balozi seif ali Iddi aasa wajumbe wa bunge la katiba

Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wana wajibu wa kutekeleza kazi zao kwa mujibu wa Kanuni walizojiwekea za kuendesha Bunge hilo ili kiuwa mfano mwema wa matendo mazuri mbele ya jamii ya Watanzani kutokana na dhima waliyokabidhiwa.  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akizungumza na wana Habari mbali mbali wanaoripoti matukio ya Bunge la Katiba hapo katika Ukumbi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi afunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali juu ya uchambuzi wa Bajeti na Masuala ya Uchumi iliyokuwa ikifanyika katika ukumbi wa Z. Ocean Hoteli Chuwini Wilaya ya Magharibi “A”. Baadhi ya Wajumbne wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotub a ya Balozi Seif hayupo pichani wakati akiifunga semina ya uchamguzi wa Bajeti na masuala yua Uchumi.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

12 months ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.  Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018, ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz-Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi mdogo wa China

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba  Zanzibar inaendelea kufaidika kiuchumi na Maendeleo kutokana na kuungwa mkono kimisaada kutoka kwa mshirika wake mkubwa wa maendeleo Jamuhuri ya Watu wa China.

Alisema China imekuwa mshirika wa karibu na Zanzibar hasa katika sekta ya Kilimo na Viwanda ulioanza mara baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964 ambao umewezesha kufungua  milango ya ajira kwa Vijana waliowengi Visiwani Zanzibar.

Balozi Seif Ali...

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YA SMZ ILIOPO JIJINI DAR,AMJULIA HALI KANAL MSTAAFU SALEH ALI FARA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na watendaji wa Ofisi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliopo Mtaa wa Magogoni Mjini Dar es salaam ambapo Ofisi
hiyo kwa sasa iko chini ya uratibu wa Ofisi yake. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimjuilia hali Mbunge Mstaafu wa lililokuwa Jimbo la Rahaleo Wilaya ya Mjini Kanal Mstaa Saleh Ali Fara aliyelazwa Hospitali ya Jeshi
Lugalo Jijini Dar es saam akipatiwa huduma za matibabu akizumbuliwa na maradhi...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi seif ali Iddi atembelea Kijiji cha Kilombero

Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar { ZECO } Nd. Hassan Ali Hassan alisema shirika lake linakusudia kutumia rasilmali ilizonazo katika kuhakikisha huduma za umeme zinapatikana kwenye kisima cha maji cha Kijiji cha Kilombero ili kuwaondoshea usumbufu wa huduma za maji safi  kwa Wananchi wa Kijiji hicho. Alisema kazi hiyo itakayoanza wakati wowote kuanzia sasa inatarajiwa kukamilika sambamba na ulazwaji wa mabomba ya maji utakaofanya na wahandisi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA }...

 

3 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembelea Tume ya Ukimwi Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati umefika kwa Jamii kuwa na hadhari ya kuendelea kuelimishana katika kupiga vita vitendo hatarishi vinachochangia kuenea kwa maambukizo ya virusi vya Ukimwi hapa Nchini. Alisema mapambano dhidi ya vitendo hivyo yanahitaji nguvu za pamoja licha ya ugumu wa kazi hiyo ambayo wahusika wakuu ni miongoni mwa wananchi hasa vijana waliomo katika mitaa mbali mbali Mjini na Vijijini. Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati...

 

2 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua Bandari ya Kigomasha, Pemba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameuagiza Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kuandaa mchakato wa kuwakutanisha Wataalamu wa Sekta hiyo ili wajadili na hatimae kupata kauli moja itakaobaini eneo muwafaka linalostahiki kujengwa Gati Rasmi ndani ya Mkoa wa Kaskazini Pemba. Alisema hatua hiyo inastahiki kutekelezwa vyema kama ilivyoagizwa na Serikali Kuu la kutaka kujengwa kwa Gati katika Bandari ya Kigomasha ili kujaribu kudhibiti mapato ya Taifa...

 

2 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi azindua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesisitiza umuhimu wa Jamii Nchini kuendelea kukuza maadili na kujiepusha na vitendo vya unyanyasi wa kijinsia dhidi ya Watoto na Wanawake ili irejeshea heshima yake Zanzibar. Alisema Visiwa vya Zanzibar havikuwa ni kituo muhimu cha Biashara katika mkarne zilizopita bali pia vilikuwa ni kitovu cha Elimu, heshima, ustaarabu na ukuzaji wa silka, mila na desturi za Utamaduni wa asili. Akilifungua Tamasha la 22 la Utamaduni wa Mzanzibari...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani