Balozi Nikki Haley amemtumia ujumbe mzito Rais Kabila wa DRC

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Nikki Haley, Jumatatu alimuomba waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC kupeleka ujumbe kwa Rais Joseph Kabila wa DRC kuusu mauaji ya wachunguzi wawili wa Umoja wa Mataifa, ujumbe huo unasomeka “tafadhali muulize bwana Kabila kile alichokifanya na orodha yangu”. Kulingana na ripoti ya shirika la habari la Reuters orodha ambayo Haley alimwambia Kabila wakati alipokutana naye mjini Kinshasa mwezi Oktoba mwaka 2017 ilitaja...

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Michuzi

BALOZI MWAPACHU AMLILIA KINGUNGE KWA UJUMBE MZITO

Na Balozi Juma Mwapachu
BALOZI Juma Mwapachu ameamua kuandika tanzia ambayo ameamua kumuelezea mwanasia mkongwe na maarufu nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ambaye amefariki dunia leo.
Amemuelezea kwa kirefu ambapo anaanza kwa kusema "LEO alfajiri nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha ndugu yetu Kingunge Ngombale Mwiru. 
Kifo chake ni pigo kubwa kwa familia yake ambayo ni wiki chache tu tarehe 4 Januari, kilifiwa na mama yao, Peras Ngombale Mwiru, mke wa Ngombale...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais Kenyatta amwandikia barua yenye ujumbe mzito Rais Magufuli

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akionesha kuumizwa na kitendo cha mauaji ya askari 15 wa Tanzania waliokuwa wakilinda amani nchini Kongo, na kumpa pole kufuatia msiba huo mkubwa.

Katika barua hiyo, Rais Kenyatta amesema kushambuliwa kwa askari, ambao walikuwa wakihudumia kwa sababu nzuri ya kuanzisha amani ya kudumu nchini DRC ni jambo mbaya, huku akiwapa pole watanzania na ndugu wa marehemu, na kuwaombea...

 

3 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afanya Mazungumzo na Rais Kabila wa DRC Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana na kisha kurejea Kongo.(picha na Freddy Maro)

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA DRC MH. JOSEPH KABILA LEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mh. Joseph Kabila wakipokea heshima za kijeshu muda mfupi baara ya Mh. Kabila kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere,  Jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2016. Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mh. Joseph Kabila akikagua gwaride mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere,  Jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2016. Rais Dkt. John Pombe Magufuli (wa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA WA DRC JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana na kisha kurejea Kongo.(picha na Freddy Maro)

 

3 years ago

Habarileo

Rais wa Vietnam aja na ujumbe mzito

RAIS wa Vietnam, Truong Tan Sang anatarajiwa kuwasili nchini kesho kwa ziara rasmi ya kiserikali akifuatana na mke wake Mai Thi, mawaziri watano na wafanyabiashara 51. Hii ni ziara ya kwanza ya Mkuu wa nchi kuzuru nchini tangu Rais John Magufuli aingie Ikulu, lakini pia itakuwa ziara ya kwanza kwa Rais Truong kuzuru Afrika na Tanzania na baadaye ataelekea Msumbiji.

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMWANDALIA DHIFA YA TAIFA RAIS JOSEPH KABILA WA DRC, IKULU

 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli kumtakia heri yeye na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

 

4 years ago

BBCSwahili

Vurugu kumpinga Rais Kabila DRC

Polisi katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo, wamefyatua risasi hewani ili kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamekusanyika katika mji mkuu Kinshasa kupinga sheria mpya ya uchaguzi.

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS KABILA WA DRC KWA MAZUNGUMZO RASMI IKULU DAR ES SALAAM LEO


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha UMOJA Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuriwa na  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kinyago toka kwa Rais wa Jamhuri...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani