Azam,Yanga sare Mapinduzi Cup.

Timu ya Yanga imetoshana nguvu na Azam FC, kufuatia sare ya bao 1-1 katika Mechi ya Kundi B la michuano ya Mapinduzi Cup 2016

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Azam FC imelazimishwa sare na vibonde wa Yanga Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-04-at-11-33-10-pm

Azam FC leo January 4 2017 iliingia katika uwanja wa Amaan Zanzibar kucheza mchezo wao wa pili wa Kombe la Mapinduzi 2017 dhidi ya Jamhuri ya Pemba, Azam FC ambao ni Mabingwa mara mbili wa michuano hiyo wameshindwa kupata matokeo dhidi Jamhuri. Azam FC leo wamelazimishwa suluhu na Jamhuri ambao walifungwa 6-0 katika mchezo wao […]

The post Azam FC imelazimishwa sare na vibonde wa Yanga Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Yanga ya kunutwa 4-0 na Azam FC Mapinduzi Cup 2017

Michezo ya mwisho ya hatua ya Makundi ya Kombe la Mapinduzi kwa Kundi B imechezwa leo January 7 2017 katika uwanja wa Amaan Zanzibar, mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam FC ndio mchezo uliyokuwa unasubiriwa kwa hamu zaidi  licha ya kuwa timu zote zilikuwa zimefuzu.

Katika mchezo huo Azam FC ambao wanaonekana walikuwa wanasuasua katika michuano hiyo, imewashangaza wengi kwa kuwafunga Yanga kwa goli 4-0.

Magoli ya Azam FC yalifungwa na:-

John Bocco  dakika ya 2,

Yahaya Mohamed dakika ya...

 

2 years ago

MillardAyo

Yanga imekutana na kipigo cha 4-0 dhidi ya Azam FC Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-07-at-11-40-47-pm

Michezo ya mwisho ya hatua ya Makundi ya Kombe la Mapinduzi kwa Kundi B imechezwa leo January 7 2017 katika uwanja wa Amaan Zanzibar, mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam FC ndio mchezo uliyokuwa unasubiriwa kwa hamu zaidi visiwani Zanzibar licha ya kuwa timu zote zilikuwa zimefuzu. Katika mchezo huo Azam FC ambao wanaonekana […]

The post Yanga imekutana na kipigo cha 4-0 dhidi ya Azam FC Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya mapinduzi Cup 2016 hii hapa, vigogo vya soka Azam Fc, Yanga watia timu Visiwani!!

IMG_6010

Uwanja wa Amaan Zanzibar ambao utakuwa moja ya viwanja vitakavyotimua vumbi katika Michuano ya Mapinduzi Cup 2016 yanayotarajia kuanza jioni ya leo na kesho..

Ratiba-ya-mapinduzi-cup-bongosoka

 

2 years ago

MillardAyo

Simba vs Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017, bye bye Yanga

screen-shot-2017-01-11-at-12-31-06-am

Usiku wa January 10 2017 visiwani Zanzibar mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Mapinduzi Cup 2017 kati ya Simba dhidi ya Yanga ulichezwa visiwani Zanzibar katika uwanja wa Amaan, baada ya Azam FC kutinga hatua ya fainali kwa kumfunga Taifa Jang’ombe goli 1-0. Hii inakuwa mara ya kwanza kwa Simba kukutana na […]

The post Simba vs Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017, bye bye Yanga appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ni Simba, kuvaana na Azam fainali Mapinduzi CUP

Dakika 90 zimemaliza kwa vigogo wa soka nchini Simba na Yanga kwenda bila kufungana katika mchezo wa kombe la Mapinduzi iliyopigwa katika uwanja wa Amaan.

Ndipo hatua ya matuta imeweza kuipeleka timu ya Simba Fainali  baada ya kupata jumla ya Penati 4-2 ambapo itakutana na Azam FC waliokuwa wa kwanza kutinga Fainali hiyo baada ya kuifunga Taifa ya Jang’ombe goli 1-0.

The post Ni Simba, kuvaana na Azam fainali Mapinduzi CUP appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Bongo5

Mapinduzi Cup Fainali leo ni Simba au Azam FC?

Fainali za 11 za michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup zinatarajiwa kupigwa leo kwenye dimba la Amaan Visiwani Zanzibar kwa kuzikutanisha timu za Simba na Azam zote za Dar es Salaam.

Mchezo huo unaotarajiwa kuanza Saa 2:15 usiku wa leo, utakuwa ni wa pili kuzikutanisha timu hizo katika fainali ya michuano hiyo.

Awali zilikutana katika fainali ya mwaka 2012 na Azam FC ikaibuka na ushindi wa mabao 2-1 na kutwaa taji lake la kwanza kati ya mawili ya Kombe la Mapinduzi, linguine likija mwaka 2013...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Azam FC imeibuka mshindi wa michuano ya Mapinduzi CUP

Azam FC imeibuka mshindi wa michuano ya Mapinduzi CUP iliyomalizika usiku huu visiwani Zanzibar baada ya kuifunga URA FC ya Uganda kwa jumla ya penati 4-3.

Mchezo huo umelazimika kuingia katika hatua ya penati baada ya kumaliza dakika 90 kwa timu hizo kwenda suluhu.

Katika hatua ya penati, mlinda mlango wa Azam, FC, Razak Abalora ‘Mikono Mia Mia’ ameweza kuonyesha uwezo mkubwa baada ya kupangua mikwaju miwili iliyopigwa na wachezaji wa URA FC. Lakini pia, mlinda mlango wa URA FC aliweza...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani