Balozi Seif aipongeza Jamuhuri ya Cuba kwakumaliza Uchaguzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.

Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018,  ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz –Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.  Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018, ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz-Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

 

11 months ago

Michuzi

Balozi Seif afanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Cuba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.
Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018,  ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz –Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif: Mabalozi wanayoiwakilisha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wana kazi nzito

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Mabalozi wanayoiwakilisha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mataifa rafiki Duniani  wana kazi ngumu na nzito ya kuinadi Tanzania katika Nchi hizo ili ipate kuungwa mkono katika harakati  za kuimarisha Uchumi wake.

Alisema yapo maeneo na sekta kadhaa  ambazo zimeshajengewa miundombinu imara  kama Utalii, Mawasiliano, Kilimo, Biashara na Afya zinazohitajika kupata msukumo kwa mataifa rafiki na washirika wa maendeleo katika...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Balozi Seif aipongeza NHIF

MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kutoa bure huduma za upimaji wa afya kwa wananchi. Pongezi...

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI SEIF AIPONGEZA KAMPUNI YA ZANRDEF

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliishukuru na kuipongeza Taasisi ya Kiraia ya Zanzibar Relief and Development Foundation { ZANRDEF} kwa uamuzi wake wa kusaidia huduma za msingi ya Kijamii za Maji safi katika azma yake ya kuona maisha ya Wananchi yanaendelea kustawika.
Alisema uamuzi huo wa ZANRDEF utasaidia kuwapunguzia machungu Wananchi walio wengi kupata huduma hizo sambamba na kuiunga Mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika mipango yake ya...

 

3 years ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na Uongozi wa Jumuiya ya Wastaafu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoishi Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba baadhi ya Watumishi wa Taasisi za Umma  bado wana hofu ya kuogopa kustaafu utumishi wao wakihisi kunyemelewa na ukali wa maisha ya baadaye wakisahau kwamba maisha baada ya kustaafu yapo kama kawaida.Alisema cha msingi kwa mtumishi anayehusika ni kujipanga mapema katika kujiandaa na harakati za kujiendesha kimaisha bila ya kutetereka mara amalizapo utumishi wake.Balozi Seif Ali Iddi alitoa nasaha hizo wakati alizungumza na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif ziarani Cuba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameondoka Zanzibar leo asubuhi kupitia Mjini Dar es salaam kuelekea  Nchini Jamuhuri ya Cuba kwa ziara Maalum. Balozi Seif  katika ziara hiyo ameondoka akifuatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi pamoja na baadhi ya wasaidizi wake kikazi.

Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar Balozi Seif aliagwa na baadhi ya Viongozi, Watendaji wa Serikali pamoja na Viongozi wa Vyama vya Kisiasa viliopo  hapa Nchini.
Ziara ya...

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume akitokea Nchini Jamuhuri ya Cuba kwa ziara Maalum. Wa kwanza kutoka Kulia ni Waziri wa Habari, Utalii na Mambio ya Kale Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo. Balozi Seif alisalimiana na baadhi ya Viongozi na Waasisi wa Vyama vya Siasa Nchini alipowasili kwenye...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif aifungulia Cuba milango ya uwekezaji Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Wawekezaji na wananchi wa Jamuhuri ya Cuba wana nafasi nzuri ya kutumia  mlango wa uwekezaji uliofunguliwa na Zanzibar katika kuanzisha miradi mipya  kwenye Sekta ya Utalii hapa Nchini.

Alisema mpango huo ambao licha ya kuimarisha uhusiano wa muda mrefu  uliopo kati ya Zanzibar na Cuba tokea Uhuru wa Mataifa hayo Mawili lakini pia utaongeza ushirikiano wa  pande hizo zinazofanana katika Historia zake.

Balozi Seif Ali Iddi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani