Balozi Seif Iddi aipongeza USAID kwa kuisaidia Zanzibar katika kukabiliana na majanga

653

Kamanda Philip Knightsheen akitoa salamu za Shirika lake linalosimamia huduma za Kibinaadamu  na Afya la Usafricom  kwenye mafunzo ya siku tano ya zoaezi la kukabiliana na maafa Zanzibar katika Zanzibar Beach Resort Mazizini.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Serikali ya Watu wa Marekani kupitia Shirika lake la Misaada ya Maendeleo la Us aid kwa jitihada zake za kuisaidia Zanzibar katika mipango yake ya kutafuta mbinu za kuwa tayari kwa kukabilana na maafa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.  Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018, ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz-Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar leo asubuhi akitokea nchini India katika ziara ya wiki moja

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar mapema leo asubuhi akitokea nchini India ambako alifanya ziara ya wiki moja. Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Balozi Seif aliyeambatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi alipokewa na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Watendaji wakuu wa Serikali pamoja na baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa. Balozi Seif ambae aliuongoza Ujumbe wa Mawaziri wawili, Naibu Waziri  na Makatibu...

 

5 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Ali Iddi aiomba IFAD kuendelea kuwaunga mkono wazalishaji katika sekta ya kilimo Zanzibar

342

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Kilimo { IFAD } hapo Serena Hoteli Shangani Mjini Zanzibar.

Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo { IFAD }umeombwa kuendelea kuunga mkono Sekta ya Kilimo Zanzibar katika njia ya kuwajengea uwezo wazalishaji wa Sekta hiyo mama ya uchumi  kupitia mfumo wa Teknolojia ya kisasa.

Ombi hilo...

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan


Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imejenga uwezo zaidi wa kukabiliana na vitendo vya rushwa katika azma yake ya kujenga uchumi imara utakaostawisha Taifa kwa kuongeza Mapato kupitia Sekta ya Utalii sambamba na Ujenzi wa Viwanda vipya vya kudumu. Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi anayemuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa la Dunia la Uchumi { world Economy Forum } wakati akiwasilisha Muelekeo wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif aipongeza Kampuni ya Thomas Cook Group kwa kusaidia kuimarisha Sekta ya Utalii Zanzibar

Mkurugenzi wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na masuala ya Utalii  ya Thomas Cook  Group  yenye Makao Makuu yake Nchini Ujerumani Bwana Michael Scheidler amesema Zanzibar inapaswa kuwa makini katika kusimamia miradi inayoanzishwa ndani ya Sekta ya Utalii kwa lengo la kuhifadhi  mazingira yaliyopo.

Alisema kasi kubwa ya watalii na wageni wa Kimataifa wanaoamua  kuvitembelea Visiwa vya Zanzibar inatokana na mazingira  mazuri ya Rasilmali zilizopo  pamoja na maumbile ya asili...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Idd Seif akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima alipokwenda kumtembelea Ofisini kwake Zanzibar. Dkt. Mlima alikwenda kujitambulisha na kuwaaga viongozi wa Juu wa Kitaifa Zanzibar, na alikutana na Makamu wa Kwanza Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Seif Shariff Hamad. Dkt. Mlima aliteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kwenda kuwa...

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Iddi afungua Semina ya usafiri wa Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifungua Semina ya siku moja ya Usafiri Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi iliyofanyika kwenye ukumbi wa juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni.Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mh. Juma Duni Haji akitoa maelezo kwenye Semina ya Usafiri wa Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kabla ya ufunguzi wa Senmina hiyo.Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na wadau wa usafiri walioshioriki semina ya usafiri wa...

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aelekea India kwa uchunguzi wa Kawaida wa Afya yake

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameondoka Zanzibar leo mchana kupitia Mjini Dar es salaam kuelekea Nchini India kwa safari ya uchunguzi wa kawaida wa Afya yake.Mara baada ya kukamilisha shughuli ya uchunguzi wa afya yake Balozi Seif anatarajiwa kufanya ziara ya Kiserikali  ya Siku Nne Nchini China atakayofuatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi, Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dr. Khalid Salum Mohamed na Naibu Waziri wa Ujenzi,...

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi arejea Zanzibar kutoka ziarani India

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar mapema leo asubuhi akitokea nchini India ambako alifanya ziara ya wiki moja.Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Balozi Seif aliyeambatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi alipokewa na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Watendaji wakuu wa Serikali pamoja na baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa.Balozi Seif ambae aliuongoza Ujumbe wa Mawaziri wawili,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani