Baada ya ushindi mnono Simba imelazimishwa sare na URA ya Uganda leo August 14

IMG_0243

Baada ya kucheza mchezo wa kwanza wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya AFC Leopard ya Kenya siku ya Simba Day na kuibuka na ushindi wa goli 4-0, leo August 14 2016 Wekundu wa Msimbazi Simba walirudi tena uwanja wa taifa Dar es Salaam kuwakaribisha wakusanya kodi wa Uganda URA katika mchezo wao wa pili wa […]

The post Baada ya ushindi mnono Simba imelazimishwa sare na URA ya Uganda leo August 14 appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz)

Bado hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar inazidi kushika kasi kila kukicha, baada ya mchana wa January 6 kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi A lenye timu za URA, JKU, Jamuhuri na Simba, usiku wa January 6 ukapigwa mchezo wa nne wa kundi hilo kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda […]

The post Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

CCM Blog

URA YA UGANDA NA JAMHURI YA ZANZIBAR ZATOKA SARE YA 1-1 MCHEZO WA KOMBE LA MAPINDUZI, LEO

Kipa wa Timu ya Jamuhuri Ali Khamis akiokoa mpira wa kona golini kwake wakati wa mechi ya Kombe la Mapinduzi iliyopigwa kati ya timu yake na timu ya URA ya Uganda katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo, Timu hizo zimetoka sare ya bao. 1-1.(Picha na Othman Maulid)

 

5 years ago

Tanzania Daima

Simba, KCC vitani leo .Azam yaua 2-0, Chuoni vs URA sare

c WEKUNDU wa Msimbazi, Simba baada ya juzi kuanza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga AFC Leopards ya Kenya kwa bao 1-0, leo inajitupa tena dimba la Amaan...

 

2 years ago

MillardAyo

Simba imelazimishwa sare tasa na Mtibwa Sugar

Wekundu wa Msimbazi Simba leo January 18 2017 ilisafiri hadi uwanja wa Jamhuri Morogoro kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani kucheza mchezo wao wa 19 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017. Simba wameshuka katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar na kujukuta wakikabiliwa na wakati mgumu na kujikuta […]

The post Simba imelazimishwa sare tasa na Mtibwa Sugar appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Baada ya kuifunga mara 6 katika mechi 7, Yanga imelazimishwa sare na African Lyon

img-20161223-wa0049

Ligi Kuu Soka Tanzania bara inaendelea leo December 23 2016 kwa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Dar es Salaam Young Africans kucheza dhidi ya African Lyon katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Kabla ya mchezo wa leo African Lyon kucheza na Yanga, rekodi zilikuwa zinasomeka kuwa kwa mechi 7 zilizopita, African Lyon […]

The post Baada ya kuifunga mara 6 katika mechi 7, Yanga imelazimishwa sare na African Lyon appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Habarileo

Simba yaambulia sare kwa URA

TIMU ya soka ya Simba jana ililazimishwa sare ya bao 1-1 na URA ya Uganda katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya suluhu na Mtibwa leo August 6, Yanga imetimiza siku 73 bila ya ushindi wowote

DSC_0011

August 6 2016 wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika klabu ya Dar es Salaam Young Africans, walishuka katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza mchezo wao wa kirafiki dhidi ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro. Huo ni mchezo ambao Yanga wameutumia kujiandaa michezo yao miwili  ya […]

The post Baada ya suluhu na Mtibwa leo August 6, Yanga imetimiza siku 73 bila ya ushindi wowote appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Simba vs URA August 14 2016, Full Time 1-1

IMG_0213

August 14 2016  Simba ilicheza mchezo wake wa pili wa kirafiki dhidi ya klabu ya URA ya Uganda, hiyo ikiwa ni wiki moja imepita toka icheze na AFC Leopard ya Kenya, katika mchezo huo uliyochezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, magoli ambayo yalifungwa na  Nkugwa Elkanah kwa URA […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Simba vs URA August 14 2016, Full Time 1-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Baada ya ushindi mnono, Ufaransa itakutana na Ujerumani nusu fainali

2709

Hatimae usiku wa July 3 2016 michuano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya 2016 hatua ya robo fainali ilimalizika rasmi kwa robo fainali ya mwisho kupigwa katika uwanja wa Stade de France ukizikutanisha mwenyeji wa michuano hiyo kwa mwaka 2016 timu ya taifa ya Ufaransa dhidi ya timu ya taifa ya Iceland. Katika mchezo huo […]

The post VIDEO: Baada ya ushindi mnono, Ufaransa itakutana na Ujerumani nusu fainali appeared first on MillardAyo.Com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani