AZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO LAPITISHWA KWA KAULI MOJA

Na Mwandishi Maalum, New York
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewashukuru wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kupitisha kwa kauli moja Azimio linalotaka pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwasilisha taarifa kuhusu watu wenye ualibino.
Azimio hilo na ambalo liliandaliwa kwa pamoja kati ya Wakilishi za Kudumu za Tanzania na Malawi katika Umoja wa Mataifa, limepitishwa siku ya Jumanne baada ya majadiliano ya kina na jumuishi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

TANZANIA NA MALAWI ZAWASILISHA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO

Na Mwandishi Maalum, New York  Kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili watu wenye ualibino, Wakilishi za Kudumu za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi katika Umoja wa Matifa, zimewasilisha rasimu ya azimo kuhusu watu wenye ualibino. Rasimu ya azimio hilo inalenga katika kuzishawishi na kuzitaka Jumuiya ya Kimataifa kuendelea na juhudi za kutetea haki na ustawi watu wenye ualibino ikiwa ni pamoja na kuliwada. Azimio hilo limewasilishwa kupitia...

 

4 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASISITIZA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI LIWE NA TIJA

.Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akilizungumza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo siku ya Alhamis kabla Baraza hilo halijapigia kura Azimio linalotaka kuwapo kwa siku ya Kimataifa ya kuwatambua watu wenye ulemavu wa ngozi. Kulia kwa Balozi ni Bi. Ellen Maduhu Afisa wa Uwakilishi anayeshughulika Kamati ya Tatu inayohusika na masuala ya Haki za Binadamu, Utamaduni na Masuala ya Jamii na alishiriki kikamilifu katika ...

 

4 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAPITISHA KWA KAULI MOJA AZIMIO DHIDI YA UJANGILI WA WANYAMAPOLI

Kifaru ni baadhi ya wanyamapori wanaotoweka kwa kasi duniani na hususani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara kutokana na vitendo vya ujangili na biashara haramu za pembe zao. Jana Alhamisi Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja Azimio linalolenga kudhibiti Biashara haramu ya wanyama pori na maliasili nyingine
Na Mwandishi Maalum, New York
Kwa mara ya kwanza jana alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa kauli moja, azimio la kihistoria linalolenga...

 

5 years ago

Habarileo

Azimio kukomesha ujangili lapitishwa

Mtaalamu wa Mawasiliano wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Hoyce TemuJUMUIYA ya Kimataifa imepitisha Azimio la Arusha, lenye lengo la kukabiliana na ujangili na kuendeleza wanyama.

 

5 years ago

Mwananchi

Azimio la kuwataka Ghasia, Mwanri na Majaliwa kujipima lapitishwa

Bunge limepitisha azimio la kuwataka mawaziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kujipima iwapo wanatosha kuendelea kuongoza wizara hiyo nyeti.

 

2 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UNDER THE SAME SUN LATOA ELIMU KWA WADAU KUHUSU UALIBINO JIJINI MWANZA.

Mkurugenzi wa shirika hilo nchini, Vicky Ntetema, ameyasema hayo leo Jijini Mwanza kwenye semna kwa wadau wanaofanya kazi kwa ukaribu na watu wenye uaribino kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo za kijamii, elimu na afya.
Ntetema amesema elimu inayoendelea kutolewa kwa wanajamii imesaidia kupunguza ukatili kwa watu wenye ualibino ikiwemo kukatwa viungo na mauaji licha ya kwamba kumekuwepo taarifa za makaburi ya watu wenye ualibino waliofariki kufukuliwa katika mikoa ya Kagera, Mbeya na...

 

4 years ago

Vijimambo

CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WATANZANIA WENYE UALIBINO ZISIWE CHANZO CHA KUJINUFAISHA

balozi_CLIPCHAMP_keep from Luke Joe on Vimeo.
Na Mwandishi Maalum, New York

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Uwakilishi wake wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, umekemea mwenendo na tabia zinazofanywa na baadhi ya Asasi zisizo za kiserikali za kupotosha ukweli kuhusu changamoto zinazowakabili watu wenye ualibino lakini kubwa zaidi kutaka kujinufaisha kupitia matatizo yao.

Aidha Tanzania, pamoja na kukiri kwamba kuna tatizo la watu wenye ualibino la kupoteza maisha...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Serikali yatoa kauli kuhusu maziwa ya mende, Wenye vyeti bandia presha juu

cockroach

AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo July 30 2016 ziko hapa kwenye hii video. ULIKOSA KUANZISHWA KWA HUDUMA MPYA YA USAFIRI WA TRENI DAR? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

The post VIDEO: Serikali yatoa kauli kuhusu maziwa ya mende, Wenye vyeti bandia presha juu appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA WAZIRI WA HABARI NAPE NNAUYE KUHUSU MADAI YA MAKONDA KUVAMIA CLOUDS MEDIA NA ASKARI WENYE SILAHA

Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amesema kuwa kesho Machi 20, 2017 atakwenda katika Ofisi za Clouds Media Group kujua kilichotokea baada ya kuwapo taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa ofisi hizo zilivamiwa.


Taarifa hizo zinadai kuwa ofisi za Clouds Media Group zilizopo Mikocheni B Dar es Salaam, zilivamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Usiku wa Machi 17 mwaka huu.
Taarifa hizo ambazo hazijathibitishwa bado zinaenda mbali...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani