BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaafu, Viongozi wa Dini na Vijana...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN, WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANIUSALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia  Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaaf, Viongozi wa Dini na Vijana...

 

3 years ago

Channelten

Waziri wa mambo ya nje,kikanda na ushirikiano wa afrika mashariki balozi Agustino Mahiga ametoa Wito kwa maafisa na wanataaluma wa ustawi wa jamii katika nchi za Afrika mashariki

 

mahiga

Waziri wa mambo ya nje,kikanda na ushirikiano wa afrika mashariki balozi
Agustino Mahiga amewataka maafisa na wanataaluma wa ustawi wa jamii katika nchi za Afrika mashariki, kupaaza sauti zao kwa niaba ya makundi maalum wakiwemo watoto,wanawake wajane,wazee na walemavu ili waweze kupata huduma na haki za msingi na maendeleo kama binadamu wengine.

Akifunga rasmi kongamano la tatu la maafisa na wanataaluma wa ustawi wa jamii afrika mashariki lililofanyika, jijini Arusha waziri Mahiga...

 

4 years ago

Michuzi

Maalim Seif afungua mkutano wa kimataifa wa siku nne wa muziki kwa nchi za jahazi, Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwamuwakilisha Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, katika ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa muziki kwa nchi za jahazi, inaofanyika chuo cha muziki Forodhani Zanzibar.Mkurugenzi wa Chuo cha Muziki Zanzibar bibi Fatma Kilua, akimkaribisha mgeni rasmi Maalim Seif katika ufunguzi za mkutano huo.Muandaaji wa mkutano huo Profesa Raymond Vogals, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
BOFYA HAPA KWA HABARI...

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makamo yake Nchini Kenya Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika...

 

4 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makamo yake Nchini Kenya Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda...

 

5 years ago

Dewji Blog

Rais Kagame afungua rasmi mkutano wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya afrika (AfDB) unaofanyika jijini Kigali Rwanda

PIC 1 (2)

Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ambao ulifunguliwa na Mh.Rais wa Rwanda Paul Kagame. Mh.Kagame katika hotuba yake alisisitiza kuzijengea uwezo sekta binafsi ili Afrika iweze kufikia uchumi wa kati kwa kipindi cha Miaka 50 ijayo. Aidha katika kufikia lengo hilo Rais Kagame alisema hatuna budi Afrika kuachana na Migogoro na kutekeleza kwa vitendo makubaliano yanayoafikiwa na Viongozi wa Afrika  ili kujenga uchumi imara...

 

5 years ago

Michuzi

mama pinda katika mkutano wa Dunia wa masuala ya Amani, Usalama na Maendeleo jijini Seoul, Korea Kusini.

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa tatu kushoto) akiwa na viongozi wakuu wakifuatilia mada kwenye mkutano wa siku moja ulioandaliwa na Shirikisho la Wanawake na Amani Duniani  (WFWP) kwenye ukumbi wa Jumba la Makumbusho la Kimkoo, jijini Seoul, Korea Kusini leo mchana (Agosti 11, 2014). Kutoka kushoto ni Balozi wa Uruguay nchini Korea, Alba Rosa Legnani, Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak na wa kwanza kulia ni mke wa Rais wa zamani wa Uruguay, Bibi Mercedes...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali afungua Mkutano wa Kimataifa wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufungua rasmi Mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel & Suites Shinei Bay Mjini Haikou Jimboni Hainan.  Gavana wa Jimbo la Hainan Bwana Jian Dingzhi akitoa neno la makaribisho kwa wajumbe wa mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika unaoendelea katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel i& SuitesShiney Bay Mjini Haikou. Meya Wa Manispaa ya Zanzibar...

 

3 years ago

Ippmedia

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani