BALOZI SEIF ALI IDD AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TAPSEA, ZANZIBAR LEO

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akitoa hotuba yake katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Zanzibar (SUZA), Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja,  Zanzibar leo.  Wajumbe wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd wakati akitoa hotuba yake katika Ufunguzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd afungua mkutano wa kikanda wa Ukuaji wa maisha ya baadae kwa miji ya Afrika,jijini Dar leo

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd (wa pili kushoto) akiwa katika meza kuu pamoja na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI,Mh. Hawa Ghasia (kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Mh. Said Meck Sadick (wa pili kulia),Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi,Prof. Joseph Sembojo (katikati) pamoja na Dkt. Remy Sietchiping kutoka UN-Habitat wakati wa Mkutano wa Kikanda uliojadili Ukuaji wa maisha ya baadae kwa miji ya Afrika,uliofanyika leo kwenye...

 

4 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA TATHMINI YA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR

Makamu wa Pili w Rais wa Zanzibar Balozi Seifa Ali Iddi akifungua mkutano wa tisa wa tathmini ya sekta ya Afya Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanizibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kufungua mkutano wa tisa wa tathmini ya Afya Zanzibar.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

4 years ago

Dewji Blog

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd ahudhuria sherehe za miaka 50 ya CBE leo

Picha na 1.

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema (wa pili kutoka kulia) akimtambulisha viongozi wa chuo cha CBE ,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd (katikati) leo jijini Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya chuo hicho kutimiza miaka 50. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda.

Picha na 2

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akipata maelezo kutoka kwa  Bi. Esther Kibua, mwanafunzi wa mwaka wa 3 wa chuo cha Elimu ya Biashara CBE...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD AKANUSHA MADAI MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA GAZETI LA MTANZANIA KUHUSU KUJIUZULU KWA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akikanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Jumatano 24 Septemba, 2014.Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud akichangia mada wakati wa mkutano na waandishi wa habari Gazeti hilo.Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakifutailia kwa makini taarifa toka Balozi Seif Ali Idd. (Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma. 
MAKAMU wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Ali Idd azindua mtandao wa 4G wa Zantel kwa upande wa Zanzibar

-Yawa kampuni ya kwanza kuzindua huduma ya mtandao wenye kasi zaidi Zanzibar

-Zantel pia kuongeza mara mbili upatikanaji wa mtandao Tanzania bara kufikia asilimia 80% ya watanzania.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Balozi Seif Ali Idd amezindua huduma  mpya ya mtandao wa 4G ya Zantel katika sherehe fupi iliyofanyika katika viwanja vya Kisonge mjini Zanzibar.

Zantel, kampuni ya simu inayoongoza Zanzibar, imezindua huduma hiyo mpya ya mtandao wenye kasi zaidi wa 4G kwa upande wa...

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI WA 4G YA ZANTEL ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokelewa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel Tanzania Bwana Benoit Janin, wakati wa hafla ya kuzindua Mtandao mpya wa Teknolojia ya kisasa wa 4G hapo katika viwanja vya Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar Michenzani Mjini Zanzibar. Nyuma ya Balozi Seif ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Balozi Ali Abeid Aman Karume na kulia ni Waziri wa Afya Mh. Mahmoud Thabit Kombo.Balozi...

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Idd afungua Mafunzo ya Miezi Mitatu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkuu wa Mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Zanzibar Nd. Abdullah Othman Ali wakati wa hafla ya kuyafunga mafunzo hayo hapo Skuli ya Sekondari Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja. Kati kati yao ni Mbunge wa Jimbo la Donge Mheshimiwa Sadifa Juma Khamis, na nyuma ya Balozi Seif ni Mratibu wa Mradi unaoondesha mafunzo hayo Nd.Abdi Hamid Abeid.Mkuu wa Mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Zanzibar Nd. Abdullah...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT.MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI SEIF ALI IDD LEO.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Balozi Seif Ali Idd amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa hali ya Zanzibar ni shwari na Wazanzibar wanasubiri kutangaziwa tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi.
Balozi Seif Ali Idd ameyasema hayo Ikulu jijini Dar es salaam leo tarehe 20 Januari, 2016 mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo...

 

4 years ago

Vijimambo

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd ahudhuria sherehe za miaka 50 ya CBE

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema (wa pili kutoka kulia) akimtambulisha viongozi wa chuo cha CBE ,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd (katikati) leo jijini Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya chuo hicho kutimiza miaka 50. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akipata maelezo kutoka kwa Bi. Esther Kibua, mwanafunzi wa mwaka wa 3 wa chuo cha Elimu ya Biashara CBE...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani