Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz)

Bado hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar inazidi kushika kasi kila kukicha, baada ya mchana wa January 6 kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi A lenye timu za URA, JKU, Jamuhuri na Simba, usiku wa January 6 ukapigwa mchezo wa nne wa kundi hilo kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda […]

The post Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi mnono Simba imelazimishwa sare na URA ya Uganda leo August 14

IMG_0243

Baada ya kucheza mchezo wa kwanza wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya AFC Leopard ya Kenya siku ya Simba Day na kuibuka na ushindi wa goli 4-0, leo August 14 2016 Wekundu wa Msimbazi Simba walirudi tena uwanja wa taifa Dar es Salaam kuwakaribisha wakusanya kodi wa Uganda URA katika mchezo wao wa pili wa […]

The post Baada ya ushindi mnono Simba imelazimishwa sare na URA ya Uganda leo August 14 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani

Asubuhi ya December 15 jijini Dar Es Salaam ilinyesha mvua kubwa katika maeneo mbalimbali kiasi hata kupelekea baadhi ya watu, kushindwa na wengine kuchelewa kwenda kazini kutokana na mvua kuwa kubwa. Mtu wangu wa nguvu baada ya mvua kukata ilibidi nitembelee mitaa tofauti tofauti ya Jiji la Dar Es Salaam ili kuona hali ya maeneo […]

The post Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz)

Jumatatu ya January 4 ni siku ambayo Kombe la Mapinduzi liliendelea tena kwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kuchezwa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Huu ulikuwa ni mchezo wa tatu wa mashindano na wa kwanza kwa Kundi A ambalo lina timu za Simba, Jamuhuri, JKU na URA ya Uganda. Hivyo timu ya URA dhidi […]

The post Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Habarileo

Simba yaambulia sare kwa URA

TIMU ya soka ya Simba jana ililazimishwa sare ya bao 1-1 na URA ya Uganda katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

3 years ago

MillardAyo

Yanga yaondolewa na URA ya Uganda nusu fainali, Alikiba jukwaani akishuhudia (+Pichaz)

Saa chache baada ya mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016 kumalizika, kwa klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani kuibuka na ushindi wa goli 1-0 na kuweka rekodi ya kuingia fainali yake ya tano ya michuano hiyo. Usiku wa January 10 klabu ya Dar Es Salaam Young African nayo ilishuka […]

The post Yanga yaondolewa na URA ya Uganda nusu fainali, Alikiba jukwaani akishuhudia (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

CCM Blog

URA YA UGANDA NA JAMHURI YA ZANZIBAR ZATOKA SARE YA 1-1 MCHEZO WA KOMBE LA MAPINDUZI, LEO

Kipa wa Timu ya Jamuhuri Ali Khamis akiokoa mpira wa kona golini kwake wakati wa mechi ya Kombe la Mapinduzi iliyopigwa kati ya timu yake na timu ya URA ya Uganda katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo, Timu hizo zimetoka sare ya bao. 1-1.(Picha na Othman Maulid)

 

3 years ago

MillardAyo

Hivi ndivyo wajelajela walivyowakatia Azam FC tiketi za boti kurudi Dar Es Salaam (+Pichaz)

Michuano ya Kombe la Mapinduzi January 7 imeendelea kwa mchezo wa tano wa Kundi B kupigwa wakati mwingine ukitarajiwa kupigwa usiku wa January 7. Mchezo wa tano wa kundi B ulichezwa kwa kuzikutanisha timu za Azam FC dhidi ya timu ya Mafunzo inayomilikiwa na jeshi la magereza. Mchezo wa Azam FC dhidi ya Mafunzo ulipigwa […]

The post Hivi ndivyo wajelajela walivyowakatia Azam FC tiketi za boti kurudi Dar Es Salaam (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Hivi ndivyo mechi Ligi Kuu zinavyopaswa ziwe

HATIMAYE zile tambo na kejeli za mashabiki wa soka wa klabu za Simba na Yanga zimemalizwa kwa amani na utulivu juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

 

3 years ago

MillardAyo

Saa kadhaa kabla ya Samatta hajatua Tanzania, hivi ndivyo alivyopokelewa Aubameyang kwao Gabon (+Pichaz)

Usiku wa January 7 ulikuwa ni usiku wa furaha kwa taifa la Tanzania na Gabon, kwani mastaa wawili wa soka wa bara la Afrika walitamba katika tuzo za mchezaji bora wa Afrika. Staa wa kimataifa wa Gabon na klabu ya Borussia Dortmund ya Gabon Pierre-Emerick Aubameyang alitangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika […]

The post Saa kadhaa kabla ya Samatta hajatua Tanzania, hivi ndivyo alivyopokelewa Aubameyang kwao Gabon (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani