Azam yaiwinda Bidvest Wits

KITAMBI-1NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

TIMU ya soka ya Azam imeanza kujiwinda kuelekea kwenye michuano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho kwa kuanza kuwasoma wapinzani wao wanaotarajia kukutana nao katika raundi ya kwanza ya michuano hiyo.

Azam waliopita moja kwa moja katika raundi hiyo bila kucheza hatua ya awali, Jumamosi iliyopita ilituma makocha wao wasaidizi Mario Marinica na Dennis Kitambi, kwenda nchini Shelisheli kushuhudia mchezo wa raundi ya awali ya michuano hiyo uliowakutanisha wenyeji...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Kocha Bidvest Wits aichambua Azam FC

Kocha wa Bidvest Wits, Gavin Hunt amesema mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika hayakuwa kipaumbel e kwake.

 

3 years ago

Global Publishers

Azam FC yaichapa Bidvest Wits 4-3, yasonga mbele

azam fc
TIMU ya Azam FC leo imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa mabao 4-3 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar.

Mabao ya Azam FC yamepachikwa kimiani na Kipre Tchetche aliyefunga mabao matatu ‘hat trick’ na moja likapachiwa na nahodha wa timu hiyo, John Bocco.

Katika mechi ya kwanza, Bidvest ilipoteza kwa mabao 3-0 ikiwa nyumbani Johannesburg. Safari hii imepata mabao matatu lakini ikashindiliwa...

 

3 years ago

MillardAyo

Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti

IMG-20160309-WA0026

Klabu ya Azam FC asubuhi ya leo March 9 imesafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, utakaochezwa weekend hii na wiki mbili baadae kurudiana uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari […]

The post Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

BBC

Bidvest Wits eye Champions League glory

African champions Sundowns relinquish their South African title to Bidvest Wits after a dramatic penultimate round of the season.

 

3 years ago

Mtanzania

Azam yaituliza Bidvest

Pg 32* Yavuna mabao saba, yajibu mapigo kwa Esperance, Twiga stars ‘out’

JENIFER ULEMBO, DAR ES SALAAM

TIMU ya soka ya Azam jana ilifanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutamba nyumbani kwa kuichapa Bidvest Wits ya Afrika Kusini mabao 4-3 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam.

Azam walifanikiwa kuzima ndoto za wapinzani wao, Bidvest Wits kwa kuwafunga jumla ya mabao 7-3 ikiwa ni ushindi wa mabao 3-0 ugenini na...

 

3 years ago

Mwananchi

Azam yamaliza kazi wa Bidvest

Kocha msaidizi wa Azam, Mario Marinica amesema wameshaipeleleza vya kutosha klabu ya Bidvest Wits watakayokutana nayo Jumamosi na kuahidi kuwa watapata ushindi.

 

3 years ago

TheCitizen

Azam in cruise control after rout of Bidvest

Dar es Salaam. North African sides have enjoyed a clear superiority over their opponents from the rest of the continent in the CAF Confederation Cup round of 32, first leg on Saturday.

 

3 years ago

Habarileo

Azam kuiwekea Bidvest kambi nje ya nchi

KLABU Bingwa ya soka Afrika Mashariki na Kati, Azam FC inatarajiwa kuweka kambi nje ya nchi kujiandaa na mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani