Balozi Seif akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi ya CCECC ya China

Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Ujenzi ya Nchini China ya Civil Engineering Construction Corporation 'CCECC' Bw. Zhuang  Shangbiao alisema hatua iliyochukua  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  'SMZ' ya kuipa kazi ya ujenzi wa barabara Nchini imeleta heshima kubwa na ya kipekee kwa Kampuni hiyo.
Alisema kazi iliyo mbele kwa uongozi na wahandisi wa kampuni hiyo hivi sasa ni kujipanga vyema katika kuhakikisha heshima waliyopewa na SMZ wanailinda katika kuwajibika ipasavyo  wakati wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi ya GARWARE ya India


Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi ya GARWARE ya Nchini India  Bwana Kedar Chapekar amesema Zanzibar ina uwezo wa kuwa kituo cha Kimataifa cha Kibiashara kinachofanana na Dubai kutokana na rasilmali ya kimazingira iliyonayo.Bwana Kedar alieleza hayo akiambatana na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa  Taasisi inayojishughulisha na Masuala la Sekta ya Elimu ya Arun { U } ltd ya Nchini India Bwana Jatinder Sehgal wakati wakizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Wa kwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine MahigaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya mazungumzo.
PICHA NA IKULU 

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo. Kulia ni ofisa wa ubalozi Philippe Boncour.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, ofisini kwake Migombani.
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, akisisitiza jambo wakati...

 

5 years ago

Michuzi

balozi seif akutana na Taasisi za uwekezaji vitega uchumi kutoka Kampuni mbali mbali za Kimataifa za ujenzi mjini Dodoma leo

Na Othman Khamis Ame, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Taasisi na washirika wa Maendeleo bado wana fursa nzuri na pana ya kuendelea kushirikiana na Serikali katika uendelezaji wa miradi mbali mbali ya Maendeleo na Kiuchumi.  Alisema fursa hiyo kwa kiasi kikubwa itasaidia kuleta ustawi bora wa Wananchi sambamba na kuimarisha nguvu za uendeshaji wa Taasisi na Mashirika hayo katika mipango yao ya uzalishaji. Balozi Seif alisema hayo Ofisini kwake katika...

 

11 months ago

Michuzi

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA CRCC NA CCECC KUTIKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China  Bw.Zhuang Shangbiao (kulia)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction  Corporation (CCECC) Bw.Zhao Dianlong (wa pili kulia) pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara ya hapa Nchini,[Picha na Ikulu.] 16/05/2018. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

 

2 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MCT

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inasubiri kuyapokea kwa ajili ya kuyafanyia kazi mapendekezo yatakayowasilishwa ya Rasimu ya Sera ya Habari Zanzibar katika kuona Sekta ya Habari Nchini inakuwa imara. 
Alisema Taasisi zinazohusika na jukumu la kusimamia masuala hayo ni vyema zikahakikisha kwamba zinaharakisha mapendekezo hayo ili ile dhana ya Uhuru wa kupata Habari bila ya kuogopa inapatikana. 
Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli...

 

4 months ago

Michuzi

PROF. KAMUZORA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora anayeshughulikia (Sera na Uratibu) akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Wang Ke alipowasili  katika Ofisi yake Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni,2018. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akifafanua jambo katika kikao na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Tanzania Wang Ke kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2018. Katibu Mkuu...

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI SEIF AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, PIA AKUTANA NA MABALOZI WA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA

Balozi wa China Nchini Tanzania Bibi Wang Ke alisema kukamilika kwa utanuzi wa ujenzi wa Eneo la Maegesho ya Ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar utatoa fursa ya kuongezeka kwa huduma za usafiri wa anga baina ya Zanzibar na Mataifa mengine Duniani.

Alisema matayarisho ya ujenzi huo katika hatua za awali za Awamu ya Pili aliyoyashuhudia baada ya kushuka kwenye Uwanja huo wa Ndege wa Zanzibar yamempa faraja yeye pamoja na Uongozi mzima wa Benki ya...

 

1 year ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA

  Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia) alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (wa pili kushoto), pamoja na ugeni kutoka ubalozi wa China nchini Tanzania, katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Spika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani