOCHA mpya wa Azam, Mromania Aristica Cioaba anatarajia kuanza rasmi kuinoa timu hiyo kuanzia kesho Jumatano baada ya vibali vyake vya kazi kutoka.

 

11 months ago

Mwanaspoti

Azam kumpa mkataba Mromania

Dar es Salaam. Klabu ya Azam FC imesema imeridhishwa na uwezo wa kocha Aristico Cioaba na unatarajia kuanza naye mazungumzo ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuifundisha timu hiyo.

 

11 months ago

Mwanaspoti

Azam wampa Mromania mwaka mmoja

KLABU ya Azam FC imefikia uamuzi wa kumpa mkataba wa mwaka mmoja kocha Mromania Aristica Cioba na sasa kazi imebaki kwake

 

1 year ago

Michuzi

AZAM WAMSHUSHA MROMANIA KUKINOA KIKOSI HICHO

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana huu imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho.
Cioaba, 45, anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben Hernandez, aliyesitishiwa mkataba pamoja na benchi lake zima la ufundi.
Kocha huyo atasaidiana na makocha wazawa, Idd Nassor Cheche na Kocha wa Makipa Idd Abubakar, walioiongoza timu hiyo kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambapo saa 10.15 jioni ya leo itasaka fainali kwa kukipiga...

 

3 years ago

Mwananchi

Azam TV yabadili habari, yaajiri watangazaji wapya

Kituo cha Televisheni cha Azam kimefanya mabadiliko katika utangazaji wa taarifa za habari, huku kikimuajiri Jane Shirima kuwa mkurugenzi wa televisheni.

 

10 months ago

Mwanaspoti

Mromania wa Azam asubiriwa kukamilisha usajili wachezaji wa kujenga kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao

 Klabu ya Azam imesema inamsubiri kocha wake Aristico Cioaba arejee nchini ili iendelee na taratibu za usajili.

 

7 months ago

Michuzi

Azam kuna upinzani mkubwa wa makipa- Kocha Makipa Azam

KOCHA wa makipa wa timu ya Azam Fc, Idd Abubakar, amekiri upinzani mkali kwa makipa wake kikosini kwani wana jumla ya makipa wanne kikosini, Mghana Razak Abalora, Mwadini Ally, Benedict Haule na Metacha Mnata aliyepandishwa, wote wakiwa wanaunda kikosi cha timu kubwa kwenye eneo hilo.
Kwa sasa tokea Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ianze Agosti 26 mwaka huu, Abalora ameonekana kuwa chaguo la kwanza, akiwa mpaka sasa hajaruhusu wavu wake kuguswa kwenye mechi zote mbili za mwanzo, Azam...

 

3 years ago

Habarileo

Azam yaachana na kocha

ZIKIWA zimesalia takriban siku mbili kabla ya mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga, Azam imeachana na kocha msaidizi George Nsimbe baada ya kufikia makubaliano. Akizungumza jijini jana, Ofisa habari wa Azam FC, Jafar Iddi alithibitisha kuondoka kwa Nsimbe na kusema nafasi yake imechukuliwa na Romano aliyekuwa timu B.

 

3 years ago

Habarileo

Kocha Azam alia na waamuzi

KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwa makini na waamuzi akidai wanaharibu mechi za Ligi Kuu kwa kuzipendelea baadhi ya timu. Hall aliyasema hayo baada ya mchezo dhidi ya Yanga juzi uliomalizika kwa sare ya 1-1.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani