Balozi Seif awataka wanaccm kuchagua viongozi bora

355Mbunge wa Jimbo la Mahonda Mh. Bahati Ali Abeid akisisitiza Jambo wakati wa Mkutano wa kushukuru wapiga kura wake baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu hapo Tawi la CCM Mangapwani.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi amewataka  Viongozi wa Kamati za Siasa za Matawi ya Mangapwani na Mangapwani Bondeni katika mkutano wa kuwashukuru wanachama hao baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu uliopita kuchagua viongozi wenye uwezo kusimamia chama uchaguzi wa chama...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Zanzibar 24

Naibu Kamanda wa {UVCCM } Balozi Seif Ali awataka vijana kuchagua viongozi wenye vigezo na kukubalika na wanachama kwenye uchaguzi ujao

 

Picha :- Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi {UVCCM } Tanzania Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi akizungumza na Uongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar uliofika kumkabidhi hati maalum ya heshima kwa kuuongoza vyema umoja huo.

686

Wa kwanza kulia ya Balozi Seif ni Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar  Nd. Abdulgharaf  Idriss Juma na kushoto ya Balozi Seif wa kwanza ni Mkuu wa Utawala wa Umoja huo Nd.Salum Simai Tale.

Picha : Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar ...

 

5 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awataka viongozi wa dini kuhubiri amani

581

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiingia ndani ya Ukumbi wa Masai Laugwa Wilaya ya Bagamoyo kuzindua Tamasha la Kuliombea Taifa Amani lililoandaliwa na Kanisa la Restoration { Restoration Bible Church }.Kulia kwa Balozi Seif ni Makamu Askofu Mkuu wa Restoration Bible Church Tanzania Askofu Sedrick Ndonde na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya  Bagamoyo Nd. Ahmed Kipozi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Viongozi wa Kidini wanapaswa kuwa...

 

4 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF IDD AWATAKA WANANCHI KUWAUNGA MKONO VIONGOZI WENYE KULETA MAENDELEO

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi msaada wa Vipaza sauti Amiri  wa Jumuiya ya Sherehe za Siku Kuu ya Iddi Matemwe Ustaadhi Kundi Choum Haji kutekeleza ahadi aliyoip[a Jumuiya hiyo wakati wa sherehe za siku kuu ya Iddi el Hajj iliyopita. (Picha na OPMR)Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman  Iddi akimkabidhi  mchango wa Shilingi 400,000/-  kwa kila kikundi miongoni mwa  vikundi 14 vya Ushirika wa Akina Mama vilivyomo ndani ya  Wilaya ya...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif awataka viongozi kuzijengea uwezo skuli mbalimbali nchini kuhimili ushindani wa kitaaluma

Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi amewakumbusha Viongozi na washirika wa maendeleo katika Sekta ya Elimu kuzijengea uwezo zaidi wa miundombinu skuli mbali mbali Nchini ili ziwe na uwezo kamili wa kuhimili ushindani wa kitaaluma uliopo katika kiwango cha Kitaifa na Kimataifa.

Alisema wakati wa sasa ni ule wa sayansi uliobadilika kabisa Kiteknolojia tofauti na uliopita kiasi kwamba jamii inapaswa kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira yanayokubalika kivifaa pamoja na...

 

4 years ago

Habarileo

Balozi Seif Iddi awapa somo wanaCCM Pemba

Balozi Seif Ali Iddi WANANCHI wa kisiwa cha Pemba wametakiwa kuunga mkono Katiba Inayopendekezwa ambayo imekuja na muundo wa Serikali mbili ambao ndiyo utakaowaunganisha wananchi na kuwa kitu kimoja na sio kuwagawa.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Shein awataka wana nchi kuchagua viongozi wazalendo

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewasisitiza Wana CCM na wananchi kuwachagua viongozi wazalendo walio mstari wa mbele katika kuwaletea maendeleo sambamba na kutekeleza ahadi zao kwa vitendo.

 Dk. Shein ambaye pia, ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi aliyasema hayo leo katika sherehe ya uzinduzi wa gari nane za abiria za Jimbo la Mfenesini zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo hilo Kanali Mstaafu, Masoud Khamis, sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa...

 

2 years ago

CCM Blog

SHAKA AWATAKA VIJANA KUCHAGUA VIONGOZI IMARA,SHUPAVU NA WACHAPAKAZI


Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Mpanda
Na Mwandishi Wetu, Katavi

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi umesema wakati huu chama na jumuiya zake kukiwa katika hekaheka za uchaguzi kimewataka wanachama kujitokeza  waaamue kidemorasia kumchagua kiongozi yeyote mwenye sifa na anayefaa. 
Pia umoja huo imeelezea kuwa kila mwanachama ana haki ya kuchukua fomu na kuwania nafasi  ambayo anafikiri ana uwezo nayo katika kuwatumikia wananchma...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Nakalekwa watakiwa kuchagua viongozi bora

WAKAZI wa Mtaa mpya wa Nakalekwa Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, wametakiwa kuwachagua viongozi bora wa mtaa huo wanaofahamu shida zinazowakabili ikiwemo kubomolewa na kuchomewa moto makazi yao...

 

4 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANANCHI KUCHAGUA VIONGOZI WAADILIFU NA WENYE SIFA

Na Anna Nkinda – Lindi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa Kata ya Ng’apa wilaya ya Lindi mjini kuchagua viongozi waadilifu na wenye sifa ambao watawaongoza wananchi kusimamia shughuli za maendeleo yao.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini alitoa rai hiyo jana wakati akiongea na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za mitaa uliofanyika katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani