Azam yapangiwa mechi za viporo

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeipangia Azam FC mechi zake za viporo baada ya kushindwa kucheza mechi hizo mwanzoni mwa mwezi huu, imeelezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Viporo vitamu Yanga, Azam

VIPORO vimekuwa vitamu kwa Yanga na Azam katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

3 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam kupasha viporo leo

CCADAM MKWEPU NA THERESIA GASPER, DAR

TIMU za soka za Yanga na Azam FC, leo zinakabiliwa na kibarua kigumu zitakaposhuka katika viwanja tofauti kusaka pointi tatu muhimu zitakazosaidia kuongeza kasi kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa ligi hiyo, watakuwa wenyeji wa Mwadui FC katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, huku Azam wakikaribishwa na Mtibwa Sugar Uwanja wa Manungu, Morogoro katika mechi za viporo Ligi Kuu.

Wanajangwani...

 

3 years ago

Habarileo

Viporo vya Yanga, Azam leo

YANGA na Azam leo zinaendelea kumalizia viporo vya Ligi Kuu, kila moja ikiwania ushindi ili kujiweka pazuri katika harakati za kuwania ubingwa wa Tanzania Bara.

 

3 years ago

Michuzi

YANGA YAENDELEA KUHIFADHI VIPORO, MECHI YAO NA JKT RUVU YAPIGWA KALENDA

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.BODI ya Ligi Kuu (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imethibitisha kuwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Young Africans ya Dar es Salaam na JKT Ruvu ya Pwani, uliopangwa kufanyika Jumatano Agosti 31 mwaka huu kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam imeahirishwa mpaka itakapopangiwa tarehe nyingine.
Mabadiliko hayo hayatavuruga ratiba ya mechi zinazofuata za Ligi Kuu ya Vodacom kwa timu husika.
Taarifa hiyo imekuja baada ya uongozi wa Yanga...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Azam ngoma bado mbichi, mechi saba mfululizo bila ushindi: Ubaoni Azam 1-1 Mtibwa Sugar

Baada ya kutoka sare na Yanga, gonjwa la sare laendelea kuitafuna klabu ya Azam Fc ikicheza kwenye uwanja wa Azam Complex,Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es salaam imetoshana nguvu sawa na Mtibwa Sugar kwa kufungana bao 1-1.

Dakika ya 2 Mshambuliaji mwenye mwili uliojengeka Rashid Mandawa aliwanyanyua mashabiki wa Mtibwa Sugar kwa kufunga bao safi kwa njia ya kichwa akiunganisha krosi ya Issa Rashind hata hivyo Azam walisawazishwa kupitia kwa kiungo wao mkabaji Himid Mau kwa njia ya...

 

4 years ago

Habarileo

Azam mechi ya 11 bila kufungwa

KOCHA Stewart John Hall juzi aliiongoza Azam FC kushinda mechi ya 10 mfululizo tangu arejee kwa mara ya tatu Juni mwaka huu, baada ya kuifunga Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo, KMKM, kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

2 years ago

Habarileo

Mechi na Simba ngumu- Azam

MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi Azam FC wametabiri mchezo wao dhidi ya Simba kesho hautakuwa rahisi kwa kuwa timu zote ziko vizuri na zinataka pointi tatu.

 

3 years ago

Mtanzania

Azam: kila mechi Kwetu ni fainali

azam-1NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa Azam FC umesema kwamba kuelekea kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kila mechi watakayocheza itakuwa kama fainali.

Klabu hiyo ipo nafasi ya pili kwenye ligi hiyo ikiwa na tofauti ya pointi moja nyuma ya klabu ya Yanga, ambayo ina pointi 30 baada ya kucheza michezo 12.

Akizungumza na MTANZANIA, Msemaji wa klabu hiyo, Jafari Iddi, alisema kwamba wapo katika maandalizi ya mechi yao dhidi ya Kagera Sugar Jumapili hii.

“Kwa sasa timu inajiandaa kuingia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani