Balozi Seif Ali Iddi awakaribisha wawekezaji kutoka Cuba kuwekeza Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Wawekezaji na wananchi wa Cuba wana nafasi nzuri ya kutumia  mlango wa uwekezaji uliofunguliwa na Zanzibar katika kuanzisha miradi mipya  kwenye Sekta ya Utalii hapa nchini.

Amesema mpango huo ambao licha ya kuimarisha uhusiano wa muda mrefu  uliopo kati ya Zanzibar na Cuba tokea Uhuru wa Mataifa hayo Mawili lakini pia utaongeza ushirikiano wa  pande hizo zinazofanana katika Historia zake.

Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli hiyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ziarani CUBA

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na naibu waziri wa mambo ya nchi za Nje ya Cuba mheshimiwa Anna Teresita Gonzalez baada ya mazungumzo yao yaliyolenga kuimarisha uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Cuba. Cuba imekubali kutoa nafasi za masomo ya juu kwa madaktari wa Zanzibar waliofundishwa udaktari na madaktari bingwa kutoka Cuba. Mazungumzo ya viongozi hawa wawili yalifanyika katika jumba la itifaki mjini Havana Cuba.

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi arejea Zanzibar kutoka ziarani India

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar mapema leo asubuhi akitokea nchini India ambako alifanya ziara ya wiki moja.Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Balozi Seif aliyeambatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi alipokewa na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Watendaji wakuu wa Serikali pamoja na baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa.Balozi Seif ambae aliuongoza Ujumbe wa Mawaziri wawili,...

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka ziarani China

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kukamilika kwa ujenzi wa miradi mitatu inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutafungua fursa pana ya ajira hasa kwa Vijana pamoja na kuimarika kwa ufanisi wa kazi katika Taasisi za Umma na hata zile Binafsi.Akizungumza na Waandishi wa Vyombo mbali mbali vya Habari hapa Nchini mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Nchini China kwa ziara ya siku...

 

12 months ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.  Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018, ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz-Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

 

4 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awatoa hofu madaktari wa Cuba, Zanzibar

377

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Kiongozi wa Madaktari wa Cuba Profesa Ulpiano Nyumbani kwake Vuga Mjini Zanzibar baada ya kuvamiwa na majambazi jana usiku yeye na wenzake  maeneo kati ya Kikwajuni na SUZA.

Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi  Msaidizi Kamishna wa Polisi { ACP } Mkadam Khamis Mkadam alisema Jeshi la Polisi Mkoa huo linawashikilia  watu wawili  miongoni mwa majambazi wanaotuhumiwa kuhusika na uvamizi wa Madaktari Bingwa wa Cuba  katika...

 

2 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA SWEDEN

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi amesema uzoefu wa Sweden wa miaka mingi katika kuendesha serikali za Mitaa unaweza kuisaidia Zanzibar katika kipindi hiki cha ugatuzi.
Balozi Seif amesema hayo afisini kwake vuga wakati alipokuwa akizungumza na ujumbe wa watu wanane kutoka sweeden ukiongozwa na Spika wa Manispaliti ya Sundsvall Bibi. Arianne Sundman ambaye yupo nchini kwa ziara ya wiki moja.

Amesema Zanzibar hivi sasa inapitia katika kipindi cha mageuzi ya...

 

3 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembelea Tume ya Ukimwi Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati umefika kwa Jamii kuwa na hadhari ya kuendelea kuelimishana katika kupiga vita vitendo hatarishi vinachochangia kuenea kwa maambukizo ya virusi vya Ukimwi hapa Nchini. Alisema mapambano dhidi ya vitendo hivyo yanahitaji nguvu za pamoja licha ya ugumu wa kazi hiyo ambayo wahusika wakuu ni miongoni mwa wananchi hasa vijana waliomo katika mitaa mbali mbali Mjini na Vijijini. Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AUPONGEZA UONGOZI WA UBALOZI MDOGO CHINA,ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameupongeza Uongozi wa Ubalozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China uliopo Zanzibar kwa maandalizi mazuri iliyofanya kuratibu ratiba ya ziara yake ya Siku Tano aliyoifanya hivi karibuni Nchini China.
Alisema ziara hiyo ya Kiserikali ilimuwezesha na kumpa fursa ya kukutana na Uongozi wa Kampuni na Taasisi mbali mbali za China zilizoonyesha nia ya kutaka kuwekeza vitega uchumi vyao Visiwani Zanzibar.
Balozi Seif Ali Iddi alieleza hayo...

 

4 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA KAMPENI JIMBO LA UZINI, ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Wana CCM na Wananchi kuwa na tahadhari na baadhi ya watu walioamua kupita mitaani kununua Vitambulisho vya kupigia kura. Alisema mpango huo umelenga kupunguza asilimia kubwa ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi Mkuu ujao wa mwezi Oktoba ambao uko wazi kutokana na utekelezaji makini wa Sera na Ilani yake ya mwaka 2010 – 2015 iliyoleta maendeleo makubwa ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani