AZAM YASONGA MBELE AFRIKA Yaiondoa Bidvest, Sasa kukutana na Esperance ya Tunisia

 

AZAM FC_0

Azam fc ya Dar es Salaam imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya awali ya kombe la shirikisho kwa vilabu barani Afrika baada ya hii leo kuifunga Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa magoli 4 – 3 kwenye mechi ya marudio iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Magoli ya ushindi ya Azam Fc yalifungwa na John Boko katika dakika ya 42 ya kipindi cha kwanza, huku magoli mengine matatu yakifungwa na Kipre cheche katika dakika za 27, 54 na 87 na kuifanya timu hiyo kuondoka na ushindi wa jumla wa...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE KWA USHINDI MWEMBAMBA SASA KUKUTANA NA AZAM JUMATATO PATACHIMBIKAJE


Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe (katikati) akishangilia goli lake kwa kuwapungia mkono mashabiki
Mabingwa wa Tanzania bara Young Africans ‘Yanga’, leo wameibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 mbele ya Khartoum Nalitonal Club katika mwendelezo wa michuano ya Kagame Cup mechi iliyopigwa leo jioni kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo ulianza kwa kasi lakini Khartoum walionekana kuwamudu vyema Yanga dakika za mwanzoni na walifanikiwa kutengeneza nafasi kadhaa lakini hawakuweza...

 

3 years ago

Global Publishers

Azam FC yaichapa Bidvest Wits 4-3, yasonga mbele

azam fc
TIMU ya Azam FC leo imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa mabao 4-3 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar.

Mabao ya Azam FC yamepachikwa kimiani na Kipre Tchetche aliyefunga mabao matatu ‘hat trick’ na moja likapachiwa na nahodha wa timu hiyo, John Bocco.

Katika mechi ya kwanza, Bidvest ilipoteza kwa mabao 3-0 ikiwa nyumbani Johannesburg. Safari hii imepata mabao matatu lakini ikashindiliwa...

 

3 years ago

Mtanzania

Azam yaisoma Esperance Tunisia

azam web_0NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

AZAM FC wameanza mikakati kabambe ya kuwamaliza wapinzani wao timu ya Esperance ya Tunisia katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho, baada ya kuifanyia ‘ushushushu’ kwa kuwasoma ‘live’ katika mchezo wao wa Ligi Kuu uliochezwa juzi nchini humo.

Esperance wanaoshika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi, walitoa kipigo cha bao 2-1 dhidi ya vibonde Club African wanaoshika nafasi ya 11, mchezo ambao ulishuhudiwa na kocha msaidizi Denis Kitambi na Ofisa...

 

3 years ago

MillardAyo

Azam FC imefanikiwa kuifunga Esperance ya Tunisia, matokeo yapo hapa (+Pichaz)

DSC_0201

Baada ya April 9 klabu ya Yanga kucheza mchezo wake wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya klabu ya Al Ahly ya Misri na kutoka sare ya goli 1-1, Jumapili ya April 10 ilikuwa zamu ya Azam FC kuiwakilisha Tanzania dhidi ya klabu ya Esperance ya Tunisia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika. Azam […]

The post Azam FC imefanikiwa kuifunga Esperance ya Tunisia, matokeo yapo hapa (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya magoli ya mechi ya Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10, Full Time 2-1

DSC_0229

Jumapili ya April 10 ilikuwa zamu ya Azam FC kuiwakilisha Tanzania dhidi ya klabu ya Esperance ya Tunisia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, Mchezo ambao umemalizika kwa Azam FC kuibuka na ushindi wa goli 2-1. Magoli ya Azam FC yalifungwa na Farid Musa  dakika ya 68 na Ramadhani Singano dakika ya 70, […]

The post Video ya magoli ya mechi ya Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10, Full Time 2-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga yasonga mbele michuano ya Afrika

Young Africans ya Tanzania imesonga mbele michuano ya Kombe la Shirikisho kwa kuibwaga BDF ya Botswana magoli 3-2

 

3 years ago

Michuzi

PANONE FC YASONGA MBELE LIGI YA SHIRIKISHO YA AZAM,YAIFUNGA POLISI DAR ES SALAAM BAO 2 KWA 1

Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone fc.Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo.Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone fc vikiwa tayari kuingia uwanjani.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

3 years ago

Michuzi

YANGA YASONGA MBELE MASHINDANO YA KLABU BINGWA AFRIKA, YATOKA SARE NA APR

 Beki wa Timu ya Yanga, Haji Mwinyi akimtoka Mchezaji wa timu ya APR ya nchini Rwanda, katika Mchezo wa marudiani wa Klabu Bingwa barani Afrika, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. Mchezo huo umemalizika kwa timu zote kufungana bao 1-1, na kuifanya timu ya Yanga kuendelea na mbio za mashindano hayo, huku timu ya APR ikiyaaga baada ya   kukubali kipigo cha bao 2-1 katika mchezo wa awali uliopigwa nchini Rwanda.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI - MMG Kiungo wa Timu...

 

3 years ago

MillardAyo

Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti

IMG-20160309-WA0026

Klabu ya Azam FC asubuhi ya leo March 9 imesafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, utakaochezwa weekend hii na wiki mbili baadae kurudiana uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari […]

The post Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani