Babu auzaye aiskrimu ateka nyoyo za wengi

Mwanamme mkongwe , 89, amechangiwa $200,000 mtandaoni, baada ya kuonekana kwa picha aking'ang'ana kusukuma toroli ya kuuzia aiskrimu!

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya wapenzi yaliyogusa nyoyo za wengi Kenya

Kwa Samuel Githae na Zipporah Njeri, siku hii maarufu kwa upendo ilikuwa mwanzo wa matukio ambayo yamechangia kuinuliwa kwao kutoka kwa maisha ya kutotambuliwa mjini hadi kuwa watu mashuhuri.

 

3 years ago

Mwananchi

Ahadi ya elimu bure ilivyokonga nyoyo za wengi 2015

Mwaka 2015 uko ukingoni kumalizika na 2016 unaingia. Kila mmoja anafanya hesabu ya mavuno katika kipindi hicho. Katika tathmini ya mchango wa sekta ya elimu mwaka huu, matukio kadhaa yamejiri, lakini mjadala wa ahadi ya elimu bure uliteka hisia za Watanzania wengi.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya wapenzi wa mtaani yaliyogusa nyoyo za wengi Kenya

Kwa wapenzi walioishi barabarani na kupata afueni baada ya picha zao za mabadiliko kusambaa mitandaoni, mapenzi ya mtaani ni ya dhati kuliko ya walio na hela.

 

4 weeks ago

RFI

Mloka;Ushairi wa zamani ulikuwa unakonga nyoyo za Wengi

Ushairi ni Sanaa iliyotumika kukuza Lugha ya Kiswahili katika Nchi za Afrika Mashariki,ikiwemo Tanzania hasa wakati wa kupigania uhuru na hata baada ya Uhuru katika kuhamasisha watu kufanya Maendeleo. Steven Mumbi amezungumza na Mshairi wa siku nyingi nchini Tanzania,Charles Mloka, Ungana nae katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya Bradley Lowery: Maelfu wafika kumuaga shabiki aliyegusa nyoyo za wengi

Mchezaji Jermain Defoe, ambaye aliunda urafiki wa karibu sana na Bradley, aliungana na familia ya mvulana huyo kumuaga kwa mara ya mwisho.

 

2 years ago

Global Publishers

Babu wa Darasa la Kwanza Ashangaza Wengi

Kikongwe Nyamohanga Suguta wa pili (kulia)

MARA: KIKONGWE Nyamohanga Suguta (75) wa Kitongoji cha Kibeyo, Kijiji cha Getenga Kata ya Mbogi wilayani Tarime mkoani hapa, ameshangaza watu wanaomzunguka katika kufuatia uamuzi wake wa kuanza darasa la kwanza mwaka huu katika Shule ya Msingi Makerero, Uwazi limezungumza naye.

Mzee Suguta alisema kuwa, alifikia hatua hiyo baada ya kuwiwa na elimu muda mrefu kwa sababu alikomea darasa la pili mwaka 1950 katika Shule ya Msingi ya Nyamaranya nchini...

 

3 years ago

Bongo Movies

Wasanii Wengi Bongo Wanatumia Unga – Babu Tale

Meneja wa wasanii wa muziki kutoka Tip Top connection Hamisi Tale Tale maarufu kwa Babu Tale, amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa wanatumia madawa ya kulevya, na hii ni kutokana na kuiga mambo ya Marekani.

Babu Tale akiwa na Chid Benz

Babu Tale akiwa na Chid Benz

Babu Tale ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye Planet Bongo inayorushwa na East Africa Radio, na kueleza kuwa alipokuwa akimpeleka rehab msanii Chid Benz, alimwambia kuwa wasanii wengi wanatumia unga (madawa ya kulevya) na kumtaka kuweka wazi ili jamii...

 

2 years ago

Mwananchi

Buriani Padri Babu, bwana maendeleo uliyegusa maisha ya wengi

Jumamosi, ile ya Oktoba 8 mwaka huu, viwanja vya Seminari ya Usa River, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha vilifurika watu kiasi cha kukosa mahali pa kukanyaga. Wengi wa wageni walikuwa wakishangilia kwa nguvu. Vigelegele vichache vilisikika hapa na pale.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mwingereza auzaye hewa safi Uchina

Maeneo mengi ya Uchina, hasa miji mikubwa, yamekuwa yakitatizwa na uchafuzi wa hewa. Hili limekuwa faraja kwa Mwingereza mmoja ambaye ameanza kuuza hewa safi huko.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani