Balozi Seif awatahadharisha wanachama wanaotishia kurejesha kadi za CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi amewataka wanachama wa CCM hasa Vijana wenye tabia ya kutishia Viongozi kurejesha Kadi za Chama kwa kigezo cha kutaka kutatuliwa haraka changamoto zao kuacha mara moja tabia hiyo ya kuitoa thamani Kadi ya Chama.

Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na Viongozi na Wanachama wa CCM Jimbo la Uzini, Wilaya ya Kati pamoja na Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kuzindua Rasmi Jengo Jipya la Tawi la...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif akabidhi kadi kwa wanachama wapya 15 wa CCM Mkoa wa Magharibi,Zanzibar

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM Shina nambari 23 la Tawi la CCM Fuoni Bibi Faiza Chande Ameir.Kushoto ya Balozi ni Mwenyekiti wa Shina Nambari 23 la Tawi la CCM Fuoni Nd. Daudi Khamis, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Magharibi Nd. Yussuf Mohd Yussuf na Katibu wa CCM Mkoa huo Aziza Ramadhan Mapuri. Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Mwanakwerekwe Ndugu Khamis Juma Msonge akimkaguza Mjumbe wa Kamat Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Maagizo ya Balozi Seif Ali Iddi kwa viongozi na wanachama wa CCM nchini

Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi {CCM } ngazi ya Matawi Nchini wameagizwa kujipanga vyema ili kuhakikisha Viongozi watakaowachagua wakati utakapowadia wa uchaguzi ndani ya chama hicho hapo mwakani wana sifa sahihi zitakazokidhi mahitaji yote ya kuwatumikia wanachama hao katika kipindi cha miaka Mitano ijayo.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi alitoa agizo hilo wakati akizungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa za Matawi ya Mangapwani na...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni Jimbo la Bumbwini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM lenya hadhi ya Chama chenyewe.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Balozi Seif aagiza Uongozi wa Soka Zanzibar kurejesha hadhi yake ya Michezo 

Uongozi wa Timu Kongwe ya Soka Zanzibar ya Ujamaa Sports Club umeagizwa kusimamia vyema  Vijana wao wanaosakata Kabumbu ili kuhakikisha kwamba  Timu yao inarejea katika hadhi yake ya kimichezo iliyokuwa nayo katika miaka ya nyuma.

Agizo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Balozi Seif  Ali Iddi  ambae pia ni Mchezaji wa zamani wa Timu ya Ujamaa  wakati alipofanya mazungumzo na Uongozi wa Klabu hiyo uliyopo Mtaa wa Rahaleo Mkabala wa ZBC Redio Mjini Zanzibar.

Balozi Seif...

 

5 years ago

Mwananchi

Wanachama 150 CCM kupewa kadi Januari 4

>Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Pugu Kigogo Fresh linapanga kutoa kadi kwa wanachama wapya zaidi ya 150 katika hafla ya aina yake itakayofanyika kwenye Uwanja wa Soka wa Pugu Kigogo Fresh Veterans, Januari 4, mwakani.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif: Chama cha Mapinduzi hakitawaonea haya wanachama wenye sura mbili

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi ameonya kwamba wembe ule ule uliotumika katika mchakato wa kumpata Mgombea wa CCM katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Tanzania Mwaka 2015 ndio utakautumika katika kumpata Mgombea wa Chama hicho upande wa Zanzibar ifikapo uchaguzi wa mwaka 2020.

Alisema wembe huo ndio silaha pekee itayosaidia kusafisha virusi vitakavyojaribu kuibuka ndani ya chama hicho   endapo yatatokea  makundi yatayoashiria kutaka...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI,PIA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akikabidhi funguo ya Pikipiki kwa mmoja wa Makatibu Kata katika Wilaya ya Kibaha Vijijini,wakati wa shunguli ya kukabidhi Pikipiki 13 kwa Makatibu Kata na Baiskeli 86 kwa Wenyeviti wa Matawi ya CCM yaliopo kwenye Wilaya hiyo,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini,Mh. Hamoud Abuu Jumaa (kulia).  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akikabidhi sehemu ya Baiskeli 86 kwa...

 

4 years ago

GPL

BALOZI MWAPACHU ARUDISHA RASMI KADI YA CCM

Balozi Mwapachu (kulia) akikabidhi kadi yake ya uanachama wa CCM kwa Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, mtaa wa Mikocheni A, Sudi Odemba. KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu leo amerejesha kadi yake ya uanachama ofisi za chama hicho zilizopo Mikocheni A jijini Dar es Salaam. Balozi Mwapachu aliyetangaza kukihama chama hicho juzi (Jumanne) kwa madai...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Naibu Kamanda wa {UVCCM } Balozi Seif Ali awataka vijana kuchagua viongozi wenye vigezo na kukubalika na wanachama kwenye uchaguzi ujao

 

Picha :- Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi {UVCCM } Tanzania Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi akizungumza na Uongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar uliofika kumkabidhi hati maalum ya heshima kwa kuuongoza vyema umoja huo.

686

Wa kwanza kulia ya Balozi Seif ni Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar  Nd. Abdulgharaf  Idriss Juma na kushoto ya Balozi Seif wa kwanza ni Mkuu wa Utawala wa Umoja huo Nd.Salum Simai Tale.

Picha : Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani