Balozi Seif awataka wananchi kuchangia damu

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati umefika kwa kila Mwananchi mwenye sifa za uchangiaji damu kuanzia umri wa Miaka 18 hadi 65 uzito wa Kilogram 50 ajitokeze kujitolea kuchangia damu ili kuiepusha Jamii kukumbwa na upungufu wa damu salama Nchini ambao wakati mwengine huleta athari.
Alisema upungufu mkubwa wa Damu uliojitokeza Mwaka uliopita hasa katika Kipindi Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa mujibu wa Taarifa za uchangiaji Damu Salama katika Maabara za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUCHANGIA DAMU KATIKA KITUO CHA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA KUCHANGIA DAMU DUNIANI

Mwanasayansi Samweli Mduma akipima kiasi cha damu ambacho ni mililita 450 iliyotolewa leo na Frank Mapunda katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara. Afisa Mtoa Damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama Peter Chami akiangalia wingi wa damu ya Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Pedro Pallangyo ambayo aliitoa katika kituo cha...

 

4 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF IDD AWATAKA WANANCHI KUWAUNGA MKONO VIONGOZI WENYE KULETA MAENDELEO

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi msaada wa Vipaza sauti Amiri  wa Jumuiya ya Sherehe za Siku Kuu ya Iddi Matemwe Ustaadhi Kundi Choum Haji kutekeleza ahadi aliyoip[a Jumuiya hiyo wakati wa sherehe za siku kuu ya Iddi el Hajj iliyopita. (Picha na OPMR)Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman  Iddi akimkabidhi  mchango wa Shilingi 400,000/-  kwa kila kikundi miongoni mwa  vikundi 14 vya Ushirika wa Akina Mama vilivyomo ndani ya  Wilaya ya...

 

4 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWA AMANI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU BAADAYE MWAKA HUU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanbzibar Balozi Seif akijibu maswali aliyoulizwa na Wanahabari wa Shirika la Magazeti ya Serikali la Zanzibar leo Hafsa Golo aliyepo Kati kati na Tatu Makame wa kwanza kushoto. Ripota wa Shirika la Utangazaji Tanzania {TBC } Marine Hassan akiporomosha maswali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa mahojiano yao kuhusu maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Picha na – OMPR – ZNZ.
                                 ...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU

MPANGO Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS) unatoa rai kwa wananchi wote wenye sifa za kuchangia damu wajitokeze kuchangia damu katika vituo vya Damu salama hasa kipindi cha mwezi Novemba mpaka Januari mwakani , kipindi ambacho wanafunzi wa sekondari wanakuwa likizo hivyo kusababisha kuongezeka kwa uhaba wa damu nchini.
Hayo yalisemwa leo na Afisa Habari wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania Bw. Rajab Mwenda (pichani) katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ilala...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wahimizwa kuchangia damu

WANANCHI wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari, ili taifa liweze kuwa na akiba ya kutosha na lifikie malengo ya maendeleo ya milenia. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

4 years ago

Michuzi

WANANCHI MKURANGA WAASWA KUCHANGIA DAMU

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema (kulia) akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga Dkt. Anwar Milulu (kushoto) msaada wa mashuka 90 yaliyotolewa na chuo hicho kusaidia wagonjwa katika hospitali hiyo.Makabidhiano hayo yalifanyika jana wilayani Mkuranga kama sehemu ya Chuo hicho kuadhimisha miaka 50 toka kianzishwe mwaka 1965.Baadhi ya Wauguzi na wahudumu wa afya wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga wakiangalia moja ya shuka kati ya mashuka 90...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kujitokeza kuchangia damu

WANANCHI wa Mkoa wa Morogoro wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuchangia damu kwa hiari katika maadhimisho ya Wiki ya Damu, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa taifa wa damu salama. Wito...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wananchi wahamasishwa kuchangia Damu (Video)

Wanachi wameombwa kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la uchangiaji damu kwa hiari ili kuokoa maisha kwa wenye mahitaji ya damu

The post Wananchi wahamasishwa kuchangia Damu (Video) appeared first on DEWJIBLOG.

 

3 years ago

Michuzi

Balozi wa China Nchini Ajitokeza Kuchangia Damu Muhimbili

Na Neeema Mwangomo, Dar es salaam
Balozi wa China nchini Dk. LU Youqing leo amejitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa lengo la kuwahamasisha wananchi kuwa na moyo wa kuchangia damu, lakini pia kuadhimisha siku ya wachangia damu Duniani ambayo huadhimishwa Juni 14 kila mwaka.
Balozi Youqing amesema wakati tukiadhimisha siku hii muhimu, tunatukumbushwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa upendo ili kuokoa maisha ya wale wenye uhitaji wa damu.
Pamoja na mambo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani