Babu Tale alipigania penzi la Diamond na Zari

Kuachana kwa Diamond na Zari The Boss Lady kumemgusa pa kubwa Meneja wa Diamond, Babu Tale ambaye ameshindwa kuvumilia na kuamua kutunga safari kwenda  nchini Afrika Kusini kuhakikisha Diamond na Zari wanamaliza tofauti zao.

Moja ya sababu alizoeleza Zari kuwa zilichangia kuachana na Diamond Platnumz ni kitendo cha kuzaa na Hamisa Mobetto ambapo Babu Tale ameeleza wazi kuwa kabla ya Hamisa kuzaa na Diamond alishawaonya kwani wakati huo Diamond alikuwa katika mahusiano na Zari.

“Kabla Hamisa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

DIAMOND ASAKWA MAZISHI YA BABA WA BABU TALE

Dustan Shekidele, Morogoro
BABA mzazi wa Meneja wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amezikwa juzi Jumanne kijijini kwao Mkuyuni, mjini Morogoro lakini miongoni mwa mambo ya kushangaza ni kitendo cha baadhi ya waombolezaji kumsaka mwanamuziki Nasibu bila mafanikio. Staa wa Bongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’. Hilo lilijitokeza baada ya msafara uliotokea Dar kufika eneo hilo ambapo vijana walilizingira gari lililokuwa...

 

4 years ago

Mtanzania

Babu Tale: Diamond hajapokea fedha za Lowassa

f03aa272bfLNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.
Alisema hata hivyo...

 

5 years ago

GPL

BABU TALE, KWA HILI LA DIAMOND UMEBUGI!

MOJA ya tatizo kubwa linalowasumbua wasanii wetu, hasa hawa wa muziki wa kizazi kipya, ni ukosefu wa usimamizi makini wa kazi zao za sanaa, au kama wazungu wanavyosema, Management. Wenyewe, hasa chipukizi wanaotaka kutoka, utawasikia wanasema, nina kipaji lakini sina meneja. Ingawa wanaposema meneja maana yake ni msimamizi wa kazi zao, lakini kwao huwa na maana pana zaidi, kwamba mtu huyo, ndiye awe bosi wake, amsaidie hela ya...

 

1 year ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Babu Tale Announces Diamond's Wedding


TUKO.CO.KE
Tanzania: Babu Tale Announces Diamond's Wedding
AllAfrica.com
Wasafi Record's Babu Tale has announced that he will be sharing Diamond Platinumz's wedding date in two weeks. Tale, who was speaking during Diamond's cousin Rommy Jones' wedding over the weekend, said he will be the one to make the announcement and ...
Diamond, Zari rekindle love at cousin's lavish wedding – PHOTOSNairobi News

all 4

 

1 year ago

Nairobi News

Babu Tale announces Diamond's wedding – VIDEO


Daily Nation
Babu Tale announces Diamond's wedding – VIDEO
Nairobi News
Diamond Platinumz (left) and Zari Hassan (right) at the wedding of the singer's cousin DJ Rommy Jones (second left). PHOTO | COURTESY. By MWENDE KASUJJA. Wasafi Record's Babu Tale has announced that he will be sharing Diamond Platinumz's wedding date ...
Kenya: Daimond, Zari Rekindle Love at Cousin's Lavish WeddingAllAfrica.com
Why Diamond does not regret cheating on his wifeDaily Nation
The cheating scandal was a blessing in...

 

5 years ago

Bongo5

Babu Tale: Sidhani kama kuna beef kati ya Diamond na Alikiba

Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema haoni kama kuna beef kati ya msanii wake na Alikiba bali ni ushindani wa kibiashara. “Mimi sidhani kama Diamond na Ali Kiba wana beef, ni biashara, challenging,” Tale amekiambia kipindi cha Sunrise cha Times FM. “Sijawahi kuona wanagombana katika maisha yangu. Watu wanaoandika nyuma wanaandika kwa sababu wanaamua kuandika […]

 

3 years ago

MillardAyo

Video: Babu Tale kayaongea haya kuhusu Diamond Platnmuz na Alikiba

20160615_103049

June 13 2016 Headlines zilianza kuchukulia kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha inayowaonesha meneja wa Diamond Platnum, Babu Tale na Salaam wakiwa katika picha moja na Alikiba , baadhi ya mashabiki wamekuwa na comment tofauti kwenye picha hiyo  Ayo TV pamoja na millardayo.com ilikuktana na Babu Tale na kaelezea baadhi ya vitu kuhusu Diamond na Alikiba. […]

The post Video: Babu Tale kayaongea haya kuhusu Diamond Platnmuz na Alikiba appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Babu Tale ameongelea ukaribu wa Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz

diamond-ommy

Najua kama utakuwa mfuatiliaji wa mastaa wa bongoflevani utafahamu ukaribu aliyokuwa nao Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz hapo awali ambapo pia walishafanyaga collabo ya pamoja na mwanadada kutoka Kenya, Victoria Kimani ya ‘Prokoto‘ na walikuwa wakionekana mda mwingi wapo pamoja hata kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram wakipost picha wako pamoja. Lakini kwa sasahivi imekuwa kimya […]

The post VIDEO: Babu Tale ameongelea ukaribu wa Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani