Balozi Seif awataka wakandarasi kufanya kazi za serikali kwa uadilifu

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, amewaomba Wakandarasi na wasimamizi wanaopata kazi za Ujenzi katika Taasisi za Serikali, kufanya kazi zao kwa uadilifu wa hali ya juu, kinyume chake Serikali haitokubali kukabidhiwa majengo yasiyokuwa na kiwango.

Alisema Serikali italazimika kutumia sheria za ujenzi, zilizopo katika njia na Utaratibu wa kukataa kazi yoyote ile, iliyokuwa chini ya kiwango kinachokubalika kimikataba.

Balozi Seif Ali Iddi, alitoa ombi hilo wakati...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Samia awataka wakandarasi kufanya kazi kwa weledi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka wakandarasi nchini kufanya kazi kwa weledi kwa sababu Serikali ina mpango wa kuwatumia katika miradi mikubwa ya ujenzi inayoendelea nchini.

 

2 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AWATAKA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), George Simbachawene amewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanafanya kazi kwa uadilifu na kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma, sambamba na kujiepusha na vitendo vya rushwa kwenye utekelezaji wa majukumu yao.
Akizungumza katika kikao cha baraza la wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika mjini Dodoma, Simbachawene amesema watumishi hao wanatakiwa kuwa na utendaji unaojali matokeo na...

 

4 years ago

GPL

MKAPA AWATAKA WAKANDARASI NCHINI KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA WELEDI

RAis mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin Mkapa akifungua Mkutano wa mwaka wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi leo jijini Dar es salaam. Rais mstaafu wa awamu ya Pili Mhe.Benjamin Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB). Rais mstaafu,Benjamin Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na…

 

3 years ago

Ippmedia

Rais Magufuli awataka wakuu wa mikoa na wilaya kwenda kufanya kazi kwa uadilifu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Pombe Magufuli amewataka wakuu wa mikoa na wilaya aliowatea kwenda kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa na kamwe wasitumiye nyadhifa hizo kuwanyanyasa wananchi wanyonge.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AWATAKA WATUMISHI WA MAHAKAMA MKOA WA MBEYA KUFANYA KAZI YA UTOAJI HAKI KWA UADILIFU.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman  akiweka sahihi katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya.Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman  amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua shughuli za Mahakama katika Kanda ya Mbeya. 
Ziara ya Mhe. Jaji Mkuu katika kanda hii imelenga kujionea hali ya utendaji kazi wa Mahakama katika mkoa huo ikiwa ni pamoja na kuwakumbusha Watumishi wa Mahakama kufanya kazi kwa ufanisi na weledi ili...

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHINI KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa katika kikao kazi na waumishi hao kwa lengo kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi hususani haki na wajibu wa mtumishi wa Umma. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Bw. Ng’wilabu N. Ludigija akitoa neno la utangulizi kumkaribisha Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - UTUMISHI Dkt. Laurean Ndumbaro kuzungumza na watumishi...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Balozi Seif Z’bar na Oman zitaendelea kufanya kazi kwa pamoja 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Zanzibar na Oman zitaendelea kufanya kazi pamoja  katika dhana nzima ya kudumisha ushirikiano wa Damu uliopo wa muda mrefu kwa maslahi ya maendeleo ya Kiuchumi na ustawi wa jamii wa Wananchi wa Mataifa hayo mawili.

Alisema Ushirikiano huo umeimarika zaidi kwa Zanzibar  kupokea ufadhili wa Vijana wake wanaopata fursa za kujiunga na Masomo ya juu Nchini Oman katika fani mbali mbali za mafunzo ikiwemo Udaktari, Uhandisi,...

 

4 years ago

Dewji Blog

Mwanahabari Frank kibiki awataka vijana kufanya kazi kwa bidii na kutumia fursa zinazotolewa na serikali

IMG_20150130_130513

Mwanahabari Frank Kibiki  akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.

Na Mwandishi wetu, Iringa

MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10.

Akizungumza na mtandao huu mwanahabari Frank Kibiki, alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali.

“Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri Mbarawa awataka watumishi wafanye kazi kwa uadilifu (Picha)

Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Makame Mbarawa amewataka watumishi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wafanye kazi kwa kujituma wakati alipozungumza nao jijini Dar es Salaam.

PIX 1Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wafanyakazi wa  Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

PIX 2PIX 3 ABaadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani