Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Hii hapa ratiba ya robo fainali Europa League

Hii hapa droo ya robo fainali ya UEFA Europa League imefanyika leo March 17 2017, kwa timu nane ambazo zilifanikiwa kufuzu hatua hiyo ikiwemo KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta.

Timu saba nyingine ambazo zilizofanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya UEFA Europa League ni Anderlecht, Man United, Lyon, Beşiktaş, Ajax, Schalke na Celta Vigo, michezo ya kwanza ya robo fainali ya UEFA Europa League itachezwa April 13 na marudiano ni April 20.

Ratiba ya robo fainali ya UEFA Europa...

 

2 years ago

Michuzi

RATIBA YA ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE HII HAPA

Droo ya robo fainali ya ligi ndogo ya Ulaya (Europa League) imepangwa leo mchana.

 

2 years ago

Bongo5

Ratiba ya mechi za robo fainali za Uefa wiki hii

Leo hatua ya robo fainali ya michuano ya UEFA Champion League inaanza kutimua vumbi katika viwanja viwili barani humo.

Juventus itakuwa nyumbani kuwakaribisha Barcelona haya ni marudio ya mchezo wa fainali ya mwaka 2015, ambapo Barca waliibuka washindi.

Na mchezo mwingine utakuwa ni kati ya Dortmund ambao watakuwa nyumbani kuwa karibisha Monaco.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na...

 

2 years ago

Michuzi

BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
ROBO fainali ya Ndondo Cup inaendelea tena siku ya Alhamisi kwa timu nane kuumana katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo Uwanja wa Kinesi. Droo hiyoi iliyochezeshwa jana na kila timu kufahamu anapambana na nani katika hatua ya robo iliweza kuwa ya aina yake baada ya watangazaji wa vipindi mbalimbali wa Clouds kugawana timu hizo na kuwapa ahadi lukuki .
Hii ndo Ratiba ya Robo fainaliAlhamis 27/07/2017
Vijana Rangers vs Kibada one 
Ijumaa Tar...

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool nusu fainali Capital one

Timu ya Liverpool imekua timu ya mwisho kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Capital one

 

3 years ago

Bongo5

Liverpool waingia nusu fainali ya Capital one

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Timu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital one .

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Liverpool ilipata ushindi kwa kuichapa timu ya Southampton kichapo cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji Sadio Mane.

2F0048BD00000578-3343438-image-m-63_1449091396265

Liverpool wakakomboa bao hilo kupitia mshambuliaji wao Daniel Sturridge katika dakika ya 29 , Sturridge, tena akaongeza bao la pili.

Mshambuliaji Divock Origi...

 

3 years ago

Mtanzania

Liverpool yatinga nusu fainali Capital one

5440e5ea639b3LIVEPOOL, ENGLAND

KIKOSI cha kocha Jurgen Klopp, Liverpool, imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Capital One.

Klabu hiyo imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa timu ya Southampton kichapo kitakatifu cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia kwa mshambuliaji wake, Sadio Mane na kuanza kuwachanganya wapinzani wao, lakini mfumo wa Klopp uliweza kubadilisha matokeo.

Mshambuliaji wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani