Azam yatangulia fainali Kombe la Mapinduzi

Azam FC imetinga kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Taifa Jang’ombe bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya kwanza uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Simba yatangulia nusu fainali kombe la mapinduzi

Simba SC imekwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KVZ usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Ushindi huo uliotokana na bao pekee la kiungo Muzamiru Yassin dakika ya 43, unaifanya Simba SC ifikishe pointi sita baada ya kucheza mechi mbili.

Sifa zaidi zimuendee beki Abdi Hassan Banda aliyeyafanikiwa kuvunja mtego wa kuotea wa KVZ na kumpa pasi nzuri Muzamiru aliyekwenda kufunga.

Huu unakuwa ushindi wa pili mfululizo kwa Simba katika michuano...

 

1 year ago

Mtanzania

KIMBEMBE FAINALI SIMBA, AZAM KOMBE LA MAPINDUZI LEO

*Yanga yawashtua watani wao Simba

 

simba-vs-azamNA SAADA SALIM, UNGUJA

FAINALI ya Kombe la Mapinduzi inayozikutanisha timu za Simba na Azam, inatarajia kufanyika leo katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Hii ni mara ya pili kwa timu hizo kucheza fainali ambapo mwaka 2012 tarehe kama ya hii, zilikutana katika uwanja huo na Azam kuibuka mabingwa kwa mara ya kwanza katika michuano hiyo baada ya kuifunga Simba 2-1.

Simba imetinga fainali baada ya kuwasukuma nje ya michuano mahasimu wao Yanga, kwa mikwaju ya...

 

1 year ago

Bongo5

Azam FC wachukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Simba fainali

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa usiku wa Ijumaa hii huko visiwani Zanzibar.

Bao la ushindi la Azam lilifungwa na Himidi Mao katika dakika ya 12 ya mchezo kwa kupiga shuti kali. Ushindi huo wa Azam umeifanya kuweka rekodi mpya katika mashindano hayo kwa kucheza mechi zote bila ya kufungwa bao hata moja.

Tazama picha za Azam wakishangilia ushindi huo.

Picha katika akaunti ya...

 

3 years ago

BBCSwahili

Fainali kombe la mapinduzi kupigwa leo

Michuano ya kombe la mapinduzi kufika tamati leo kwa timu za Simba na Mtibwa kucheza mchezo wa fainali.

 

4 years ago

GPL

NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI LEO

Azam FC vs KCC live leo on Azam TV saa kumi jioni
Saa mbili usiku Simba vs URA , Live on Azam…

 

4 years ago

Mwananchi

Kibadeni aota robo fainali ya Kombe Mapinduzi

Zanzibar. Licha ya kupumulia mashine katika michuano ya  Mapinduzi inayoendelea visiwani hapa, kocha wa Ashanti  United, Abdallah ‘King’ Kibadeni amesema hajakata tamaa  ya kusonga mbele katika hatua ya robo fainali.

 

1 year ago

Bongo5

Simba SC kucheza fainali ya kombe la Mapinduzi na Azama Fc

Klabu ya Simba SC imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kuwatoa watani wao wa jadi, Yanga kwa mikwaju ya penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Golikipa wa Simba Daniel Agyei ndio alikuwa shujaa kwa upande wa Simba hususan katika changamoto ya mikwaju ya penati. Agyei ameokoa penati mbili za Deogratius Munishi na Mwinyi Haji huku yeye akifunga penati yake baada ya Mkude kufunga ya kwanza.

Simba sasa itakutana na Azam FC Ijumaa...

 

3 years ago

Vijimambo

SIMBA, MTIBWA SUGAR ZAKUTANA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

Wachezaji wa Simba wakishangilia baoWEKUNDU wa Msimbazi Simba wametinga fainali ya kombe la Mapinduzi kufuatia kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Polisi katika mechi wa nusu fainali ya kombe hilo iliyomalizika usiku huu uwanja wa Amaan Zanzibar.MABINGWA wa zamani wa Tanzania mara mbili mfululizo, 1999 na 2000, Mtibwa Sugar ya Morogoro wametinga fainali ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2015 kufuatia kuitandika JKU ya Zanzibar penalti 4-3. Credit:ShaffihDauda

 

4 years ago

GPL

HALF TIME FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: SIMBA 0, KCC 1

Timu za Simba na KCC zikisubiri kukaguliwa kabla ya mtanange kuanza kwenye Uwanja wa Amaan mjini Unguja. KWA sasa ni mapumziko katika mechi ya fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kati ya Simba SC na KCC ya Uganda ndani ya Uwanja wa Amaan mjini Unguja. KCC wako mbele kwa bao…

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani