Balozi Seif afanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Cuba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.
Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018,  ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz –Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Msuya afanya mazungumzo na Balozi Seif

Mgawanyo wa fursa za uwekezaji unaofanywa na Makampuni na Taasisi za Kimataifa ndani ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki ukizingatiwa vyema kulingana na ushiriki wa Nchi Wanachama utaiongezea dira na umadhubuti Jumuiya hiyo katika malengo yake ya muda mrefu.

Kauli hiyo imetolewa na Balozi Mstaafu wa Tanzania ambae kwa sasa amekuwa mhadhiri wa Elimu ya Chuo Kikuu  Nchini Balozi Msuya Waldi Mangachi wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Ofisi za...

 

2 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CUBA NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais kwa kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez alipofika Ikulu Mjini...

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI SEIF AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, PIA AKUTANA NA MABALOZI WA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA

Balozi wa China Nchini Tanzania Bibi Wang Ke alisema kukamilika kwa utanuzi wa ujenzi wa Eneo la Maegesho ya Ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar utatoa fursa ya kuongezeka kwa huduma za usafiri wa anga baina ya Zanzibar na Mataifa mengine Duniani.

Alisema matayarisho ya ujenzi huo katika hatua za awali za Awamu ya Pili aliyoyashuhudia baada ya kushuka kwenye Uwanja huo wa Ndege wa Zanzibar yamempa faraja yeye pamoja na Uongozi mzima wa Benki ya...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA, BALOZI WA OMAN PAMOJA NA BALOZI WA CHINI NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa mazungumzo,Ikulu jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke ambaye alimtembelea Makamu wa Rais kwa mazungumzo ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Dk. Shein afanya mazungumzo na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza azma ya Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo kwa lengo la kukuza uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya pande mbili hizo.

 Dk. Shein aliyasema hayo leo katika mazungumzo kati yake na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Moussa Ahmed Farhang, mazungumzo yaliofanyika Ikulu...

 

3 years ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na Balozi Mdogo Mpya wa Jamhuri ya Watu wa China Bwana Xie Xiaolon

Na Othman Khamis AmeOfisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa ZanzibarMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba  Zanzibar inaendelea kufaidika kiuchumi na Maendeleo kutokana na kuungwa mkono kimisaada kutoka kwa mshirika wake mkubwa wa maendeleo Jamuhuri ya Watu wa China.Alisema China imekuwa mshirika wa karibu na Zanzibar hasa katika sekta ya Kilimo na Viwanda ulioanza mara baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964 ambao umewezesha kufungua  milango ya...

 

5 years ago

GPL

BALOZI MODEST MERO AFANYA MAZUNGUMZO NA MH. DKT. SEIF RASHID, WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi.
Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo…

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi

 Balozi Modest Mero na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bi. Agness Kijazi katika picha ya pamoja, kwenye makazi ya balozi Tanzania nchini Geneva
Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi, katika makazi ya Balozi, Geneva.
Ujumbe wa Mh. Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif ziarani Cuba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameondoka Zanzibar leo asubuhi kupitia Mjini Dar es salaam kuelekea  Nchini Jamuhuri ya Cuba kwa ziara Maalum. Balozi Seif  katika ziara hiyo ameondoka akifuatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi pamoja na baadhi ya wasaidizi wake kikazi.

Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar Balozi Seif aliagwa na baadhi ya Viongozi, Watendaji wa Serikali pamoja na Viongozi wa Vyama vya Kisiasa viliopo  hapa Nchini.
Ziara ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani