Balozi Seif afuturu na wazee wanaoishi nyumba za serikali Zanzibar

Waumini wa Dini ya Kiislamu Nchini wanaendelea na harakati zao za kufutari pamoja zinakopelekea kushibana kiimani ya moyo ndani ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mwezi ambao umeteremshwa Kitabu Kitakatifu cha Quran kisichoshaka katika kubainisha Haki na Batil.
Futari hizo zinazojumuisha Waumini wa rika tofauti ufanywaji wake hupaswa kuzingatia utaratibu maalum wa hali ya Kiafya na Mazingira safi uliowekwa na Uongozi wa Manispaa pamoja na Halmashauri za Wilaya.
Futari hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Wazee wanaotunzwa katika Nyumba za Serikali za Welezo na Sebleni

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwa na wajibu na jukumu kubwa la kuwatunza na kuwathamini wazee wasiojiweza hivi sasa kutokana na mchango wao mkubwa walioutoa kwa nchi hii wakati wa kulitumikia Taifa lao. Alisema mchango wa wazee hao umekuwa ukiendelea kutumiwa na wananchi walio wengi hapa nchini ikiwemo kigezo cha amani na utulivu kinachotokana na juhudi za wazee hao wakati wa...

 

3 years ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na Uongozi wa Jumuiya ya Wastaafu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoishi Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba baadhi ya Watumishi wa Taasisi za Umma  bado wana hofu ya kuogopa kustaafu utumishi wao wakihisi kunyemelewa na ukali wa maisha ya baadaye wakisahau kwamba maisha baada ya kustaafu yapo kama kawaida.Alisema cha msingi kwa mtumishi anayehusika ni kujipanga mapema katika kujiandaa na harakati za kujiendesha kimaisha bila ya kutetereka mara amalizapo utumishi wake.Balozi Seif Ali Iddi alitoa nasaha hizo wakati alizungumza na...

 

4 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awata kuhama wananchi wanaoishi kwenye nyumba kuu kuu za mji Mkongwe

610

Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia nyumba iliyoporomoka dari na kujeruhi wakazi wake watatu hapo Mtaa wa Ukutani Mjini Zanzibar. Kushoto kwa Balozi Seif ni Mmiliki wa Nyumba Hiyo Bwana Mzee Abdulla Juma.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  amewaagiza wananchi wanaoishi kwenye nyumba  mbovu na zile zilizochakaa ndani ya Mji Mkongwe  wa Zanzibar wafanye utaratibu wa kuhama kwenye nyumba hizo mapema iwezekanavyo ili kunusuru maisha...

 

3 days ago

Michuzi

BALOZI SEIF AWAASA WANANCHI KUWATUNZA WAZEE WAASISI WA ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Wazee Waasisi wa Zanzibar wataendelea kuwa ngao ya Taifa ambayo Viongozi wa sasa pamoja na Wananchi na Kizazi Kipya wana wajibu wa kuwatunza katika maisha yao ya kila siku.
Alisema ngao hiyo inatokana na kazi kubwa waliyoifanya wakati wa harakati za kupigania Ukombozi wa Taifa hili ambapo kwa sasa Viongozi waliopo madarakani pamoja na Wananchi wanaendelea kula matunda ya Uhuru uliotokana na Wazee hao.
Balozi Seif alitoa kauli...

 

3 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif asimamisha ujenzi wa nyumba ya ghorofa mjini Unguja, Zanzibar

Balozi Seif akipokea malalamiko ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakimshutumu Mmiliki wa Kiwanja cha jengo la Ghorofa Bwana Anuari Abdulla anayejenga pamoja na eneo la wazi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja...

 

4 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKAGUA NYUMBA ZILIZOATHIRIWA NA MVUA KUBWA ZILIZONYESHA HIVI KARIBUNI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akifanya ziara ya kukagua Nyumba zilizoathirika na Mvua Mkubwa ya Hivi karibuni ambazo zimeanguka baadhi ya Kuta zake. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Haji Juma Haji aliyevaa shati ya Drafti na Kofia kati kati akimfahamisha Balozi Seif Kulia yake kadhia iliyowapata baadhi ya wananachi waliangukiwa na kuta za nyumba zao ndani ya Mkoa huo.Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa na mbele...

 

4 years ago

Michuzi

WANAOKAA KWENYE NYUMBA MBOVU MJI MKONGWE ZANZIBAR WATAKIWA KUHAMA - BALOZI SEIF IDDI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia nyumba iliyoporomoka dari na kujeruhi wakazi wake watatu hapo Mtaa wa Ukutani Mjini Zanzibar. Kulia ya Balozi Seif ni Mmiliki wa Nyumba Hiyo Bwana Mzee Abdulla Juma.Balozi Seif akiwaagiza watu wanaoishi ndani ya nyumba iliyoporomoka dari Mtaa wa Ukutani kuhama ili kunusuru maisha yao kutokana na uchakavu wa nyumba hiyo. Aliyepo mwanzo kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mjini Kanali Mstaafu Abdi Mahmoud Mzee.Balozi Seif akiwa pamoja...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI ATEMBELEA NYUMBA ZA NSSF KIJISCHI, DAR ES SALAAM

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddi (wa pili kulia), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau, alipotembelea mradi wa nyumba zinazojengwa na shirika hilo, Kijichi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo. Makamu wa pili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan...

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd aipongeza TFF

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, amempongeza Rais wa TFF Jamal Malinzi kwa kuhakikisha Zanzibar inapata uanachama wa FIFA."Mfikishie pongezi na shukurani zangu Bwana Malinzi kwa juhudi zake za kuhakikisha kuwa Zanzibar inapata uanachama wa FIFA", alisema Balozi Seif Idd mjini Zanzibar.Akiongea na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Soka wa TFF, Derek Murusuri, katika ofisi za Baraza la Wawakilishi leo, Balozi Idd alisema Zanzibar inatambua juhudi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani