Balozi Sefue: Hii ni Serikali ya mabadiliko

Baada ya kudumu Ikulu kwa takribani siku 127zikiwamo 67 tangu aongezewe muda wa mwaka moja akiwa na Serikali ya Awamu ya Tano, Balozi Ombeni Sefue ameshukuru heshima aliyopewa na Rais John Magufuli kwa muda wote aliomsaidia kutekeleza majukumu yake ya ukatibu mkuu kiongozi na kueleza kuwa  Serikali ya sasa ni ya mabadiliko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Serikali yalitaka Dira ya Mtanzania kukanusha tuhuma dhidi ya Balozi Ombeni Sefue

PIX 1

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw.Assah Mwambene (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu taarifa za upotoshaji zilizotolewa na Gazeti la Dira ya Mtanzania la tarehe 29/02/2016 kuhusu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Uratibu wa Vyombo Habari, Bw.Jamal Zuberi na Mkurugenzi Msaidizi Habari Bw.Vicent Tiganya wote kutoka Idara ya Habari (MAELEZO).

PIX 2
Pix 2:Baadhi ya waandishi wa habari...

 

4 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta

1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kuzindua timu ya wataalam wa mazungumzo katika mikataba ya gesi na mafuta kutoka serikalini na mafunzo yao maalum yaliyofanyika katika hoteli ya Park Hyatt kisiwani Zanzibar jana. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Bi. Sheila Khama Mkurugenzi wa Kituo cha Rasilimali za Afrika katika Benki ya Maendeleo ya Afrika. 

2

Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute...

 

3 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?- Balozi Ombeni Sefue-Katibu Mkuu Kiongozi

Balozi Ombeni Yohana Sefue ndiye Katibu Mkuu Kiongozi (Chief Secretary) katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa na kuapishwa kushikilia wadhifa huo katika Serikali ya Rais John Magufuli. Yeye ni mtaalamu wa usimamizi wa umma na mwanadiplomasia mwenye uzoefu mkubwa.

 

4 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta

Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania leo imezindua timu ya wataalam ambao wamechaguliwa kwa ajili ya kuwakilisha serikali katika mazungumzo ya mikataba ya gesi asilia na mafuta na kampuni za kimataifa ya gesi asilia na mafuta ili kuweza kuleta mikataba yenye manufaa makubwa kijamii na kiuchumi kwa ajili ya taifa la Tanzania na watu wake kwa ujumla.  Timu hii ya wataalam inajumuisha watu 25 wenye utaalam mbali mbali waliochukuliwa kutoka ofisi na taasisi tofauti za serikali ili...

 

4 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, akiweka saini kwenye Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Balozi wa Tanzania, Uingereza, jijini London mwishoni mwa juma. Katibu Mkuu Kiongozi, Mheshimiwa Ombeni Sefue, akizungumza na Maafisa wa Ubalozi, alipotembelea Ubalozini hapo. Mheshimiwa Katibu Kiongozi alikuwa nchini Uingereza katika Ziara yake ya kikazi ambayo iliandaliwa na Taasisi ya ESAMI kuhudhuria semina ambayo ilikuwa na lengo la kuwakutanisha Viongozi wa Vyama vya Siasa na Watendaji wa...

 

2 years ago

Mwananchi

Balozi wa Japan ataka mabadiliko ya Serikali yasiathiri uwekezaji

Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida ameishauri Tanzania kuwa na mfumo makini wakati Serikali nyingine inapoingia madarakani kwa sababu mabadiliko ya mfumo yanaathiri uwekezaji wa muda mrefu.

 

3 years ago

Michuzi

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani