Balozi Seif safarini India kwa ziara ya Kiserikali

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameondoka Zanzibar leo asubuhi kupitia Mjini Dar es salaam kuelekea Nchini India kwa ziara ya Kiserikali ya Wiki moja.
Balozi Seif anaeondoka na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi akiuongoza Ujumbe wa Viongozi Wawili pamoja na Makatibu Wakuu wa Wawili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Viongozi hao ni Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Waziri asiye na Wizara Maalum Dr. Sira Ubwa Mamboya, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awasili India kwa Ziara ya Kiserikali

Mtoto wa kitanzania anayeishi nchini India Nasra Yahya mwenye umri wa miaka(11) akiwakaribisha kwa ua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili jijini New Delhi India leo kwa ziara ya kiserikali(State Visit) ya siku nne.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini India Bwana Yahya Mhatta muda mfupi baada ya kuwasili jijini Delhi India leo.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini India Mhandisi...

 

2 years ago

Michuzi

Ziara ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi nchini India

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema nia ya Uongozi wa Shirikisho la Viwanda Nchini India wa kuonyesha muelekeo wa kutaka kuwekeza miradi yao katika sekta ya Kilimo utaleta matumaini makubwa ya kuimarika kwa Uchumi Visiwani Zanzibar. Alisema hatua hiyo itafungua milango ya Uwekezaji kwa Taasisi na Makampuni ya Uwekezaji ya Jimbo la Kerala Nchini India kuanzisha miradi yao Zanzibar hasa ikizingatiwa kwamba Utamaduni pamoja na mazingira ya pande hizo mbili...

 

4 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aondoka nchini kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete yuko njiani kwenda India ambako atafanya ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India kwa mwaliko wa Rais wa India, Mheshimiwa Pranab Mukherjee. Ziara hiyo, inaanza rasmi jioni ya Jumatano, Juni 17, 2015.

Wakati wa ziara yake, Rais Kikwete ambaye anafuatana na Mama Salma Kikwete, mbali na kukutana na Rais Mukherjee kwa...

 

4 years ago

Vijimambo

Balozi Mdogo wa India Afika Ofisini kwa Balozi Seif Kujitambulisha.

Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi...

 

4 years ago

Michuzi

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Seif Sharif Hamad, akiwa na ujumbe wa SMZ mjini Doha kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali nchini Qatar. Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Sinani Massoud (kushoto), akiwa na viongozi wengine wa SMZ tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar.Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, akibadilishana mawazo na maofisa wa mambo ya nje, tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar....

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI INDIA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiweka shada katika kaburi la mpigania uhuru na muasisi wa taifa la India Mahatma Ghandi jijini New Delhi India leo asubuhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi safarini Jordan

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameondoka Zanzibar kupitia Mjini Dar es salaamu kuelekea Amman Nchini Jordan kuhudhuria Jukwaa la Uchumi la Dunia { World Economy Forum – WCF} la Siku Tatu litakalohudhuriwa na zaidi ya Wajumbe 2,000 kutoka Nchi 58 Duniani.
Balozi Seif  anamuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa hilo la Kanda ya Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika litakaloshirikisha Vingozi Wakuu wa Nchi,...

 

4 years ago

Vijimambo

Maalim Seif awasili Qatar kuanza ziara ya kiserikali

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Seif Sharif Hamad, akiwa na ujumbe wa SMZ mjini Doha kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali nchini Qatar. Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Sinani Massoud (kushoto), akiwa na viongozi wengine wa SMZ tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar.Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, akibadilishana mawazo na maofisa wa mambo ya nje, tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar....

 

2 years ago

Zanzibar 24

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar leo asubuhi akitokea nchini India katika ziara ya wiki moja

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar mapema leo asubuhi akitokea nchini India ambako alifanya ziara ya wiki moja. Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Balozi Seif aliyeambatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi alipokewa na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Watendaji wakuu wa Serikali pamoja na baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa. Balozi Seif ambae aliuongoza Ujumbe wa Mawaziri wawili, Naibu Waziri  na Makatibu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani