Azam yamshusha kocha wa Raja Casablanca

HATIMAYE klabu ya Azam Fc imeingia mkataba wa miezi sita na Aristica Cioba 45, raia wa Romania kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya siku chache zilizopita kumtimua kazi aliyekuwa mkufunzi wao Zeben Hernandez na wasaidizi wake wote kutokana kuwa na mwenendo mbaya wa timu katika michezo ya ligi kuu Tanzania bara, anaandika Kelvin ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBC

Osaguona signs for Raja Casablanca

Nigeria international striker Ighodaro Osaguona joins Moroccan club Raja Casablanca on a four-year deal.

 

4 years ago

BBC

Raja Casablanca v Atletico Mineiro

Raja Casablanca keeper Khalid Askri aims to shut out Atletico Mineiro's Ronaldinho in their Club World Cup semi-final.

 

4 years ago

BBC

Bayern Munich v Raja Casablanca

Morocco's Raja Casablanca will become the first African side to win the Club World Cup if they upset Germans Bayern Munich on Saturday.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mashabiki 2 wa Raja Casablanca wauawa

Mashabiki wawili wa kandanda walifariki dunia siku ya jumamosi baada ya mechi kali kati ya Raja de Casablanca ya Morocco na klabu ya Chabab Rif Al Hoceima.

 

2 years ago

BBC

Raja Casablanca dismiss coach Krol

Former Netherlands captain Ruud Krol is sacked as coach of Morocco's Raja Casablanca after only four months in the role.

 

3 years ago

BBC

Raja Casablanca appoint coach Krol

Morocco's Raja Casablanca install Former Dutch World Cup captain Ruud Krol as their new coach on a two-year deal.

 

4 years ago

BBC

Raja Casablanca exit Champions League

Morocco's Raja Casablanca suffer a shock exit in the African Champions League, losing to Horoya of Guinea on penalties.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Mahakama yamshusha pumzi Mbowe

Mahakama Kuu imeamuru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asikamatwe hadi maombi yake yataposikilizwa siku ya Ijumaa.

Siku ya jana Mawakili wa Mbowe waliweka pingamizi la kutokamatwa kwa kiongozi huyo lakini kabla taarifa hazijalifikia Jeshi la Polisi, Mbunge huyo wa Hai akatiwa nguvuni.

Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni tarehe 10 mwezi huu alifungua kesi ya Kikatiba dhidi ya RC Paul Makonda, Kamanda Simon Sirro.

Aidha Mahakama imewaushauri upande wa mlalamikaji kurekebisha...

 

5 months ago

Michuzi

Azam kuna upinzani mkubwa wa makipa- Kocha Makipa Azam

KOCHA wa makipa wa timu ya Azam Fc, Idd Abubakar, amekiri upinzani mkali kwa makipa wake kikosini kwani wana jumla ya makipa wanne kikosini, Mghana Razak Abalora, Mwadini Ally, Benedict Haule na Metacha Mnata aliyepandishwa, wote wakiwa wanaunda kikosi cha timu kubwa kwenye eneo hilo.
Kwa sasa tokea Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ianze Agosti 26 mwaka huu, Abalora ameonekana kuwa chaguo la kwanza, akiwa mpaka sasa hajaruhusu wavu wake kuguswa kwenye mechi zote mbili za mwanzo, Azam...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani