Azam yaizima Yanga

AZAM FC jana ilimaliza ubabe wa Yanga katika michuano ya Kombe la Kagame baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 5-4 katika mchezo wa robo fainali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

LIGI YA MABINGWA: Azam yaizima El Merreikh

>Mabingwa wa Tanzania Bara, Azam FC wameanza kwa kishindo Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa El Merreikh kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

 

7 months ago

Zanzibar 24

Kombe la Mapinduzi: Azam yaizima Zimamoto

Azam FC wamefanikiwa kuchomoza na ushindi katika mchezo wao wa mwanzo dhidi ya Zimamoto katika kombe la mapinduzi huku ikiwa ni mchezo wao wa pili tangu kuwatimua makocha wao wa kihaspania.

Azam ambayo ilitawaliwa na sura mpya wamepata ushindi huo wa goli 1 – 0 ambalo lilifungwa na mchezaji wao kutoka katika timu yao ya vijana Shabani Iddi dakika 11 kabla ya mchezo huo kumalizika muda mchache baada ya kuingia akitokea benchi.

 

The post Kombe la Mapinduzi: Azam yaizima Zimamoto appeared...

 

7 months ago

Mwananchi

Simba yaizima Yanga Zanzibar

Penalti nne zimetosha kuifanya Timu ya Simba kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuicharaza Yanga iliyoambulia mbili.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Yanga bila, Azam bila: Si Yanga, Si Azam ,Shamba la bibi labaki salama

Jioni ya Leo pale Shamba la bibi palikuwa na kazi moja tu, kazi ya kutafuta pointi tatu. Hatahivyo baada ya mchezo ubaoni bila bila, kwenye msimamo kila mmoja kachukua moja.

Yanga inafikisha pointi 15 baada ya mechi nane, ikitoa sare ya tatu, baada ya kufungwa mechi moja na kushinda nne, wakati Azam FC inafikisha pointi 12 baada ya kucheza mechi tisa, ikitoa sare ya tatu baada ya kufungwa mechi tatu na kushinda tatu

31

Matokeo

Ruvu 1-0 Mbeya City

Mtibwa Sugar 0-0 Tanzania Prisons

Toto Africans...

 

3 years ago

BBCSwahili

Tunisia yaizima Zambia

Tunisia ilichukua fursa ya kushindwa kwa Zambia kufunga mabao ya wazi ilipotoka nyuma na kuishinda miamba hiyo ya Chipolopolo

 

3 years ago

GPL

MEXICO YAIZIMA CAMEROON

Oribe Peralta akiipatia bao Mexico katika dakika ya 61 ya mchezo. Mexico wakishangilia ushindi wao dhidi ya Cameroon.…

 

10 months ago

Habarileo

Zimamoto yaizima Kimbunga

 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar timu ya Zimamoto juzi ilitoka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wake wa ligi hiyo dhidi ya Kimbunga.

 

2 years ago

BBCSwahili

UEFA: Barcelona yaizima As Roma

Barcelona wakiwa nyumbani wamechomoza na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya As Roma.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani