Balozi Seif Ali Iddi aongoza Kikao cha Mawaziri, Manaibu Mawazini na Makatibu Wakuu wa SMZ

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameziagiza Wizara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Mawaziri, Watendaji Wakuu pamoja na Wataalamu wao kufanya uchambuzi wa kuorodhesha mambo ambayo yanaonekana kuleta changamoto kuhusu kero za Muungano.Alisema orodha ya uchambuzi huo katika kila Sekta baadaye unapaswa kuwasilishwa katika Kamati ya Sekriterieti ya Vikao hivyo iliyo chini ya Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Balozi Seif Ali Iddi alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA BAADHI YA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU NA KAMATI SHIRIKISHI YA JAMII KUHUSU UTATUZI WA MGOGOIRIO WA PORI TENGEFU LA LOLIONDO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (katikati) na Mkurugenzi wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Pastoralist Women Council, Manda Ngoitika baada ya kikao kilichowahusisha baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Kamati Shirikishi ya Jamii kuhusu utatuzi wa Mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo kilichofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu, mjini Dodoma Desemba 6, 2017.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kilichowahusisha...

 

3 years ago

CCM Blog

BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam


Baadhi ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YA SMZ ILIOPO JIJINI DAR,AMJULIA HALI KANAL MSTAAFU SALEH ALI FARA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na watendaji wa Ofisi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliopo Mtaa wa Magogoni Mjini Dar es salaam ambapo Ofisi
hiyo kwa sasa iko chini ya uratibu wa Ofisi yake. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimjuilia hali Mbunge Mstaafu wa lililokuwa Jimbo la Rahaleo Wilaya ya Mjini Kanal Mstaa Saleh Ali Fara aliyelazwa Hospitali ya Jeshi
Lugalo Jijini Dar es saam akipatiwa huduma za matibabu akizumbuliwa na maradhi...

 

3 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aongoza matembezi ya kuadhimisha siku ya Sheria Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ametoa wito kwa Majaji na Mahakimu Nchini kuacha kugugumizi katika utoaji wa haki ili kuondoa au kupunguza zaidi muda mrefu  unaochukuliwa na Majaji na Mahakimu hao katika kutoa hukumu kwa kesi zinazopelekwa Mahakamani.Alisema kigugumizi hicho mbali ya kulalamikiwa kwa kipindi kirefu na Wananchi   walio wengi lakini pia kinachangia sana kuuondolea  Heshima yake Muhimili huo ukiwa miongoni mwa  Mihimili Mitatu ya Dola.Balozi Seif Ali...

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI SEFUE AONGOZA SEMINA ELEKEZI YA SIKU MOJA KWA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU LEO

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 2, 2015 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam. Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi...

 

5 years ago

Michuzi

KINANA AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI


Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama Rafiki vilivyopigania Ukombozi wa Nchi Kusini mwa Afrika (FLM). Kushoto kwa Kinana ni Katibu Mtendaji Mkuu wa ZANU-PF ya Zimbabwe Comrade Didymus Mutasa na anayefuata ni Katibu Mkuu wa ANC ya Afrika Kusini Comrade Gwede Mantashe. Kulia kwa Kinana aliyevaa miwani ni Katibu Mkuu wa MPLA ya Angola Comrade Juliao Mateus Paulo 'Dino Matrosse' na anayefuata ni Katibu Mkuu wa SWAPO Party ya Namibia Comrade...

 

2 years ago

CCM Blog

KINANA AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA RAFIKI NCHINI ANGOLA

Na Bashir Nkoromo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameongoza majadiliano na viongozi wa vyama rafiki kikiwemo Chama Cha Kikomunisti cha China, vilivyoshiriki Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika.

Katika Mkutano Kinana amefuatana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole, Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga na Watendaji kutoka Jumuia za Chama Cha Mapinduzi.

Taarifa kutoka Angola, zimesema, katika Mazungumzo...

 

2 years ago

CCM Blog

BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM WILAYA YAKUSINI UNGUJA, LEO

Waombolezaji wakienda kuzika leoNa Mwandishi Wetu
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameongoza mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi, wanafamilia na wanachama wa Chama Cha mapinduzi, katika maziko ya Katibu wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Marehemu Hamdan Haji Machano yaliyofanyika leo katika kijiji cha Donge Mkoa Wa Kaskazini Unguja.

Akizungumza kwenye maziko hayo, Balozi Ali Seif Iddi, amesema , Chama cha...

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi afunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali juu ya uchambuzi wa Bajeti na Masuala ya Uchumi iliyokuwa ikifanyika katika ukumbi wa Z. Ocean Hoteli Chuwini Wilaya ya Magharibi “A”. Baadhi ya Wajumbne wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotub a ya Balozi Seif hayupo pichani wakati akiifunga semina ya uchamguzi wa Bajeti na masuala yua Uchumi.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani