BABA WA AGNESS MASOGANGE ASHANGAA KILICHOMUUA MWANAE...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

UNGA WAMTESA TENA AGNESS MASOGANGE

Stori: Imelda Mtema
MAJANGA! Baada ya kuchomoka kwenye ule msala wa awali wa madawa ya kulevya, video queen matata Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amejikuta akiteseka kwa ishu hiyo kwa mara nyingine. Video queen matata Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’. Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia Risasi Jumamosi, Masogange alipatwa na msala huo mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Simanzi: Agness Masogange afariki Dunia

Mlimbwende aliyejipatia umaarufu katika video za Bongo Fleva Agness Gerald maarufu kama Masogange amefariki Dunia leo katika hospitali ya Mama Ngoma Mwenge Dar es Salaam.

Masogange alijipatia umaarufu kupitia video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva na alipachikwa jina la Masogange baada ya kuipamba vilivyo video ya wimbo uliokwenda kwa jina la Masogange kutoka kwa msanii Belle 9.

Zanzibar24 inawapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Agness Gerald Masogange  kwa msiba huu mzito...

 

1 year ago

Tuko.Co.Ke

Well-endowed Tanzanian socialite Agness Masogange passes on


Tuko.co.ke
Well-endowed Tanzanian socialite Agness Masogange passes on
Tuko.co.ke
Agness Masogange died at Mama Ngoma Hospital in Dar Es Salaam. - According to reports, the lass succumbed to typhoid. - Masogange was recently arrested and arraigned in court for drug trafficking. - Her death shook the entire East Africa. Curvaceous ...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Hali ni tete upande wa utetezi kesi ya Agness Masogange

Kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili Agnes Gerald maarufu kama ‘Masogange’ inaonekana kuwa na vizingiti baada ya upande wa utetezi kushindwa kutoa ushahidi wake .

Kufuatia tukio hilo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaonya upande wa utetezi kwa kushindwa kutoa ushahidi wao kwa mara ya tatu mfululizo, baada ya wakili wa utetezi, Nehemia Nkoko kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuwa wakili mwenzake, Reuben Simwanza ndiye aliyeandaa mashahidi lakini...

 

3 years ago

Bongo5

Baba wake Lulu adai alivyopata taarifa za matatizo ya mwanae, hakuamini kwa kuwa mwanae alikuwa na umri mdogo

Lulu akiwa na Baba yake

Baba wa msanii wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ Mzee Michael amezungumza jinsi alivyozipokea taarifa za kuwa mwanae alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na marehemu Kanumba.
Lulu akiwa na Baba yake

Muigizaji huyo mahiri bado anakabiliwa na kesi ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu Steven Charles Kanumba.

Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV Jumatano hii, Mzee Micheal amesema hakuamini kama kweli mtoto wake anaweza kutoka kimapenzi na Kanumba kwa kuwa...

 

1 year ago

Michuzi

NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO


Msanii Video Queen Agness Gerald (Masogange)  amefariki Dunia jioni ya leo katika hospitali ya Mama Ngoma iliyopo jijini Dar Es Salaam baada ya jana kuzidiwa na kukimbizwa hospitalini hapo.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya uhakika vimeeleza kuwa Agness alizidiwa jana mapema na kukimbizwa katika hospitali hiyo kwa matibabu ya haraka,lakini kwa bahati mbaya mapema leo jioni  alifariki Dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini hapo,ambapo mpaka sasa haijainishwa wazi Ugonjwa...

 

3 years ago

MillardAyo

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange!

Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agness Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria. Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha […]

The post Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VideoMPYA: Tazama video nyingine ya bongo ambayo Agness Masogange ametokea

WhatsApp Image 2016-08-20 at 20.25.15

Muziki wa bongo umeendelea kutengeneza ajira na mkwanja mrefu zaidi kila siku haswa kwa vijana wengi wa kitanzania , leo nimekusogezea hii video ya msanii wa bongo flava Reggy The Best Ft Kimbunga Mchawi inayoitwa ‘Kampa’ ambapo ndani yake yupo video queen Agness Masogange  Video imefanywa chini ya director Hanscana unaweza kuitazama hapa chini… ULIIKOSA HII […]

The post VideoMPYA: Tazama video nyingine ya bongo ambayo Agness Masogange ametokea appeared first on...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Steve Nyerere Afunguka familia ya Agness Masogange kutopewa michango ya marehemu

Msanii wa filamu bongo ambaye pia ni mchekeshaji maarufu Steve Nyerere, amefunguka juu ya tuhuma za kutofikisha fedha za michango zilizobaki kwenye msiba wa Agness Masogange, na kusema kuwa pesa hizo haziwezi kupewa familia.

Akizungumza na Eatv.tv Steve Nyerere amesema kwamba pesa hizo ambazo zimetajwa kuwa milioni mbili zimekusudiwa kumsaidia mtoto wa marehemu Sania, atakapoanza kidato cha kwanza hapo mwakani. Ameendelea kwa kusema kwamba familia ya Agness inapaswa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani