BALOZI SEIF AKABIDHI MASHINE YA BOTI KWA VIJANA WA KIKUNDI CHA HAMASA

Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Viongozi wa Jimbo hilo wataendelea kuwaunga mkono  Wananchi wao hasa Vijana na Akina Mama walioamua kujituma katika muelekeo wa kujitafutia Maendeleo ili kujenga hatma njema ya maisha yao.
Alisema misaada ya kuyawezesha Makundi hayo katika kuyapatia vifaa, mtaji sambamba na  maarifa itakuwa ikiendelea kila wakati kulingana na mahitaji halisi ya Wananchi ikilenga zaidi katika Vikundi vya Ushirika.
Balozi Seif Ali Iddi alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Malunde

DC NDAGALA AKABIDHI MASHINE YA KUCHAKATA MIHOGO KIKUNDI CHA MWENDO WA SAA KAKONKO

Wakulima wilayani Kakonko Mkoani Kigoma wametakiwa kulima kilimo cha biashara na kuachana na kilimo cha kujikimu wenyewe ili kuondokana na umaskini.
Wito huo ulitolewa jana katika kijiji cha Kiga wilayani Kakonko na Afisa Kilimo wa mkoa wa Kigoma, Joseph Lubuye wakati wa ugawaji wa mashine ya kuchakata mihogo kwa kikundi cha Mwendo wa saa, iliyotolewa na shirika la BTC kupitia mradi wa kilimo wa ENABEL unaotekelezwa na serikali ya Ubergiji na Tanzania, kuendeleza kilimo cha muhogo na...

 

4 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKABIDHI BOTI NA MASHINE MICHEWENI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Boti na Mashine Bw.Shamte Hamadi Juma wa Kijiji cha Maziwa Ng'ombe Wilaya ya Micheweni kwa niaba ya kikundi cha Wavuvi Kheri Moyo Mmoja Pemba hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jana kijijini hapo.Picha na Ikulu Zanzibar.

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI WA KUWAIT NCHINI AKABIDHI MASHINE ZA WATOTO NJITI KWA TAASISI YA DORIS MOLLEL

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jassim Al-Najim (kushoto) akikabidhi mashine maalum za kuwasaidia Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), kwa Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti, Doris Mollel ambazo zimetolewa na Ubalozi huo jana jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni Rahma Amoud na Maryam Gerion wote kutoka Taasisi ya Doris Mollel. 
The Ambassador of Kuwait to Tanzania, HE Jassim Al-Najim (L) handing over the machines for preterm Babies, to the Founder of...

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA KITUO CHA TIBA NA MAREKEBISHO YA TABIA KWA VIJANA.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifunua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Tiba na marekebisho ya Tabia kwa Vijana wanaoacha Dawa za kulevya hapo Kidimni, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unaguja.  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr. Shajak wa pili kutoka kushoto akimpatia maelezo Balozi Seif wa kwanza kutoka kushoto jinsi ya ujenzi wa kituo cha Tiba na marekebisho ya Tabia kwa Vijana utakavyoendelea hapo Kidimni.Wa...

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC)KWA VIKUNDI VYA VIJANA

3Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akipokea mashine za kufyatulia matofali kutoka kwa Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Wilaya ya Temeke Bw. Wencenslaus Tillya ambazo zilikabidhiwa kwa vikundi vya vijana wilayani humo.4Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine kwa mwenyekiti wa kikundi cha Sokoine Youth Development William Gabriel.8Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Chapakazi Youth Youth...

 

4 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC) KWA VIKUNDI VYA VIJANA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akikata utepe kuashiria kukabidhi mashine wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akikabidhi mashine kwa...

 

4 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC) KWA VIKUNDI VYA VIJANA‏

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akizungumza wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam kwa vikundi vya vijana. Shirika la Nyumba la Taifa limeongeza mashine zingine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana.… ...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif akabidhi kadi kwa wanachama wapya 15 wa CCM Mkoa wa Magharibi,Zanzibar

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM Shina nambari 23 la Tawi la CCM Fuoni Bibi Faiza Chande Ameir.Kushoto ya Balozi ni Mwenyekiti wa Shina Nambari 23 la Tawi la CCM Fuoni Nd. Daudi Khamis, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Magharibi Nd. Yussuf Mohd Yussuf na Katibu wa CCM Mkoa huo Aziza Ramadhan Mapuri. Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Mwanakwerekwe Ndugu Khamis Juma Msonge akimkaguza Mjumbe wa Kamat Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa...

 

4 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Idd apania kukuza michezo jimboni, akabidhi vifaa kwa timu 60 za soka

962

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Seti za Jezi na Mipira Mmoja wa Viongozi wa timu 60 zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope hapo Kijiji cha Kipandoni Upenja Wilaya ya Kaskazini “B”. Kati kati yao ni Mke wa Balozi Seif Mama Asha Suleiman Iddi.

985

Kocha na Kepteni wa Timu ya Soka ya Kipandoni Star Jeilan Omar Jeilan akipokea mchango wa shilingi 500,000/- kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya kununulia Posi na Nyafu kwa ajili ya Kwinja chao...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani