Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

VIDEO: HII NDIO MIKWAJU YA PENATI ILIYOWAPA USHINDI TIMU YA AZAM DHIDI YA YANGA LEO

Kipa wa Azam, Aishi Manula akiruka kuwania mpira uliopigwa na Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima ambao ulikwenda nje wakati wa changamoto ya mikwaju ya penati kuamua nani wa kunyangua Ngao ya Jamii, ambayo imekwenda wa Timu ya Azam, baada ya kuichabanga Yanga mabao 4-1 kufuatia mchezo wao kumalizika kwa sare ya bao 2-2.Kipa wa Yanga, Deogratius Munish akiwa kapelekwa markiti kwa Mkwaju wa penati ulioimaliza Yanga, uliopigwa na Mchezaji wa Azam, Bolou Kipre.Wachezaji wa Timu ya Azam,...

 

3 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Simba dhidi ya Mgambo JKT umeisaidia kuisogelea Yanga kileleni, Matokeo ya mechi za VPL Feb 3

DSC_0602

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo February 3 kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja tofauti tofauti Tanzania, klabu ya Dar Es Salaam Young Africans ilikuwa mgeni wa klabu ya Tanzania Prisons uwanja wa Sokoine Mbeya, wakati watani zao wa jadi Simba walikuwa wenyeji wa Mgambo JKT uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Simba […]

The post Ushindi wa Simba dhidi ya Mgambo JKT umeisaidia kuisogelea Yanga kileleni, Matokeo ya mechi za VPL Feb 3 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

Michuzi

MRITHI WA ALLY YANGA ANENA BAADA YA USHINDI WA YANGA SC DHIDI YA AZAM FC

Yanga SC iliibuka na ushindi wa bao 2 - 1 dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara uliopigwa katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam.

 

3 years ago

MillardAyo

Hii ndio historia mpya iliyowekwa na Simba dhidi ya Mbeya City leo

DSC_0128

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo kwa klabu ya Simba kushuka uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kuikabili Mbeya City katika mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2015/2016. Simba ilishuka uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ikiwa haina kumbukumbu ya kuwahi kuifunga Mbeya City katika uwanja huu […]

The post Hii ndio historia mpya iliyowekwa na Simba dhidi ya Mbeya City leo appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kunusurika kipigo kutoka Prisons, Yanga yaendelea na maisha yake ya ushindi dhidi ya JKT Ruvu (+Pichaz)

DSC_0022

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya February 7 kwa michezo kupigwa katika viwanja tofauti, klabu ya Dar Es Salaam Young African ambayo ilikuwa mikoani kucheza mechi zake mbili za muendelezo wa raundi ya pili ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016, imerejea kucheza mchezo wake dhidi ya JKT Ruvu. Yanga waliingia […]

The post Baada ya kunusurika kipigo kutoka Prisons, Yanga yaendelea na maisha yake ya ushindi dhidi ya JKT Ruvu (+Pichaz) appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Kuelekea mechi Simba Vs Yanga, TFF watafunga sehemu ya barabara hii Feb 20

Tanzania_Football_Federation

February 20 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam klabu kongwe na zenye upinzani Tanzania Simba na Yanga zitashuka dimbani kupambana katika mchezo wao wa marudiano wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara, hivyo presha na idadi kubwa ya watu inategemewa kujaa uwanja wa Taifa. Kufuatia mchezo huo kuwa na utamaduni wa kujaza idadi […]

The post Kuelekea mechi Simba Vs Yanga, TFF watafunga sehemu ya barabara hii Feb 20 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Ushindi dhidi ya Yanga ulioifanya Stand United kuendelea na rekodi hii

img_3916

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo Septemba 25 2016 kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo klabu ya  Dar es Salaam Young Africans kushuka katika uwanja wa CCM Kambarage kucheza na wenyeji wao Stand United katika mchezo wa wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016. Kwa upande wa Stand United waliingia uwanjani wakiwa na […]

The post Ushindi dhidi ya Yanga ulioifanya Stand United kuendelea na rekodi hii appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani