Bado yapo matumaini Afrika- Ripoti

Mwaka 2017 umekuwa si mwaka mzuri kwa mataifa ya Afrika kuhusiana na suala la rushwa, lakini huenda hilo likabadilika mwaka huu wa 2018.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Marashi ya Karafuu, je bado yapo Pemba?

Wakulima wa Karafuu Pemba wanasema wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

 

2 years ago

Mwanaspoti

VIDEO: Msuva: Bado macho yangu yapo Ulaya

WINGA machachari wa klabu ya Yanga na Taifa Stars, Simon Msuva, amesema kuwa ndoto yake ya kucheza soka la Kimataifa ipo palepale.

 

1 year ago

BBCSwahili

Makanisa ya kuchonga kuijenga Yerusalemu mpya bado yapo Ethiopia

Lalibela katika Ethiopia ya Kaskazini ni nyumba ya makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalifunikwa mwishoni mwa karne ya 12

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: ‘Umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitayatumbua’ Rais Magufuli

maguuu

January 1 2016 Rais Dk. John Pombe Magufuli alishiriki katika ibada ya mwanzo wa mwaka mpya 2017 na waamin wa kanisa katoliki Bukoba Cathedro ikiwa ni mojawapo ya ratiba yake katika ya siku mbili mkoani Kagera iliyoanza leo ambapo katika hotuba yake amesisitiza hatua ya serikali kuzuia ongezeko la gharama za umeme. Rais Magufuli amesema…>>>’Umeme […]

The post VIDEO: ‘Umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitayatumbua’ Rais Magufuli appeared first on...

 

4 years ago

Mwananchi

RIPOTI: Watanzania wapoteza matumaini

Zaidi ya nusu ya Watanzania wamekata tamaa ya maisha, badala yake wanafikiri hali zao zitakuwa bora miaka kumi ijayo, kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya Twaweza pamoja na Jumuiya ya Maendeleo ya Kitaifa (SID).

 

5 years ago

Mwananchi

MAONI: Ripoti ya CAG haitoi matumaini yoyote

>Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha wa 2012/13 imefichua madudu ya ajabu, ambayo bila shaka yatakuwa yameondoa matumaini ya wananchi ya kukua kwa uchumi na kuwaondolea umaskini uliokithiri.

 

2 years ago

Mwananchi

Ripoti yapoteza matumaini mama kupata mtoto wake

Siku 35 baada ya kuwapo kwa taarifa za mama anayedai kuibiwa pacha  alipojifungua kwa upasuaji katika Hospitali ya Temeke, ripoti ya Wizara ya Afya imesema mlalamikaji alikuwa na mimba ya mtoto mmoja.

 

4 years ago

Habarileo

Malima bado ana matumaini Mkuranga

NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima anayeripotiwa kushindwa katika kura za maoni jimboni kwake Mkuranga, amesema ingawa matokeo yametangazwa, lakini yameonekana yana utata na hivyo kuanza upya kazi ya kupitia kura zote, ikitokea ameshindwa kamwe hatafikiria kukiacha chama tawala, CCM.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani