Baba aua mwanawe kisa kufungua redio

charles-mkumboNa ELIYA MBONEA-ARUSHA

BABA mmoja mkazi wa Kijiji cha Maji ya Moto, Wilaya ya Arumeru mkoani hapa, Wilfred Kivuyo amemuua mtoto wake baada ya kumchoma kisu tumboni, kwa kosa la kufungulia redio kwa sauti ya juu.

Kabla ya tukio hilo inadaiwa yalitokea mabishano ya kugombea kupunguza sauti ya redio kati ya baba na mtoto, ambapo baba aliamua kumchoma kisu tumboni mtoto wake na utumbo kutoka nje.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo alisema, tukio hilo lilitokea Oktoba 23, mwaka huu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Baba aua mwanawe chekechea

MTOTO mwenye umri wa miaka saba, mjini Tunduma wilayani Momba, ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na baba yake mzazi akimtuhumu kwa uzururaji.

 

3 years ago

Global Publishers

Baba aua mtoto, mkewe kisa fedha za matunzo

memorialservice-550x330

NeShante Davis akiwa na binti yake  Chloe Davis-Green enzi za uhai wao.

MWANAMAMA mmoja huko Maryland nchini Marekani pamoja na binti yake wa miaka miwili wameuawa kwa kupigwa risasi na baba mtoto kisa kikiwa ni kuamliwa atoe fedha za matunzo ya mtoto.

NeShante Davis, 26, alikutwa amefariki nyumbani kwake jirani na alipokuwa ameegesha gari lake huku binti yake aitwaye Chloe Davis-Green, akikutwa amejeruhiwa akiwa ndani ya gari la mama yake aina ya Chevrolet.

HT_suspect_as_160203_31x13_1600

Mtuhumiwa Boswell-Johnson akiwa...

 

9 months ago

Malunde

BABA AUA MTOTO KISA KAGOMA KWENDA SHULE

Polisi katika wilaya ya Pader nchini Uganda wamemkamata mwanaume mwenye miaka 30 baada ya kumpiga mtoto wake wa miaka 7 kwa fimbo mpaka kufa kisa tu mtoto huyo amekataa kwenda shule.
Richard odokonyero mwenye miaka 7 alikuwa akisoma katika shule ya msingi Pader kabla ya uhai wake kukatishwa na baba yake Denis Omony Juni 6,2018.
Mwenyekiti wa eneo hilo Charles Otto Lalobo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa baba huyo aligeuka hayawani na kumshambulia mwanae kwa fimbo kichwani...

 

4 years ago

Habarileo

Mama aua mwanawe kwa sumu

MKAZI wa Chuo, tarafa ya Shimbi Kwandele wilayani Rombo, Kilimanjaro, Fidensia Salvatory (27) anashikiliwa na Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua kwa kumnywesha sumu mwanawe wa miezi sita kwa madai ya kukerwa na wakwe zake.

 

5 years ago

Habarileo

Albino aua mwanawe, amchuna ngozi

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaPOLISI mkoani Singida inawashikilia wanawake wawili, mmoja wao akiwa mlemavu wa ngozi `albino’, kwa tuhuma ya kuua na kumchuna ngozi mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.

 

4 years ago

Habarileo

Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeMKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.

 

3 years ago

Habarileo

Mama aua mwanawe, atundika mwili mtini

MTOTO wa miaka 11, Nchambi Tungu, ameuawa kikatili na mama yake mzazi kwa kuchapwa fimbo kisha kumfunga kamba shingoni na kumning’iniza kwenye tawi la mwembe ili ionekane kuwa amejinyonga mwenyewe.

 

3 years ago

Habarileo

Mama aua mwanawe kwa kumuibia 8,000/-

MWANAMKE mmoja anashikiliwa na polisi wilayani Bunda, mkoani Mara kwa tuhuma ya kumuua mtoto wake kwa kipigo, baada ya kumtuhumu kumuibia Sh 8,000.

 

4 years ago

CloudsFM

NEWS: AUA MAMA MKWE, MWANAWE NAYE AJIUA

MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.

Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani