Balozi Seif awataka wafanya biashara kutumia fursa walizo nazo ili kuitanga lugha ya kiswahili

Makamo wa pili wa Raisi Balozi Seif Ali Iddi  amelitaka Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA kuandaa maonesho yatakayotambulisha kazi zinazotokana na lugha ya Kiswahili ikiwemo vitabu ili kuziengezee uwezo kazi hizo kuendelea kutumika katika jamii.

 Akizungumza katika ufungaji wa kongamano la kwanza la Kimataifa lilofanyika Mjini Zanzibar, Balozi Iddi amesema maonesho hayo yatapofanyika yatasaidia kuendele kuitangaza lugha hiyo kwa maandishi.

  Amesema kuna kazi nyingi za waandishi zinafanywa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif: Lugha ya kiswahili ni bidhaa inayo uzika kimataifa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali alisema Lugha ya Kiswahili imeonyesha wazi kwamba ni bidhaa inayouzika Kimataifa  kiasi cha  kuweza kuchangia pato la Taifa sambamba na kufaidisha hata Mtu mmoja mmoja.

Alisema lugha hiyo Maarufu Duniani kwa hivi sasa inaendelea kutoa mchango mkubwa wa Kiuchumi kwa Watu wengi waliopata bahati ya kuajiriwa kufundisha Lugha hiyo ndani na nje ya Nchi ikiwemo Sweden, Ujerumaji, Marekani, China, Uganda na Rwanda.

Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif – Vijana changamkieni fursa ili ziweze kuwanufaisha

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  amewataka  vijana kuchangamkia fursa za mikopo  zilizotolewa na Wizara ya Uwezeshaji  ili kuzitumia fedha hizo katika miradi ya maendeleo.

Akizungumza katika  hafla ya upokeaji wa maandamano ya vijana katika wiki ya vijana Balozi Seif amesema serikali inatambua  kuwa bado vijana wanakabiliwa na tatizo la ajira hivyo endapo wakiitumia vizuri mikopo  iliyotolewa  kwa kubuni  biashara  itayoweza kuwasaidia kujikwamua  na  ukosefu wa...

 

3 years ago

Channelten

Maamuzi ya Chuo Kikuuu DSM kutumia lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi

Screen Shot 2016-06-25 at 2.49.29 PM

Chuo kikuu cha DAR ES SALAAM kimeamua kutumia lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya mawasiliano katika chuo hicho ikiwa ni mkakati mmojawapo wa kuimarisha lugha hiyo adhimu duniani na kuipa msukumo kwa wananchi wa mataifa mengine ambayo yanahitaji kujifunza lugha ya kiswahili.

Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa taaasisi za elimu ya juu,SALIFYUSI MLIGO, jana alipokuwa anasoma tamko la kupongeza hatua hiyo pamoja na maboresho ya utumishi wa umma, lililotolewa na chama...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Balozi Seif awataka makatibu kuwa wasiri ili kuhifadhi faragha za Serikali

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Balozi Seif Ali Iddi alisema Makatibu Mahsusi Nchini wanapaswa kuelewa kwamba wanawajibika na jukumu zito na la lazima katika kuendelea kuwa wasiri ili kuhifadhi faragha za Serikali pamoja na Wakuu wao wa Kazi.

Alisema nafasi ya Makatibu Mahsusi wa Taasisi za Umma na hata zile Binafsi wana uelewa mpana unaowapa nafasi ya kujua mambo na siri nyingi za Kiofisi wanazolazimika kuziengaenga muda wote wa majukumu yao ya Utumishi.

Akiufungua Mkutano Mkuu wa Chama...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif aitaka sekta ya utalii kutafsiri vitabu kwa lugha mbalimbali ili kukukza utalii Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanziar Balozi Seif Ali Iddi imeitaka Kamisheni ya Utalii Zanzibar  kutafsiri vitabu vya Utalii kwa lugha mbali mbali za Kimataifa ili kuvitangaza vizuri Kiutalii Visiwa vya Zanzibar  kwa lengo la kuimarisha miundombinu katika Sekta ya Utalii.

Alisema wakati umefika kwa Kamisheni hiyo kufungua njia zaidi za kuutangaza Utalii wa Zanzibar katika kuhamasisha Watalii kutoka Mataifa mbali mbali Duniani zikiwemo hasa Nchi za Ghuba badala ya nguvu zao kuzielekeza  Mataifa...

 

2 years ago

Ippmedia

Balozi wa lugha ya Kiswahili akabidhi tuzo ya Kiswahili kwa Profesa Rwekaza Mkandala.

Balozi wa lugha ya kiswahili Afrika Mama Salma Kikwete amemkabidhi tuzo ya kiswahili makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mkandala kutokana na jitihada zake za kuirasimisha lugha hiyo kutumika katika shughuli zote za chuo zisizo za 

Day n Time: Alhamisi saa 2:00 usikuStation: ITV

 

4 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATEMBELEA FUJONI NA KUSIKILIZA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO

Mwanachama wa Maskani ya Nia njema Fujoni akiwasilisha changamoto ya Vijana wa Maskani hao ya ubovu wa uwanja wao wa michezo mbele ya Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi aliyekaa kutoka mwanzo kulia.Balozi Seif akisisitiza umuhimu wa vijana kuendelea kupenda michezo ili kuimarisha afya zao na kujijengea mazingira ya ajira katika sekta hiyo ya michezo.Baadhi ya wanachama wa maskani ya Nia njema ya Fujoni Kilimani wakifuatilia hotuba ya Mbunge wao Balozi Seif hayupo pichani wakati...

 

3 years ago

Dewji Blog

Watanzania washauriwa kutumia Lugha ya Kiswahili kuutangaza utamaduni

Watanzania wameshauriwa kutumia Lugha ya Kiswahili katika ulimwengu wa uandishi ili kuutangaza Utamaduni wa nchi.

Hayo yamesemwa jana Jijini Dar es Salaam na Mkurugezi Msaidizi Lugha Bibi Hajjat Shani Kitogo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira Tanzania (UWARIDI).

Mkurugenzi amesema kuwa kwa kutumia Lugha ya Kiswahili kutasaidia kuendeleza na kuenzi juhudi za kuenzi na kuendeleza juhudi za watetezi za masuala ya...

 

3 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kuhifadhi lugha za asili ili kuongeza misamiati ya Kiswahili.


Na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Dar es Salaam 
Serikali inathamini jitihada za wadau katika kuhifadhi, kutunza na kusambaza lugha za makabila mbalimbali nchini ambazo ndio msingi wa lugha aushi ya Kiswahili ambayo ni lugha ya taifa. 
Hayo yamesemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam na Mhariri Mkuu wa Bazara la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Richard Mtambi alipokuwa akisoma hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel wakati wa uzinduzi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani