Baada ya kunusurika kipigo kutoka Prisons, Yanga yaendelea na maisha yake ya ushindi dhidi ya JKT Ruvu (+Pichaz)

DSC_0022

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya February 7 kwa michezo kupigwa katika viwanja tofauti, klabu ya Dar Es Salaam Young African ambayo ilikuwa mikoani kucheza mechi zake mbili za muendelezo wa raundi ya pili ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016, imerejea kucheza mchezo wake dhidi ya JKT Ruvu. Yanga waliingia […]

The post Baada ya kunusurika kipigo kutoka Prisons, Yanga yaendelea na maisha yake ya ushindi dhidi ya JKT Ruvu (+Pichaz) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kuichapa Mtibwa Sugar, Simba yaendeleza kipigo kwa JKT Ruvu … (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja tofauti, kwa upande wa Dar Es Salaam klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa 15 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016. Simba ilikuwa mgeni huku huu ukiwa mchezo wao wa pili kucheza bila kuwa na kocha wao […]

The post Baada ya kuichapa Mtibwa Sugar, Simba yaendeleza kipigo kwa JKT Ruvu … (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Ushindi mwingine wa Yanga dhidi ya JKT Ruvu leo uwanja wa Uhuru

Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguuko wa pili ulianza leo December 17 kwa michezo kadhaa kuchezwa, kwa Mabingwa wa tetezi wa Ligi timu ya Yanga walianza kwa kucheza dhidi ya JKT Ruvu katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Yanga ambao walikuwa kama wageni dhidi ya JKT Ruvu wameibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ya […]

The post Ushindi mwingine wa Yanga dhidi ya JKT Ruvu leo uwanja wa Uhuru appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Simba vs JKT Ruvu uliyoongeza tofauti ya point na Yanga

img-20161224-wa0031

Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 umeendelea tena leo December 24 kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja tofauti Tanzania, Simba walikuwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kucheza dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wao wa marudiano wa mzunguuko wa pili. Simba ambao mwishoni mwa mzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu soka Tanzania bara […]

The post Ushindi wa Simba vs JKT Ruvu uliyoongeza tofauti ya point na Yanga appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

YANGA YAENDELEA KUHIFADHI VIPORO, MECHI YAO NA JKT RUVU YAPIGWA KALENDA

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.BODI ya Ligi Kuu (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imethibitisha kuwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Young Africans ya Dar es Salaam na JKT Ruvu ya Pwani, uliopangwa kufanyika Jumatano Agosti 31 mwaka huu kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam imeahirishwa mpaka itakapopangiwa tarehe nyingine.
Mabadiliko hayo hayatavuruga ratiba ya mechi zinazofuata za Ligi Kuu ya Vodacom kwa timu husika.
Taarifa hiyo imekuja baada ya uongozi wa Yanga...

 

3 years ago

Michuzi

YANGA YAENDELEA KUTOA DOZI LIGI KUU, YAICHAPA JKT RUVU 4-0 UWANJA WA UHURU LEO.

TIMU ya soka ya Yanga imefanikiwa kutoka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya JKT Ruvu na kufikisha jumla ya alama 24 na kuendelea kusalia katika nafasi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara.

Yanga walioanza kuona goli la JKT Ruvu dakika ya sita ya mchezo kupitia kwa Obrey Chirwa lakini umakini mbovu wa safu ya washambualiaji ulifanya wakose magoli mengi na mpaka kumalizika kwa dakika 45 za kipindi cha kwanza Yanga walitoka mbele kwa goli 1-0.

Kipindi cha pili kilianza kwa Yanga ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani