BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati umefika kwa Wafanyabiashara wakubwa Nchini kuwekeza katika uchapishaji wa Vitabu vya Kiswahili pamoja na kujenga Maduka makubwa ya kuuzia kazi za Kiswahili kwa vile bidhaa zinazotokana na lugha hiyo zinauzika.
Alisema Mwanataaluma au mswahili anayehitaji vitabu vya Waandishi Mahiri wa Lugha hiyo wa Zanzibar kama Profesa Said Ahmed Mohamed, Shafi Adam Shafi, Bwana Msa na wasanii wengine kama Mohamed Seif Khatibu kamwe kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Balozi Seif ataka magazeti yafunze watalii Kiswahili

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amevikumbusha vyombo vya habari nchini, kuanzisha utaratibu maalumu wa kutumia sehemu ndogo ya ukurasa wa magazeti wanayochapisha kwa lugha za kigeni, kuwapa fursa wageni na watalii kujifunza Kiswahili.

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif akagua shughuli za uwekezaji na hifadhi ya mazingira katika visiwa vya Bawe na Changuu

Msimamizi wa mradi wa uhifadhi wa Makobe katika kisiwa cha Changuu Nd.Suleiman Mnemo akitoa maelezo ya uhifadhi wa viumbe hao adimu duniani kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif aliyetembelea kisiwa cha Changuu. Balozi Seif akikagua baadhi ya majengo ya Hoteli zilizomo ndani ya kisiwa cha Changuu wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uwekezaji katika sekta ya Utalii . Kulia ya Balozi ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Leisure Hoteli inayoendesha mradi wa hoteli Bawe na...

 

3 years ago

Habarileo

China kufadhili uchapishaji vitabu shule za Dar

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China kupitia Jimbo la Jiangsu imetoa fursa ya kufadhili uchapishaji wa vitabu milioni 1.4 vya masomo ya Sanaa na Biashara kwa ajili ya Shule za Sekondari za Mkoa wa Dar es Salaam.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Bakiza yahimiza usomaji wa vitabu vya Kiswahili kuhifadhi utamaduni wa Mswahili

Kaimu katibu mtendaji wa baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA  Omar Abdalla Adamu ameitaka jamii kuwa na utaratibu na utamaduni wa kusoma vitabu vya Kiswahili vilivyotunza utamaduni wa kizanzibar kwa lengo la kukuza ufaulu wa masomo ya Kiswahili kwa wanafunzi.

Aidha amesema  katika kuhifadhi mila na desturi kwa kizazi kipya wazanzibar hawana budi kusoma kwa bidii vitabu hivyo ili kujuwa mambo mengi ikiwemo uwepo wa lahaja na lugha zilizopo zinazotokana na kamusi mbalimbali kama ikiwemo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif aifungulia Cuba milango ya uwekezaji Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Wawekezaji na wananchi wa Jamuhuri ya Cuba wana nafasi nzuri ya kutumia  mlango wa uwekezaji uliofunguliwa na Zanzibar katika kuanzisha miradi mipya  kwenye Sekta ya Utalii hapa Nchini.

Alisema mpango huo ambao licha ya kuimarisha uhusiano wa muda mrefu  uliopo kati ya Zanzibar na Cuba tokea Uhuru wa Mataifa hayo Mawili lakini pia utaongeza ushirikiano wa  pande hizo zinazofanana katika Historia zake.

Balozi Seif Ali Iddi...

 

2 years ago

Mwananchi

Balozi wa Japan ataka mabadiliko ya Serikali yasiathiri uwekezaji

Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida ameishauri Tanzania kuwa na mfumo makini wakati Serikali nyingine inapoingia madarakani kwa sababu mabadiliko ya mfumo yanaathiri uwekezaji wa muda mrefu.

 

3 years ago

Habarileo

Ataka picha ya Magufuli,azuia vitabu vya gesti shuleni

OFISA Elimu Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, Jumaa Kombo ametoa siku saba kwa wakuu wa shule kuhakikisha wameweka picha ya Rais John Magufuli ndani ya ofisi hizo.

 

2 years ago

Channelten

Diplomasia ya Uchumi, Rais Magufuli ataka balozi zijikite kuvutia Uwekezaji

MAGUFULI

Rais JOHN POMBE MAGUFULI ametaka wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kufanya mabadiliko ya kiutendaji na kujikita katika kutekeleza diplomasia ya kiuchumi.

Katika maboresho hayo ya kiutendaji, Rais Magufuli mbali ya kumteua katibu Mkuu mpya Adolf Mkenda kusimamia wizara hiyo, ametaka mabalozi wa Tanzania waliopo kwenye mataifa mbalimbali duniani kupimwa kutokana na mchango wao katika kuhamasisha uwekezaji nchini.

Rais Amebainisha mikakati hiyo leo ikulu Jijini dar es...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif: Lugha ya kiswahili ni bidhaa inayo uzika kimataifa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali alisema Lugha ya Kiswahili imeonyesha wazi kwamba ni bidhaa inayouzika Kimataifa  kiasi cha  kuweza kuchangia pato la Taifa sambamba na kufaidisha hata Mtu mmoja mmoja.

Alisema lugha hiyo Maarufu Duniani kwa hivi sasa inaendelea kutoa mchango mkubwa wa Kiuchumi kwa Watu wengi waliopata bahati ya kuajiriwa kufundisha Lugha hiyo ndani na nje ya Nchi ikiwemo Sweden, Ujerumaji, Marekani, China, Uganda na Rwanda.

Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani