Bahi kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi

HALMASHAURI ya wilaya ya Bahi kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Medical Christian Medical Clinic(DCMC ) na Shirika la Maendeleo la Uswisi, wanatarajiwa kufanya kampeni kubwa ya uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi wilayani Bahi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AZINDUA RASMI UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI HUKO BAHI - MKOANI DODOMA.

 Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya Bahi muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi kampeni ya upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma  Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya kutokomeza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake wa Wilaya ya Bah  Mama Salma Kikwete akionyesha vifaa mbalimbali vinavyotumika na madaktari wakati wa kuwapima wanawake ili kufahamu kama...

 

1 year ago

Malunde

AGPAHI YAKABIDHI MASHINE YA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE MUHEZA


Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGPAHI, Dr.Sekela Mwakyusa kushoto  akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Muheza MwanashaTumbo mashine ya  kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake(cryotherapy  machine) kushoto anayeshuhudia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Dkt Asha Mahita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGPAHI, Dr.Sekela Mwakyusa  akimpongeza na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo mara  baada ya makabidhiano hayo kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Dkt Asha Mahita 

 

1 year ago

Malunde

AGPAHI YAKABIDHI MASHINE ZA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI,KOMPYUTA MKOA WA MWANZA


Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) limekabidhi mashine tano za kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake ‘cryotherapy machines’ mkoa wa Mwanza.
Msaada huo umetolewa Jumanne Machi 27,2018 katika ukumbi wa mikutano wa Gold Crest Hotel jijini Mwanza wakati wa kikao cha wadau wanaohusika katika mapambano ya VVU na Ukimwi mkoani Mwanza kwa ajili ya kupanga mipango na mikakati ya kupambana na VVU na Ukimwi.
Akizungumza wakati wa kukabidhi mashine hizo,...

 

1 year ago

Michuzi

SHIRIKA LA AGPAHI LAKABIDHI MASHINE YA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE KWA WILAYANI MUHEZA

SHIRIKA la AGPAHI linalojihusisha na masuala ya ukimwi katika kutambua mchango wa sekta ya afya katika ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Muheza limemkabidhi mkuu wa wilaya ya Muheza Mwanaasha Tumbo mashine ya kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake( cryotherapy machine).

Mashine hiyo mkuu wa wilaya ya Muheza alikabidhiwa juzi na mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella katika warsha ya siku mbili ya wadau wa sekta ya...

 

2 years ago

Mtanzania

SARATANI SHINGO YA KIZAZI

mfumo-wa-uzazi

Na VERONICA ROMWALD-DAR ES SALAAM

TAKWIMU za Shirika la Kimataifa la Atomiki la Utafiti wa Saratani (IARC) na Shirika la Afya Duniani (WHO), zinaonyesha kuwa kila mwaka kuna wagonjwa wapya wa saratani wanaokadiriwa kufikia milioni 14.1 duniani kote.

IARC linaeleza kwamba kati ya hao zaidi ya wagonjwa milioni 8.2 hufariki dunia kwani huchelewa kufika au kufikishwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya.

Kwa mujibu wa WHO ugonjwa wa saratani huathiri watu wa rika na jinsia zote na huchangia...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi

SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...

 

3 years ago

GPL

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (SERVICAL CANCER)

Hii ni saratani inayojitokeza katika shingo ya kizazi na kusambaa ndani na nje ya kizazi. Hii ni kutokana na ukuaji usio wa kawaida wa chembe hai sehemu hiyo, seli au chembe hai hizi zina tabia ya kusambaa kwa kasi na kushambulia maeneo mengine ya mwili. Tatizo linapotokea huwa hakuna dalili kubwa za awali zaidi ya kutokwa na damu ukeni, maumivu ya nyonga na maumivu wakati wa tendo la ndoa, wakati mwingine damu inatoka baada ya...

 

4 years ago

Vijimambo

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ( CERVICAL CANCER )


Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko  katika shingo ya kizazi.Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile.

Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani ya nne inayoongoza kwa kusababisha vifo vya  wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani 'WHO' imesema kuwa,kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani